Kama ni uchawi basi ni huu
80% ya wapinzani atukupiga kura
Tumesema hata ukipigia kura upinzani bado ccm watajitangaza wenyewe wameshinda
Ni kweli kila kona ya nchi ukimuhoji mpinzani amezira kupiga kura
Mil 29 waliojiandikisha
Mil 15 wamepiga kura
Ccm wamejipigia kura mil 12
Wapinzani tumekaa vijiweni na majumbani
Mil 14
Kisha sisi ndio wa kwanza kulalamika tumeibiwa
Tulitaka kura zetu wakatupigie majini?
Kifupi sisi wenyewe tumeridhika na msemo wa wahenga zimwi likujualo alikuli ukakwisha
Ngoja tuendelee na zimwi mwenyeji kuliko zimwi mgeni…