Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yabandika majina ya walioteuliwa kuwania Urais na Makamu wa Rais

Hii maana yake nin? Wanabandikaje wakati bado hawajamaliza kuhakiki fomu za wagombea wa vyama vyote?
 
Wanatafuta ushindi wa mezani kuwa baadhi ya wadhamini hawapo kwenye daftari la kupiga kura. Pamoja na yote wanayojivunia kufanya ila upinzani unahofiwa kwa namna ya juu sana.
 
Acha ujinga wewe! Lugha zipi hizo? Kuna mtu mwenye lugha chafu Nchi hii kama huyo anayejiita KICHAA!?
Kwani wahariri wamesemaje? Acha kujitoa ufahamu
 
Acha ujinga wewe! Lugha zipi hizo? Kuna mtu mwenye lugha chafu Nchi hii kama huyo anayejiita KICHAA!?
Kwani wahariri wamesemaje? Acha kujitoa ufahamu
 
Tumeccm NECCCM ni Tumeccm ya hovyo kupata kutokea Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…