Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Amepata jibu leo Watanzania wanataka maendeleo. Safi sana. Hao mabubu BAK wanaotaka kusema Wacha waendelee kuwa mashoga wa wazungu.Prof. Rwekaza S. Mukandala aliwahi kusema kuwa, hajui hatima ya Magufuli na CCM Mpya itakuwaje 2020 wananchi wakiamua