Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

Achana na hadithi za kusimuliwa, mimi sio mtaalamu wala nini lakini nilimsaidia mgombea wa Ccm hasiyejua kusoma wala kuandika kujaza form yake
Hata wewe tuna wasi wasi na uelewa wako wa lugha adhimu ya kiswahili
 
Jamani, kwa wale ambao wana orodha ya Majibu ya Rufaa za NEC kwa wakati huu tunaomba waweke hapa ili tuandae mikakati kwa jili ya kuhakikisha kwamba wale wote wenye sifa wanarejeshwa kwenye sanduku la kura.
 
Attachments

Mahela anadhani watu ni mabwege sana ! iko video yake ya ukada wa ccm humu ina trend vibaya mno! kifupi ni kama kavuliwa nguo
Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.

Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
 
Hapana mzee; CHADEMA na ACT ni walalamishi kama watoto tu. Jamaa yule pamoja na Jaji wanafanya kazi zao kwa weledi sana kuliko muda wowote katika historia yetu, na tena wamejitahidi sana kuwa-accomodate ACT na CHADEMA hata pale ambapo ilikuwa ni wazi kuwa wangeweza kusukuma sheria msumeno kuwakataa baadhi ya wagombea.

Ila wao wamekuwa na flexibility ya ku-accomodate watu wa upinzani sana. Ni ajabu kuwa ACT na CHADEMA wao wanaamini kuwa Tume inatenda haki tu iwapo wao watashinda; hawajui kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani.
 
Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.

Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
Mkuu sijui unaelewa lakini. Hizo personal principles ndio zisizotakiwa kwenye dhamana. Kinachotakiwa kwenye dhamana ni guided principles na ethics. Mwambie aache UCCM wake kwanza ataangamiza nchi.
 
Mkuu,ninchotaka kukueleza hapa ni kwamba huyu bwana ni ethical hata video inayosambaa umemsikia mwenyewe akisema kabisa kwamba kama ataletwa kiongozi asiyekuwa na sifa hawezi tangaza ushindi wake kwa sababu ni mwana ccm.We unazijua guided principles bila ethics?
 
Hapana mzee; CHADEMA na ACT ni walalamishi kama watoto tu. Jamaa yule pamoja na Jaji wanafanya kazi zao kwa weledi sana kuliko muda wowote katika historia yetu, na tena wamejitahidi sana kuwa-accomodate ACT na CHADEMA hata pale ambapo ilikuwa ni wazi kuwa wangeweza kusukuma sheria msumeno kuwakataa baadhi ya wagombea. Ila wao wamekuwa na flexibility ya ku-accomodate watu wa upinzani sana. Ni ajabu kuwa ACT na CHADEMA wao wanaamini kuwa Tume inatenda haki tu iwapo wao watashinda; hawajui kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani.
Ficha ujinga wako bas kidogo rudishen wagombea wote kwanza tuanzie hapo kwanza msiwachagulie viongoz watu
 
NINGESHAURI KILA CHAMA KIANDIKE MAJINA YA WAGOMBEA WAKE WOTE WALIYOWEKEWA MAPIMGAMIZI NCHI NZIMA.

THEN MAJIMBO YAO NA KATA ZAO.
HII ITATURAHISISHIA KUJUA WALIOENGULIWA KIPUUZI NA DIKTETA UCHWARA.
 
Aise dah.kama hayo yanayofanyika kwako ndo unaita weledi basi hii nchi ina safari ndefu sana yakujikwamua toka kwenye lindi la ujinga.Weledi unaozungumzia ni upi,kwasababu ili kuwe na weledi ni lazima haki itendeke kwa usawa.Je nikweli kuna haki sawa kwa wote?.
Hapana mzee; CHADEMA na ACT ni walalamishi kama watoto tu. Jamaa yule pamoja na Jaji wanafanya kazi zao kwa weledi sana kuliko muda wowote katika historia yetu, na tena wamejitahidi sana kuwa-accomodate ACT na CHADEMA hata pale ambapo ilikuwa ni wazi kuwa wangeweza kusukuma sheria msumeno kuwakataa baadhi ya wagombea. Ila wao wamekuwa na flexibility ya ku-accomodate watu wa upinzani sana. Ni ajabu kuwa ACT na CHADEMA wao wanaamini kuwa Tume inatenda haki tu iwapo wao watashinda; hawajui kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani.
 
Kwa video ile ya mahela ilitakiwa ajiuzulu au aondolewe kwenye tume make anaonekana kuwa na upendeleo kwa chama fulani..huyu mtu ni hatari sana!
 
Mahela anadhani watu ni mabwege sana ! iko video yake ya ukada wa ccm humu ina trend vibaya mno! kifupi ni kama kavuliwa nguo
Wakati mwingine tuwe wakweli, kwenye ile video ya Mahela anawashauri wana CCM waweke MTU ambaye ni competent ili apambane kirahisi kushinda, sasa shida iko wapi? Kwa tafsiri yangu kwamba hata akiwa DED ni kama alikuwa anawaambia wasitegemea mtelemko Bali CCM wajiandae kwa kuweka mgombea nzuri, shida iko wapi hapo kwa Mahela?
 
Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.

Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
Kwanini asi -resign tu, tatizo letu waafrika ama ngozi nyeusi Ni njaa na ulevi wa madaraka!
 
Mkuu,ninchotaka kukueleza hapa ni kwamba huyu bwana ni ethical hata video inayosambaa umemsikia mwenyewe akisema kabisa kwamba kama ataletwa kiongozi asiyekuwa na sifa hawezi tangaza ushindi wake kwa sababu ni mwana ccm.We unazijua guided principles bila ethics?

Kwani kutangaza ni maamuzi yake, au anatangaza kutokana na idadi ya kura halali?
 
Wakati mwingine tuwe wakweli, kwenye ile video ya Mahela anawashauri wana CCM waweke MTU ambaye ni competent ili apambane kirahisi kushinda, sasa shida iko wapi? Kwa tafsiri yangu kwamba hata akiwa DED ni kama alikuwa anawaambia wasitegemea mtelemko Bali CCM wajiandae kwa kuweka mgombea nzuri, shida iko wapi hapo kwa Mahela?

Yeye ni msemaji au mshauri wa ccm?
 
Back
Top Bottom