Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Leo asubuhi Magufuli wakati yuko Misungwi amesikika akisema hapa kuanzia Mbunge hadi Madiwani wamepita bila kupingwa. Na akaenda mbali zaidi na kudai najua kuna mapingamizi yako Tume ila kwa dharau akasema najua wa hapa washapita labda kwingine huko ndio watarudishwa.
Nachokiona hii sio tume huru na nachokiona ni mkakati wa kuwatoa wale wote ambao ni kwikazo kwao na kuwarejesha wasio na madhara kwa CCM. Na majina yapi yarudi bila shaka alihusika kuchambua na kupendekeza ili jumuiya ya kimataifa ione kama tume iko huru.
Sasa kama kati ya rufaa 65 zinakubaliwa 15 na 40 kukataliwa nini maana yake?