Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Leo asbh magufuli wakati yuko misungwi amesikika akisema hapa kuanzia mbunge hadi madiwani wamepita bila kupingwa. Na akaenda mbali zaidi na kudai najua kuna mapingamizi yako tume ila kwa dharau akasema najua wa hapa washapita labda kwingine huko ndio watarudishwa...
Tuachane na hawa, tu-deal na mtoa maagizo.Jaji Kaijage anaidharaulisha taaluma yake.
Tunachelewa kufanya maamuzi magum; tunawahi kulalamika-hili ndio kosa lote.
Huyu mtu hapaswi kuendelea na huo wadhifa bali anastahili kupisha wengine.
Nchi imeharibiwa Sana hakuna utawala wa sheria.
Niko tayari nasubiri kipenga kipulizwe. Nimechoka kuonewa.Jaji Kaijage anaidharaulisha taaluma yake.
Tutashinda kwa nguvu ya umma sio ya tume. Hiyo ndio sababu tunasema tumeshashinda. Vipi sauti inatosha au niongeze?Siyo huru alafu mnaendelea kupiga kampen nakujiita mmeshashinda?
Ndiwo hasiyejuwa kuwandika"Hasiyejua" kuandika? Sawa!!
Siyo wao. Na wao wanatumwa, ndiyo maana Kuna mgombea anajiamini Sana hata kufikia hatua ya kuwatisha wapiga kura.TUME ya UCHAGUZI,
Tumieni HEKIMA kama Mfalme Seleman.
RUDISHENI WAGOMBEA WOTE WALIOENGULIWA, PASIWE NA KUPITA BILA KUPINGWA.
SANDUKU LA KURA LITAAMUA.
John yeye anawatisha wapiga kura.Bavicha wanaitisha NEC
[emoji3][emoji3][emoji3]