Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Magu chapa kazi waache wapinga maendeleo waendelee kupiga domo
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule.

Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura 12,516,252 (sawa na 84.4% ya kura halali) akifuatiwa na aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ambaye amepata kura 1,933,271 (sawa na 13.04% ya kura halali)

Dkt. Magufuli ambaye pia ni Rais wa Tanzania amepata ridhaa ya kuongoza kwa muhula wa pili kama Marais waliotangulia.

Tume imesema walikuwa na jumla ya watu 29,754,699 waliojiandikisha kupiga kura, na waliopiga kura walikuwa 15,091,950. Kura halali zilikuwa 14,830,195 huku kura 261,755 zikiwa zimeharibika.

Safi sana. Tunataka azidi kututawala hata miaka 15 ijayo ili aishikishe adabu hii nchi.
 
vizuri umeelewa.. basi kwa lolote.. ujue miaka mitano ijayo hata ufanyacho.. hakuna vya dezo tena.. Tanzania ni nchi nyingine kabisa... Magufuli tano tena.. mtasaga meno kama yalibaki kabla.. punguzeni hasira mjipende.. chaguo la wananchi ni Mgufuli oyeeeeee
Chaguo la wananchi wa wapi wewe ajuza mbona hujielewi, Tanzania ni nchi nyingine kiaje kwamba imekuwa giant wa economy East Africa au raia wake wana ajira ili kuweza kumudu maisha?

Najutia sana kuzaliwa Tanzania na laiti ningelikuwa nakufahamu ningelikuona popote nakutemea mate usoni
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule.

Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura 12,516,252 (sawa na 84.4% ya kura halali) akifuatiwa na aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ambaye amepata kura 1,933,271 (sawa na 13.04% ya kura halali)

Dkt. Magufuli ambaye pia ni Rais wa Tanzania amepata ridhaa ya kuongoza kwa muhula wa pili kama Marais waliotangulia.

Tume imesema walikuwa na jumla ya watu 29,754,699 waliojiandikisha kupiga kura, na waliopiga kura walikuwa 15,091,950. Kura halali zilikuwa 14,830,195 huku kura 261,755 zikiwa zimeha
Huamini nn sasa. Asitangaze matokeo?

Mitandao inafunguliwa lini sasa????
 
Imeisha hiyooo!! Uamuzi wa watanzania uheshimiwe, uchaguzi ulikuwa huru na was amani, Hii ni nchi huru, hatutaki kuingiliwa na nchi za magharibi.
Mkuu usikubali kuingiliwa mabeberu si watu wazuri.
 
Yaani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu.

NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi, mabegi mengine watakuwa wameyatupa hawajayahesabu.
Tukiwaonya kuwa Lissu ndio mgombea atakaetia aibu kuliko wagombea wote waliowahi kugombea pale chadema
 
Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo.

Natamani Mw. Nyerere afufuke kwa siku moja, aje ajionee.

#LINK Askari polisi wakamata shehena za mabegi yenye kura zilizopigwa nje ya kituo, zilikua zinaingizwa kwa njia ya panya ndani ya vituo. Washangaa na kukiri kuna defender la polisi limejaa shehena ya mabegi ya kura zilizokamatwa kama vielelezo.

Zitto Tundu Lissu

Tunaomba hii post ipate like nyingi kuliko ya mteule...kwasababu hii mbinu ndio CDM wamechemka!
 
Ingekua ni Lissu saivi tunatafuta page ya 45 hivi, mana wakati wa kampeni uzi ulikua unakimbia hatari pia.
Si ndio mlichokuwa mnafanya wakati wa kampeni? Alafu na yeye alivyozuzu akiona uzi wake una page 100 anajiona tayari keshashinda.

Nadhani sasa ameona rangi halisi za watz. Amuulize Mange kilichotokea.
 
Kwani amezifunga yeye au unamsingizia tu mteule wa CCM.
Mwambie tu hata bila internet maisha yanasonga acha kumlaumu baba yao
Atakuwa hakufunga yeye. TCRA labda walikuwa wanatest mitambo sasa wamesahau password...ama nini?
 
Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo..
mwengeso
Angalia hapa.. policcm nao wanazo shehena za kura zilizopigiwa ccm tayari ili kuingiza vituoni
 
Back
Top Bottom