Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Magu chapa kazi waache wapinga maendeleo waendelee kupiga domo
 
Safi sana. Tunataka azidi kututawala hata miaka 15 ijayo ili aishikishe adabu hii nchi.
 
Chaguo la wananchi wa wapi wewe ajuza mbona hujielewi, Tanzania ni nchi nyingine kiaje kwamba imekuwa giant wa economy East Africa au raia wake wana ajira ili kuweza kumudu maisha?

Najutia sana kuzaliwa Tanzania na laiti ningelikuwa nakufahamu ningelikuona popote nakutemea mate usoni
 
 
Imeisha hiyooo!! Uamuzi wa watanzania uheshimiwe, uchaguzi ulikuwa huru na was amani, Hii ni nchi huru, hatutaki kuingiliwa na nchi za magharibi.
Mkuu usikubali kuingiliwa mabeberu si watu wazuri.
 
Yaani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu.

NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi, mabegi mengine watakuwa wameyatupa hawajayahesabu.
Tukiwaonya kuwa Lissu ndio mgombea atakaetia aibu kuliko wagombea wote waliowahi kugombea pale chadema
 
Tunaomba hii post ipate like nyingi kuliko ya mteule...kwasababu hii mbinu ndio CDM wamechemka!
 
Ingekua ni Lissu saivi tunatafuta page ya 45 hivi, mana wakati wa kampeni uzi ulikua unakimbia hatari pia.
Si ndio mlichokuwa mnafanya wakati wa kampeni? Alafu na yeye alivyozuzu akiona uzi wake una page 100 anajiona tayari keshashinda.

Nadhani sasa ameona rangi halisi za watz. Amuulize Mange kilichotokea.
 
Kwani amezifunga yeye au unamsingizia tu mteule wa CCM.
Mwambie tu hata bila internet maisha yanasonga acha kumlaumu baba yao
Atakuwa hakufunga yeye. TCRA labda walikuwa wanatest mitambo sasa wamesahau password...ama nini?
 
Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo..
mwengeso
Angalia hapa.. policcm nao wanazo shehena za kura zilizopigiwa ccm tayari ili kuingiza vituoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…