Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

kwa video ile ya mahela ilitakiwa ajiuzulu au aondolewe kwenye tume make anaonekana kuwa na upendeleo kwa chama fulani..huyu mtu ni hatari sana!
Huyu hapindui kwa aliyemuweka hapo
FB_IMG_1599070131067.jpg
 
Hapana mzee; CHADEMA na ACT ni walalamishi kama watoto tu. Jamaa yule pamoja na Jaji wanafanya kazi zao kwa weledi sana kuliko muda wowote katika historia yetu, na tena wamejitahidi sana kuwa-accomodate ACT na CHADEMA hata pale ambapo ilikuwa ni wazi kuwa wangeweza kusukuma sheria msumeno kuwakataa baadhi ya wagombea. Ila wao wamekuwa na flexibility ya ku-accomodate watu wa upinzani sana. Ni ajabu kuwa ACT na CHADEMA wao wanaamini kuwa Tume inatenda haki tu iwapo wao watashinda; hawajui kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani.
Ccm mna propaganda za kitoto sana, mmefanya siasa peke yenu miaka mitano ila bado mmeamua kutafuta ushindi wa mezani kwa nguvu.
 
Wakati mwingine tuwe wakweli, kwenye ile video ya Mahela anawashauri wana CCM waweke MTU ambaye ni competent ili apambane kirahisi kushinda, sasa shida iko wapi? Kwa tafsiri yangu kwamba hata akiwa DED ni kama alikuwa anawaambia wasitegemea mtelemko Bali CCM wajiandae kwa kuweka mgombea nzuri, shida iko wapi hapo kwa Mahela?
Kama akili yako imeona hivyo basi INA walakini
 
Huyu hapindui kwa aliyemuweka hapoView attachment 1564833
Huyu jamaa hsikosi anatumia nguvu za Giza. Mbona wateule wake wote akiwateua wanageuka kuwa zaidi ya Kondoo?
Anawapiga kipapai wakati wa kuwaapisha? Hebu ona mtu kama Kabudi kabla alikuwaje, Mpango jee? Na wangapi hata wakati wa JK walipoteuliwa walikuwa wachapa kazi na wenye hoja sasa wakoje? Yaani in mazombie kabisa shida inaanzia wapi?
Tumuombe Mshana Jr aje atusaidie kuangalia kwa jicho LA tatu kuwa jee hii ni kipapai au zongo?
 
Tutakaoamua mgombea yupi tunamtaka aje kutuongoza ni sisi wananchi hao nec wasilazimishe kutuwekea watu tusiowataka, busara ndogo tuu ingetumika kuondoa huu uozo unaonuka wa kupita bila kupingwa..
 
Wakati mwingine tuwe wakweli, kwenye ile video ya Mahela anawashauri wana CCM waweke MTU ambaye ni competent ili apambane kirahisi kushinda, sasa shida iko wapi? Kwa tafsiri yangu kwamba hata akiwa DED ni kama alikuwa anawaambia wasitegemea mtelemko Bali CCM wajiandae kwa kuweka mgombea nzuri, shida iko wapi hapo kwa Mahela?
Wewe huoni shida kiongoz wa tume kuwa mwanaccm.nchi hii safari yetu ni ndefu sana.
 
Jamani, kwa wale ambao wana orodha ya Majibu ya Rufaa za NEC kwa wakati huu tunaomba waweke hapa ili tuandae mikakati kwa jili ya kuhakikisha kwamba wale wote wenye sifa wanarejeshwa kwenye sanduku la kura.
Sawa
 
Huyu jamaa hsikosi anatumia nguvu za Giza. Mbona wateule wake wote akiwateua wanageuka kuwa zaidi ya Kondoo?
Anawapiga kipapai wakati wa kuwaapisha? Hebu ona mtu kama Kabudi kabla alikuwaje, Mpango jee? Na wangapi hata wakati wa JK walipoteuliwa walikuwa wachapa kazi na wenye hoja sasa wakoje? Yaani in mazombie kabisa shida inaanzia wapi?
Tumuombe Mshana Jr aje atusaidie kuangalia kwa jicho LA tatu kuwa jee hii ni kipapai au zongo?
Wale 900 wa Gamboshi watakuwa wamehusika
 
Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.

Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi

Uungwana wa mtu unakuwa defined kwa kukataa/kutokukubali kushiriki uovu dhidi ya binadamu wenzako....

Kama ni mtu wa principles, basi ajiuzulu nafasi hiyo ili kuepuka kushiriki dhambi ya kunyima ama kupora watu haki zao kwa jina la dola/uzalendo...

Hii ndiyo the best practice ya mtu anayeishi ktk principles za haki...m
 
Hakika CCM ni chama kikubwa sana .....
 
Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.

Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
Hana principles zozote ni mhuni tu kama wahuni wengine
 
Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.

Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
Wana nafasi ya kuwatimua wote waliofanya maamuzi ya kipumbafu huko chini kama walivyofanya kule Moshi. Ebu fikiria maamuzi ya kipumbafu unayoyasema yakifanyika wakati wa kutangaza matokeo, si itakuwa hatari. Si unajua matokeo yakishatangazwa (ubunge na udiwani) hakuna rufaa tume - labda mahakamani; na unaujua mlolongo wa taratibu za mahakama!
 
Mkuu,ninchotaka kukueleza hapa ni kwamba huyu bwana ni ethical hata video inayosambaa umemsikia mwenyewe akisema kabisa kwamba kama ataletwa kiongozi asiyekuwa na sifa hawezi tangaza ushindi wake kwa sababu ni mwana ccm.We unazijua guided principles bila ethics?
Atamtangaza mpinzani hata kama hajashinda ?

Yule Mahera ni mshenzi tu kama washenzi wengine
 
Mimi nimewahi kufanya kazi naMahera.Pamoja na ukada wake lakini he has personal principles ambazo zinamguide.Jueni kwamba anafanya kazi katika mazingira magumu sana kwani amezungukwa na makada wa CCM ambao kwanza ni watu wasiojali kucheza rafu na wengi wamefanya maamuzi ya kipumbafu huku chini na yeye sasa anatakiwa kuyarekebisha sio kazi rahisi.

Hata hivyo nafikiri tunahitaji Tume imara zaidi ya iliyopo tena iliyo huru na wazi katika ufanyaji kazi
Hata nami nime fanya kazi na huyu Mahela, kwanza ni kada mwaminifu wa Ccm, pili ni mwoga hana maamuzi akikoromewa na mamlaka iliyoko juu yake. Refer Jerry Muro alivyo mfokea mbele ya media.
 
Back
Top Bottom