Tume ya kinyesi cha ng'ombe mto Mara yatoka kivingine

Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita 21 kwa ng'ombe kwa siku, kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao.

Sasa hivi tuko kwenye uozo:

View attachment 2165218

Tuko kimya siyo kuwa hatuoni.

Tuelewane:

"Vikwazo katiba mpya inatukera zaidi."
Shida ya huyu profesa mtetezi wa mavi ya ng'ombe, ni mmoja kati ya wale wanaoamini kwamba ukiwa profesa kila mtu anakuamini. Hakutegemea aseme uongo halafu ahojiwe kwa uwongo wake. Tatizo alisema uongo ambao husemwa na watoto wanapokuwa wanajifunza mema na mabaya. Pale ambapo wanajua sasa watapewa adhabu.

Kama bado anaendelea kusema mengimne, ndo ujue aina ya mtu aliyeandika ule ujinga. Anweza kuwa an tatizo kichwani.
 
IMG_20220326_185827_454.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita 21 kwa ng'ombe kwa siku, kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao.

Sasa hivi tuko kwenye uozo:

View attachment 2165218

Tuko kimya siyo kuwa hatuoni.

Tuelewane:

"Vikwazo katiba mpya inatukera zaidi."
Kwanini asifunguliwe mashitaka ya kupotosha umma? Tope katika maji yanayotembea haliwezi kuua viumbe wa majini bila uwepo wa SUMU inayoondoa Oksijeni....HAUWEZEKANI ABADANI!!!

Kilichotokea ni ni mafuta machafu na sumu za viwanda au machimbo ya madini kutanda juu ya utando wa maji hivyo kuzuia hewa hai kuingia kwenye maji na hewa chafu kuondoka kwa kuwa kuna kizuizi
 
Uchunguzi huru ulihitajika hapa haraka iwezekanavyo ili kusafisha hali ya hewa
 
Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita 21 kwa ng'ombe kwa siku, kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao.

Sasa hivi tuko kwenye uozo:

View attachment 2165218

Tuko kimya siyo kuwa hatuoni.

Tuelewane:

"Vikwazo katiba mpya inatukera zaidi."
Anyway, Huyu Mwanamke ,anaongozwa na JK .

Wakati ule wa JK, huohuo Mgodi ulimwaga Simu Kali ,mifugo wakafa, watu wakafa, na wengine wakapata magonjwa ya ngozi.

Hamna aliyechukuliwa hatua !!!!
 
Nchi nyingi sana, zimekua zinayalipisha faini kubwa makampani ambayo Kwa namna Fulani yameathiri Uhai wa majini kutokana na Shughuli zao .

Leo hii Tanzania inawakumbatia wapuuzi wa namna hii???

Kwamba hizo Pesa , zimeelekezwa mifukoni mwa Profesa na timu yake, Waziri na Rais Samia.

Ufike Mahali watu wawe wazalendo basi, mbona tunakua Ivo?? Yaan Hii nchi Mamaee .
 
Back
Top Bottom