mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,084
Hizi lugha ndo zinawaponza siku zote hamjifunziHadi muda huuu tundu lissu bado hajapitishwa... Wanachokitafuta watakipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi lugha ndo zinawaponza siku zote hamjifunziHadi muda huuu tundu lissu bado hajapitishwa... Wanachokitafuta watakipata
Polepole tulia, hakuna kupita bila sanduku la kuraHizi lugha ndo zinawaponza siku zote hamjifunzi
Hizi lugha ndo zinawaponza siku zote hamjifunzi
Hujuma kwa chademaHii maana yake nin? Wanabandikaje wakati bado hawajamaliza kuhakiki fomu za wagombea wa vyama vyote?
Walikuwepo akina Iddy Amin Dada Bokasa Elbashiri wapo wapi sasa? Hakuna mabaya yasiyo na mwishoKuna jambo wanatutafuta watanzania...
Kwani wahariri wamesemaje? Acha kujitoa ufahamuAcha ujinga wewe! Lugha zipi hizo? Kuna mtu mwenye lugha chafu Nchi hii kama huyo anayejiita KICHAA!?
Kwani wahariri wamesemaje? Acha kujitoa ufahamuAcha ujinga wewe! Lugha zipi hizo? Kuna mtu mwenye lugha chafu Nchi hii kama huyo anayejiita KICHAA!?
CCM wanaogopa ushindani ni Aibu CCM wanajinadi kuleta maendeleo lakini wanamuogopa Tundu lisu mpaka AibuWanatafuta ushindi wa mezani kuwa baadhi ya wadhamini hawapo kwenye daftari la kupiga kura. Pamoja na yote wanayojivunia kufanya ila upinzani unahofiwa kwa namna ya juu sana.
Sasa unategemea tuongee lugha gani, wakati unaona wazi kuwa kuna mgombea mmoja, anaonewa wazi wazi?Hizi lugha ndo zinawaponza siku zote hamjifunzi
Wakuu, kuna kazi hapa Dodoma imeanza rasmi saa 12 kamili jioni hii. Majina yanabandikwa kama mnavyooa
View attachment 1547809
Kwani wahariri wamesemaje? Acha kujitoa ufahamu