Yaani wamekula na kipofu hadi wamemgusa mkono.... 😂😂😂😂😂😂😂12mil kwa 1mil?! Give Me A Break..
J2 ndio anapewa mikoba kama sikosei.Wamesema anaapishwa lini...??
Meza ya NECUshindi wa mezani!
Panahitajika reform ya hali ya juu kwenye hii nchi, yani tunaishi kwenye uozo.Hahahahaha wizi wa kishindo Lissu 15% ya kura na yule anayejiita MWENDAWAZIMU 85% asilimia iliyokuwa midomoni mwao wiki kadhaa kabla ya uchaguzi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu, NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi.
Prof. Rwekaza S. Mukandala aliwahi kusema kuwa, hajui hatima ya Magufuli na CCM Mpya itakuwaje 2020 wananchi wakiamuaJ2 ndio anapewa mikoba kama sikosei.
Panahitajika reform ya hali ya juu kwenye hii nchi, yani tunaishi kwenye uozo.
Sitetemeki hata kdg, Ila US inajifanya kiherehe sana kutukosoa! Nawapa taarifa tu, Watulie na wakubaliane na uamuzi wa wananchi.Unatetemeka nini sasa!.
Prof. Rwekaza S. Mukandala aliwahi kusema kuwa, hajui hatima ya Magufuli na CCM Mpya itakuwaje 2020 wananchi wakiamua