LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
In ukweli mchungu sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadai mbwa hata awe mkali vip hawezi kumfokea anayemlisha wala kujing'ata mkia
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
We can't breatheKuna watu wanamsifu Yohana mpaka unashangaa.
Kaharibu Mhimili wa Bunge, kaharibu Mahakama na pia kaharibu Tume ambayo haikuwa huru na anazidi kuiharibu .... Huwezi kufanikiwa kama Bunge na Mahakama ziko mfukoni mwa mtu moja. Someone help me here ...!!
Kuna watu wanamsifu Yohana mpaka unashangaa.
Kaharibu Mhimili wa Bunge, kaharibu Mahakama na pia kaharibu Tume ambayo haikuwa huru na anazidi kuiharibu .... Huwezi kufanikiwa kama Bunge na Mahakama ziko mfukoni mwa mtu moja. Someone help me here ...!!
Huyu mtu hata mimi sipendi hata kuona sura yake.Mimi sio mwana siasa lakini lakini simpendi kabisa rais magufuli
Kweli kweli no mbaguzi Sana
Katili Sana
Kiburi Sana
Muuaji mkuu
Hana huruma
Chuki binafs
Mtu wa visasi
Hapendi ushuru
Dharau
Kebehi
Dhulma
Kujikweza
Majivuno
Mkabila
Ndini
Mkanda
Kwa kweli ni mtu ambae anasifa nyingi za unyama na za kidikteta
Sidhani kama anasifa moja ya kiutu
Lakini atashinda uchaguzi kwa kishindo cha kufanya watanzania ni kufanya subira miaka mi5 panapo majaliwa itaisha
Yaani kushinda nyinyi ni ndoto ya mchana. Leo nimehakikisha kabisa kuwa mnaedit picha leo nilikuwepo Karatu hakukuwa na watu kama mnavyoonyesha picha.Tume ya CCM inataka kutuharibia uchaguzi
Chadema sio wajinga...
Wananchi sio wajinga...
Tume Wanachokifanya kinaonekaka... Na wanachokitafuta watakipata..
Mkuu unajua kusafiriYaani kushinda nyinyi ni ndoto ya mchana. Leo nimehakikisha kabisa kuwa mnaedit picha leo nilikuwepo Karatu hakukuwa na watu kama mnavyoonyesha picha.
View attachment 1584056
Tazama mikono na limdomo
Niko naye sasa tuko Arusha mkuu! Naandika habari zake.Mkuu unajua kusafiri
Mara mwanza Mara karatu
Je unafatana na msafara au,,,,,,,,
Karatu unaishi mtaa gani?
"" ""
"" "
Kimya
Muongo muulize Swali moja tu
Huu ujinga umepata dawa Lissu Yusuph aliempiga Goriati na miguvu yake akafa.Visingizio kibao, tulieni dawa iingie vizuri.
Mbona ulisema Leo Ndio umeamini?Niko naye sasa tuko Arusha mkuu! Naandika habari zake.