Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Prof. Rwekaza S. Mukandala aliwahi kusema kuwa, hajui hatima ya Magufuli na CCM Mpya itakuwaje 2020 wananchi wakiamua
Amepata jibu leo Watanzania wanataka maendeleo. Safi sana. Hao mabubu BAK wanaotaka kusema Wacha waendelee kuwa mashoga wa wazungu.
 
Ni shangwe tupu baada ya Mgombea urais kupitia CCM Ndugu John Pombe Magufuli kutangazwa kuwa Rais Mteule wa awamu ya sita kwa kura zaidi ya milioni 12 akimuacha mbali Mgombea wa Chadema Tundu Lissu.

KONGOLE Mh Rais John Pombe Magufuli.
Hio awamu ya sita ni ipi mkuu??[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Ni shangwe tupu baada ya Mgombea urais kupitia CCM Ndugu John Pombe Magufuli kutangazwa kuwa Rais Mteule wa awamu ya sita kwa kura zaidi ya milioni 12 akimuacha mbali Mgombea wa Chadema Tundu Lissu.

KONGOLE Mh Rais John Pombe Magufuli.
Kama jina lako linavyojieleza
 
Ni shangwe tupu baada ya Mgombea urais kupitia CCM Ndugu John Pombe Magufuli kutangazwa kuwa Rais Mteule wa awamu ya sita kwa kura zaidi ya milioni 12 akimuacha mbali Mgombea wa Chadema Tundu Lissu.

KONGOLE Mh Rais John Pombe Magufuli.
Kwa jinsi ambavyo matokeo yalikuwa yakisomwa JPM alitakiwa apate zaidi ya 98% wamemuonea au tume imemhujumu. Napendekeza hesabu kura za jpm zirudiwe kuhesabiwa.
 
Jiwe bana eti naye ananyoa panki
IMG_20201030_213117.jpg
 
Back
Top Bottom