Una mahaba sana na ccm... kama wewe ni Ke, mumeo anafaidi sana....Kumbe tatizo lako ni status quo? Sikujua! Hata ukawa wakiingia madarakani utaanza kuwapinga!
Huna ulicho kiandika zaidi ya kuwewesekaKumbe tatizo lako ni status quo? Sikujua! Hata ukawa wakiingia madarakani utaanza kuwapinga!
Hata mimi mkuu... M7 ameoverdue.... tangu 86? Do.... ndo maana kina Trump wanatuona watumwa.... rushwa Ug ni shidaNatamani kuiona Uganda mpya
Mkuu uganda mpya itakuja lkn ule mkono wa chuma bado unaendelea kuwatesa na kuwanyima haki wananchi wa uganda, hivi sasa kiongozi wa upinzani kizza besigye anashikiliwa na police huku ofisi za fdc zikwa zimezingilwa na majeshi ya watawalaNatamani kuiona Uganda mpya
Wapuuzi sana hawa wadudu sitaki kukumbuka machungu ya uchaguzi wetuMkuu uganda mpya itakuja lkn ule mkono wa chuma bado unaendelea kuwatesa na kuwanyima haki wananchi wa uganda, hivi sasa kiongozi wa upinzani kizza besigye anashikiliwa na police huku ofisi za fdc zikwa zimezingilwa na majeshi ya watawala
Kweli kabisa mkuu maana hadi saa kumi walipotangaza matokeo museven alikuwa na kura 2m na besigye alikuwa na 1.4mMpinzani anakamatwa kila wakati
Kwa nini uwanja wa demokrasia hauko huru kwenye nchi zetu za kiafrica
Besgye kajitahidi sana.
Ni sawa na wale wanyama wanaopatikana mbuga ya serengeti wakati wanaenda kunywa maji huwa hawasikii chochote hata kama simba yupo karibu nao hawajaliHuyo hana mahaba na mume wake hata, hela mbele kama chama chao.
Ndiyo maana yeyote anayekuja na atakachoongea/Fanya wao hushangilia tu pasipo kujua wanashangilia nini
Hao ndio viongozi tulio nao ktk bara letu la Afrika, na ndio hao wanapendekeza nchi za afrika kujiondoa kutoka iccHata mimi mkuu... M7 ameoverdue.... tangu 86? Do.... ndo maana kina Trump wanatuona watumwa.... rushwa Ug ni shida
Mkuu inatia uchungu sana kiukweliWapuuzi sana hawa wadudu sitaki kukumbuka machungu ya uchaguzi wetu
Bado Afrika tulipaswa kuendelea na denokrasia ya mfumo ya chama kimoja...kama China. Haya mambo ya vyama vingi ni uchafu...Mpinzani anakamatwa kila wakati
Kwa nini uwanja wa demokrasia hauko huru kwenye nchi zetu za kiafrica
Besgye kajitahidi sana.
Una mahaba sana na ccm... kama wewe ni Ke, mumeo anafaidi sana....
Uganda ilikuwa na mawaziri wangapi ili tuone ni kwa kiasi gani kuna anguko kubwa.Kufuatia uchaguzi uliofanyika jana nchini uganda, mawaziri 17 wa serikali ya raisi museveni tayari wameshabwagwa huku matokeo yakiwa bado yanaendelea kutolewa,pamoja na mizengwe yoote anayofanyiwa mpinzani mkubwa kizza besigye kukamatwa na kuwekwa ndani mara kwa mara ktk kipindi hiki cha uchaguzi, hongera sana wananchi wa uganda kwa kufanya maamuzi
Hata mimi mkuu... M7 ameoverdue.... tangu 86? Do.... ndo maana kina Trump wanatuona watumwa.... rushwa Ug ni shida