Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Kwa Mh. Tundu Lissu unamuonea maana uchaguzi haukufanyika, bali tulitangaziwa matokeo ya uchafuzi kwa amri ya Jenerali MWENDAZAKE. So takwimu zako Haziko sahihi nikutake tu uzirekebishe.....Regards, Ryaro wa Ryaro.
 
Kulikuwa na uchaguzi mkuu au uharibifu mkuu?
 
Wekeni tume huru ya uchaguzi ondoeni figisu muone ambavyo hamkubaliki
 
Kazi iendelee

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
2020 uchaguzi ulikuwa wa hovyo , ukiangalia graph ilivyokuwa inapanda 2020 CCM ilikuwa haishindi,
5.8- 20.2
26 - 13.9
39.9 , -10
49.9
Mwaka huu 2020 , walikuwa na probability ya kupata kura 49.9%, CCM wangepata 48.1%.

Kama haki ingefuta hakuna chama kingevuka Asilimia 50.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee
 
Wewe endelea kuchochea dhuluma ipo siku.
 
Sio lazima uwe mchungaji ili mungu akutumie, mungu wangu yupo up to date Sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…