Tume kutoka kuzimu yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika

bahati mbaya watanzania wengi wanatoa ushirikiano kwa siri kwenye Mahakama ya uhalifu (ICC-The Hague, Bunge la Ulaya na Bunge la Marekani).
Hii mimi naona ni neema kwetu, bahati nzuri kabisa.

Asante sana kwa mchango wako Mkuu.

Hasta La Victoria Siempre..!!!
 
Nashindwa uelewa kwanini hiyo gharika inachelewa ...Au ndio kimya kikuu kina....
Nafikiri kama taratibu zao zilivyo, hawakamati mpaka ushahidi wa kutosha au wote uwe umekamilika. Siyo kama huku kwetu unakamatwa na kusota rumande au mahabusu miaka na miaka eti wanakusanya ushahidi.
 
Swala la mauaji ghasia yake haiwezi kuisha kirahisi Rahisi, lazima jambo kubwa lifanyike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…