Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Halafu kile kichwa chake ni cha kihutu kabisa yule siyo mzalendoMahela anadhani watu ni mabwege sana ! iko video yake ya ukada wa ccm humu ina trend vibaya mno! kifupi ni kama kavuliwa nguo
Huyu hapindui kwa aliyemuweka hapokwa video ile ya mahela ilitakiwa ajiuzulu au aondolewe kwenye tume make anaonekana kuwa na upendeleo kwa chama fulani..huyu mtu ni hatari sana!
Ccm mna propaganda za kitoto sana, mmefanya siasa peke yenu miaka mitano ila bado mmeamua kutafuta ushindi wa mezani kwa nguvu.Hapana mzee; CHADEMA na ACT ni walalamishi kama watoto tu. Jamaa yule pamoja na Jaji wanafanya kazi zao kwa weledi sana kuliko muda wowote katika historia yetu, na tena wamejitahidi sana kuwa-accomodate ACT na CHADEMA hata pale ambapo ilikuwa ni wazi kuwa wangeweza kusukuma sheria msumeno kuwakataa baadhi ya wagombea. Ila wao wamekuwa na flexibility ya ku-accomodate watu wa upinzani sana. Ni ajabu kuwa ACT na CHADEMA wao wanaamini kuwa Tume inatenda haki tu iwapo wao watashinda; hawajui kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani.
Kama akili yako imeona hivyo basi INA walakiniWakati mwingine tuwe wakweli, kwenye ile video ya Mahela anawashauri wana CCM waweke MTU ambaye ni competent ili apambane kirahisi kushinda, sasa shida iko wapi? Kwa tafsiri yangu kwamba hata akiwa DED ni kama alikuwa anawaambia wasitegemea mtelemko Bali CCM wajiandae kwa kuweka mgombea nzuri, shida iko wapi hapo kwa Mahela?
Huyu jamaa hsikosi anatumia nguvu za Giza. Mbona wateule wake wote akiwateua wanageuka kuwa zaidi ya Kondoo?Huyu hapindui kwa aliyemuweka hapoView attachment 1564833
Wewe huoni shida kiongoz wa tume kuwa mwanaccm.nchi hii safari yetu ni ndefu sana.Wakati mwingine tuwe wakweli, kwenye ile video ya Mahela anawashauri wana CCM waweke MTU ambaye ni competent ili apambane kirahisi kushinda, sasa shida iko wapi? Kwa tafsiri yangu kwamba hata akiwa DED ni kama alikuwa anawaambia wasitegemea mtelemko Bali CCM wajiandae kwa kuweka mgombea nzuri, shida iko wapi hapo kwa Mahela?
SawaJamani, kwa wale ambao wana orodha ya Majibu ya Rufaa za NEC kwa wakati huu tunaomba waweke hapa ili tuandae mikakati kwa jili ya kuhakikisha kwamba wale wote wenye sifa wanarejeshwa kwenye sanduku la kura.
Wale 900 wa Gamboshi watakuwa wamehusikaHuyu jamaa hsikosi anatumia nguvu za Giza. Mbona wateule wake wote akiwateua wanageuka kuwa zaidi ya Kondoo?
Anawapiga kipapai wakati wa kuwaapisha? Hebu ona mtu kama Kabudi kabla alikuwaje, Mpango jee? Na wangapi hata wakati wa JK walipoteuliwa walikuwa wachapa kazi na wenye hoja sasa wakoje? Yaani in mazombie kabisa shida inaanzia wapi?
Tumuombe Mshana Jr aje atusaidie kuangalia kwa jicho LA tatu kuwa jee hii ni kipapai au zongo?
Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.
Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
Hana principles zozote ni mhuni tu kama wahuni wengineMimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.
Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
Wana nafasi ya kuwatimua wote waliofanya maamuzi ya kipumbafu huko chini kama walivyofanya kule Moshi. Ebu fikiria maamuzi ya kipumbafu unayoyasema yakifanyika wakati wa kutangaza matokeo, si itakuwa hatari. Si unajua matokeo yakishatangazwa (ubunge na udiwani) hakuna rufaa tume - labda mahakamani; na unaujua mlolongo wa taratibu za mahakama!Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.
Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
Atamtangaza mpinzani hata kama hajashinda ?Mkuu,ninchotaka kukueleza hapa ni kwamba huyu bwana ni ethical hata video inayosambaa umemsikia mwenyewe akisema kabisa kwamba kama ataletwa kiongozi asiyekuwa na sifa hawezi tangaza ushindi wake kwa sababu ni mwana ccm.We unazijua guided principles bila ethics?
Hata nami nime fanya kazi na huyu Mahela, kwanza ni kada mwaminifu wa Ccm, pili ni mwoga hana maamuzi akikoromewa na mamlaka iliyoko juu yake. Refer Jerry Muro alivyo mfokea mbele ya media.Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.
Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
Tushasema sasa baaaasi , kama unaelewa kiswahili utajua tunachomaanishaHamna cha kufanya nyie makamanda wa makaratasi
hayo ni maoni ya watu wasiokuwa na akiliFicha ujinga wako bas kidogo rudishen wagombea wote kwanza tuanzie hapo kwanza msiwachagulie viongoz watu