Tume ya Haki za Binadamu yatoa ripoti ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, chasema hakuna uhusiano na ajali ya Waziri Dkt. Festo Dugange

Na ile ripoti ya kua kapigwa na boy wake?
Huenda alipigwa baada ya kushindwa kufa wakaamua wapike chakula cha sumu wale wote. Sasa mbona hao wengine wawili hawakupenda kutapika na kuwa na nguvu za kumpeleka nusura hadi himo!
 
Hili jambo wangeamua kukaa kimya linge resti ini pisi. Kwa kuamua kuliundia tume na vikundi vya kulichunguza ni kuendelea kumchokonoa marehemu na wafiwa. Kwa kufanya hivyo kamwe halitaweza kuresti ini pisi na kufikia tamati. Uongo haujawahi kuwa na nguvu mbele ya ukweli. Sifa pekee ya uongo ni kujipendekeza na kuwahi nafasi ya mbele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…