Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Ni shangwe tupu baada ya Mgombea urais kupitia CCM Ndugu John Pombe Magufuli kutangazwa kuwa Rais Mteule wa awamu ya sita kwa kura zaidi ya milioni 12 akimuacha mbali Mgombea wa Chadema Tundu Lissu.

KONGOLE Mh Rais John Pombe Magufuli.
Duuuuuuuuuh! Awamu ya sita hahahhahha,kweli Tanzania tuna vilaza wengi ety hao ndo wanategemewa na vizazi vyao kuweka nchi kwenye maendeleo ya kijamii,sayansi na technolojia
 
NEC imemtangaza Magufuli kua Rais mteule Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa kura 12,516,252
 
Pole , chomoa ukimbie
Yani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu.

NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi, mabegi mengine itakuwa wameyatupa hawajayahesabu.
 
Kwa jaji yupi ufungue kesi?Kwa katiba ipi hii ya mkoloni ?
Unalilia kitu ambacho hujui. CCM re-incarnates itself year after year kwa hiyo kuiondoa madarakani sio rahisi. Angalia DJ Mlevi wa konyagi tangu amekuwa mwenyekiti, CCM wamekuwa na wenyekiti wangapi? Ukilijua hilo lazima ukubali kwamba CCM watatawala milele kwa sababu kila baada ya miaka 10 wanabadili Jemedari mkuu nyinyi tangu chama cha ukoo kianze mna yule yule mwizi ooops mlevi wa konyagi.
Nilianzisha uzi jana wa nyinyi kujitafakari lakini kwa sababu ya kuendeleza chama cha ukoo mmeiondoa, endeleeni kubaki hapo hapo sisi Watanzania tunasonga mbele
 
Movie imeisha.. fungulia internet baba uone yaliyokua yanaendelea.. ulifunga internet kumbe wewe tuu ndio ulikua hupati internet..

[emoji1]
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…