Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Kama ni uchawi basi ni huu
80% ya wapinzani atukupiga kura
Tumesema hata ukipigia kura upinzani bado ccm watajitangaza wenyewe wameshinda
Ni kweli kila kona ya nchi ukimuhoji mpinzani amezira kupiga kura
Mil 29 waliojiandikisha
Mil 15 wamepiga kura
Ccm wamejipigia kura mil 12

Wapinzani tumekaa vijiweni na majumbani
Mil 14
Kisha sisi ndio wa kwanza kulalamika tumeibiwa
Tulitaka kura zetu wakatupigie majini?
Kifupi sisi wenyewe tumeridhika na msemo wa wahenga zimwi likujualo alikuli ukakwisha
Ngoja tuendelee na zimwi mwenyeji kuliko zimwi mgeni…
Hata kama
Kuliko kupoteza sadaka yangu kupeleka kanisani iliwe na mchungaji ni mara kumi nimewanunulia watoto wangu kuku jumapili wakala.
Peleka kwa Bagonza
 
Hahahaha hii nchi imeshageuzwa ya mazuzu,namuangalia jaji wa nec hapo nacheka mpaka basi ,yaaani siamini nionacho kwenye macho yangu hivi tumefikia hatua hii kweli

Tatizo wanatudharau sana wananchi. Na sisi bora tuendelee kudharaulika tu. Hatujiwezi. Wacha watuchakaze, tunastahili.
 
Maumivu ya nn kwa lissu maumivu yapo kwa sisi watanzania wapenda haki tuliopoteza muda wetu kupiga kura wakati nec wapo na matokeo yao mfukoni sasa tutaona nyie mnaoshangilia kama mtakua na favor yoyote

Exactly. Wanaona hii ni game ya Simba na Yanga. Tutapoumia, ni wote, hakuchagui mtu.
 
Kura zilezile alizosema Lissu siku kabla ya uchaguzi.. 12 million!! Nchi ya ajabu hii jamani [emoji2296]

Unaamini Kila Anachokisema Lissu? Hujui CCM Wamewazidi Akili, Miaka Zaidi Ya 20 Ni Kulalamika Kuibiwa Mnashindwa Kutatua Tatizo. Ndo Maana Tunasema Upinzani Hakuna Viongozi Kuna Vilaza, Kelele Nyingi Vitendo 0 Bora Muwe Mnachukua Wagombea Waliokatwa CCM Kidogo Wao Wana Kitu Cha Kuiangusha CCM, Sio Hawa Wananunua Majeans Ya Manzese Na Kumtumia Shoga Amsterdam
 
Asilimia 80+ aisee hii kali.

Mshindani Wake Alikuwa Dhaifu, Badala Ya Kunadi Sera Yeye Anarusha Vitisho Na Matusi Kwa Rais. Alitegemea atapata kura za huruma, Hakuna Kitu Kama Hicho Watz Wanataka Uwatatulie Kwanza Shida Zao Kabla Hujaeleza Za Kwako. Hicho Kinaitwa Kipigo cha Sitarudia Tena!!
 
Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo...
Acha mihemuko matrillion gani?

Au umewehukwa.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule.
Upinzani umekula kipigo cha mbwa koko[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
CCM ndo umeamua kutufanya Uganda, Rwanda na Burundi?

Watanzania tujipeni pole.

Nyerere kwanini hukubadili Katiba kabla haujaondoka? JK kwanini ulimkata Lowassa?

Watanzania ipo siku tutasema enough is enough. Maana huko tuendako.
 
Hivi Magufuli ndo Rais wa kwanza kupata asilimia 87 tokea uchaguzi wa vyama vingi kuanza. 2005 Jakaya alipendwa sana tena sana alipata asilimia 80,leo 2020 Magufuli na madudu yote anapata asilimia 87?

Yaani naandika huku machozi yananitoka. Tanzania yangu jamani.
 
Tutamnyoosha kuanzia leo. Halafu hizo ni kura za wizi maana hata wanachama wake milioni 10 aliojitapa Polepole kuwa wana wanachama milioni 22 hawajampa kura.

Pia time ituambie hao wapiga kura wapya milioni 15 iliyodai kuandikisha wako wapi?
 
Hivi Magufuli ndo Rais wa kwanza kupata asilimia 87 tokea uchaguzi wa vyama vingi kuanza. 2005 Jakaya alipendwa sana tena sana alipata asilimia 80,leo 2020 Magufuli na madudu yote anapata asilimia 87?
Yaani naandika huku machozi yananitoka. Tanzania yangu jamani.
Uyu mzee siyo mzima serious
 
Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo...
Yaani PolisiCCM anakiri kwamba "hili tukio ni la zaidi ya 13" halafu wanatokea akina Mzee Mwanakijiji wanasema hicho kitu hakiwezekani! What kama huyo mtu angefanikiwa kuingia nazo ndani wakati inaelekeweka kuna vituo hata mawakala hawapo?

Hivi sasa ndo unaweza kuwaelewa Wapemba kwanini baada ya uchaguzi wa mwaka 2000, walianza kuchukiana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu huu ni ushenzi!
 
CCM ndo umeamua kutufanya Uganda, Rwanda na Burundi?

Watanzania tujipeni pole.

Nyerere kwanini hukubadili Katiba kabla haujaondoka? JK kwanini ulimkata Lowassa?

Watanzania ipo siku tutasema enough is enough. Maana huko tuendako.
Ila maisha yako kasi sana.

Tukiyokuwa tunayasikia Rwanda, Burundi, Congo na Uganda sasa ndio tunayaishi.

Kidemocracy kimebaki nini?

Term limits?

Let's wait and see
 
Na safari hii yametumika matrilioni haswaaaaa.

Hata kichaa anajua huyu bwana kaiba.

Cha kuonesha kweli kaiba matokeo yametangazwa harakaharakaaaa kama vile mwizi.

Back
Top Bottom