Hata wewe tuna wasi wasi na uelewa wako wa lugha adhimu ya kiswahiliAchana na hadithi za kusimuliwa, mimi sio mtaalamu wala nini lakini nilimsaidia mgombea wa Ccm hasiyejua kusoma wala kuandika kujaza form yake
Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.Mahela anadhani watu ni mabwege sana ! iko video yake ya ukada wa ccm humu ina trend vibaya mno! kifupi ni kama kavuliwa nguo
Hapana mzee; CHADEMA na ACT ni walalamishi kama watoto tu. Jamaa yule pamoja na Jaji wanafanya kazi zao kwa weledi sana kuliko muda wowote katika historia yetu, na tena wamejitahidi sana kuwa-accomodate ACT na CHADEMA hata pale ambapo ilikuwa ni wazi kuwa wangeweza kusukuma sheria msumeno kuwakataa baadhi ya wagombea.Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.
Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
Mkuu sijui unaelewa lakini. Hizo personal principles ndio zisizotakiwa kwenye dhamana. Kinachotakiwa kwenye dhamana ni guided principles na ethics. Mwambie aache UCCM wake kwanza ataangamiza nchi.Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.
Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
Mkuu,ninchotaka kukueleza hapa ni kwamba huyu bwana ni ethical hata video inayosambaa umemsikia mwenyewe akisema kabisa kwamba kama ataletwa kiongozi asiyekuwa na sifa hawezi tangaza ushindi wake kwa sababu ni mwana ccm.We unazijua guided principles bila ethics?Mkuu sijui unaelewa lakini. Hizo personal principles ndio zisizotakiwa kwenye dhamana. Kinachotakiwa kwenye dhamana ni guided principles na ethics. Mwambie aache UCCM wake kwanza ataangamiza nchi.
Ficha ujinga wako bas kidogo rudishen wagombea wote kwanza tuanzie hapo kwanza msiwachagulie viongoz watuHapana mzee; CHADEMA na ACT ni walalamishi kama watoto tu. Jamaa yule pamoja na Jaji wanafanya kazi zao kwa weledi sana kuliko muda wowote katika historia yetu, na tena wamejitahidi sana kuwa-accomodate ACT na CHADEMA hata pale ambapo ilikuwa ni wazi kuwa wangeweza kusukuma sheria msumeno kuwakataa baadhi ya wagombea. Ila wao wamekuwa na flexibility ya ku-accomodate watu wa upinzani sana. Ni ajabu kuwa ACT na CHADEMA wao wanaamini kuwa Tume inatenda haki tu iwapo wao watashinda; hawajui kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani.
Hapana mzee; CHADEMA na ACT ni walalamishi kama watoto tu. Jamaa yule pamoja na Jaji wanafanya kazi zao kwa weledi sana kuliko muda wowote katika historia yetu, na tena wamejitahidi sana kuwa-accomodate ACT na CHADEMA hata pale ambapo ilikuwa ni wazi kuwa wangeweza kusukuma sheria msumeno kuwakataa baadhi ya wagombea. Ila wao wamekuwa na flexibility ya ku-accomodate watu wa upinzani sana. Ni ajabu kuwa ACT na CHADEMA wao wanaamini kuwa Tume inatenda haki tu iwapo wao watashinda; hawajui kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani.
Wakati mwingine tuwe wakweli, kwenye ile video ya Mahela anawashauri wana CCM waweke MTU ambaye ni competent ili apambane kirahisi kushinda, sasa shida iko wapi? Kwa tafsiri yangu kwamba hata akiwa DED ni kama alikuwa anawaambia wasitegemea mtelemko Bali CCM wajiandae kwa kuweka mgombea nzuri, shida iko wapi hapo kwa Mahela?Mahela anadhani watu ni mabwege sana ! iko video yake ya ukada wa ccm humu ina trend vibaya mno! kifupi ni kama kavuliwa nguo
Kwanini asi -resign tu, tatizo letu waafrika ama ngozi nyeusi Ni njaa na ulevi wa madaraka!Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.
Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
Mkuu,ninchotaka kukueleza hapa ni kwamba huyu bwana ni ethical hata video inayosambaa umemsikia mwenyewe akisema kabisa kwamba kama ataletwa kiongozi asiyekuwa na sifa hawezi tangaza ushindi wake kwa sababu ni mwana ccm.We unazijua guided principles bila ethics?
Wakati mwingine tuwe wakweli, kwenye ile video ya Mahela anawashauri wana CCM waweke MTU ambaye ni competent ili apambane kirahisi kushinda, sasa shida iko wapi? Kwa tafsiri yangu kwamba hata akiwa DED ni kama alikuwa anawaambia wasitegemea mtelemko Bali CCM wajiandae kwa kuweka mgombea nzuri, shida iko wapi hapo kwa Mahela?
Haya.Mahela anadhani watu ni mabwege sana ! iko video yake ya ukada wa ccm humu ina trend vibaya mno! kifupi ni kama kavuliwa nguo
Kwamba msemaji na nshauri, ndio wenye nafasi pekee ya kuishauri CCM🤔?Yeye ni msemaji au mshauri wa ccm?
Hamna cha kufanya nyie makamanda wa makaratasiMahela anadhani watu ni mabwege sana ! iko video yake ya ukada wa ccm humu ina trend vibaya mno! kifupi ni kama kavuliwa nguo