Mkuu kwa sasa uongozi wote wa juu wa fdc wamezuiliwa ndani ya ofisi za chama na vikosi vyav ulinzi na usalamamkuu angalia uwezekano wa kupata mawasiliano ya katibu mkuu au viongozi wengine wa chama cha kiiza , maana nimejaribu kumpigia mwenyewe simu yake imezimwa , nadhani ni kwa vile jana alikamatwa na polisi , nataka niwape neno la pongezi .
Huna budi kushangaa, sijaandika straight, sikutegemea kama ungenielewa!Bado naushangaa uwezo wako wa kujenga hoja
Kwi! Kwi! Kwi!!!! jamaa 86 alikuwa form1 , maana yake ni kwamba shule ya msingi alianza enzi za vita vya idd amin .duh tunachat na baba zetu humu
Naona akili na uwezo wako wa kuishi ktk jamii ya wastaarabu ni mdogo sana,na kama huna muda wa kuwa mstaarabu nivema ukakaa pembeniHuna budi kushangaa, sijaandika straight, sikutegemea kama ungenielewa!
Ngoja nikueleweshe, UPUUZI WOTE UNAOANDIKA HUMU NI DALILI ZA CHADEMA UKIWAMO WEWE KUKUBALI MATOKEO YA HAPA TZ, sasa unatafuta msaada kwa kuingilia ya Ug.
Vipi? Bado kichwani ni DENSE?
hoja yako haihusiani kabisa na uzi huu .Huna budi kushangaa, sijaandika straight, sikutegemea kama ungenielewa!
Ngoja nikueleweshe, UPUUZI WOTE UNAOANDIKA HUMU NI DALILI ZA CHADEMA UKIWAMO WEWE KUKUBALI MATOKEO YA HAPA TZ, sasa unatafuta msaada kwa kuingilia ya Ug.
Vipi? Bado kichwani ni DENSE?
Malkia tokea mwaka 1952 na hana ukomo na ukawa hamuwashauri kuupinga ufalme,leo mmempachika Triump uungu....kama waganda wanamtaka mnawashwa nini...hii sio ile chadema tuliyoijuwa..ni misukule tupu!Hata mimi mkuu... M7 ameoverdue.... tangu 86? Do.... ndo maana kina Trump wanatuona watumwa.... rushwa Ug ni shida
Umeonaeeeeee? Hapa jamvini kuna watu kazi yao ni kuonyesha umahiri wao wa hali ya juu wa kipumbavuhoja yako haihusiani kabisa na uzi huu .
Ukiwa partisan hasa ni modern member wa kale kasosayati ka bavicha, lazima utakuwa one dimensional ktk kunielewa nimemaanisha nini, soma uzi wote na jikite na mahali nilipoanza kwa kusema ......STATUS QUO......hoja yako haihusiani kabisa na uzi huu .
...watu wazima mnatia huruma kwa kushindwa kuelewa kitu kidogo, kuna dogo hapa ana miaka 12 nimemtest kwa kumuonyesha hizi komments na nini barafuyamoto amemaanisha, KAELEWA na katoa maelezo!Umeonaeeeeee? Hapa jamvini kuna watu kazi yao ni kuonyesha umahiri wao wa hali ya juu wa kipumbavu
Wewe endelea na ukiwavi wako...watu wazima mnatia huruma kwa kushindwa kielewa kitu kidogo, kuna dogo hapa ana miaka 12 nimemtest kwa kumuonyesha hizi komments na nini barafuyamoto amemaanisha, KAELEWA na katoa maelezo!
Wale waliowaita nyumbu hawakukosea, UPSTAIRS ni vacuum.
Anayechaguliwa ni waziri mkuu. Acha UzezetaMalkia tokea mwaka 1952 na hana ukomo na ukawa hamuwashauri kuupinga ufalme,leo mmempachika Triump uungu....kama waganda wanamtaka mnawashwa nini...hii sio ile chadema tuliyoijuwa..ni misukule tupu!
We kweli hamnazo..... unamleta malkin kwenye utawala huu? Kwa UK ulitakiwa umwongelee waziri mkuu ndo maana elimu elimu elimu ndo majibu ya mtu kama nyie.......Malkia tokea mwaka 1952 na hana ukomo na ukawa hamuwashauri kuupinga ufalme,leo mmempachika Triump uungu....kama waganda wanamtaka mnawashwa nini...hii sio ile chadema tuliyoijuwa..ni misukule tupu!
Nakesha namuombea Trump apate uraisi naamini tutaheshimiana tu na watawalaNampongeza sana Besigye.
Mseveni ataondoka kwa aibu kuu.
Labda Trump asiwe rais wa Marekani which is not likely!
Sidhani kama waganda wako hivyo. Majirani zangu hao siwaelewiKufuatia uchaguzi uliofanyika jana nchini Uganda, mawaziri 17 wa serikali ya Rais Museveni tayari wameshabwagwa huku matokeo yakiwa bado yanaendelea kutolewa, pamoja na mizengwe yoote anayofanyiwa mpinzani mkubwa Kizza Besigye kukamatwa na kuwekwa ndani mara kwa mara katika kipindi hiki cha uchaguzi, hongera sana wananchi wa Uganda kwa kufanya maamuzi.
Mkuu hizo ni dua za kila mpenda haki hapa dunianiNakesha namuombea Trump apate uraisi naamini tutaheshimiana tu na watawala
Siyo kama hamnazo bali ni hana akili tuWe kweli hamnazo..... unamleta malkin kwenye utawala huu? Kwa UK ulitakiwa umwongelee waziri mkuu ndo maana elimu elimu elimu ndo majibu ya mtu kama nyie.......
Ni kitu gani hamjamuelewa huyu jamaa? Lagic yake imewakwepa ubongoni? Anaongelea mtawala mmoja kuwa madarakani muda mrefu.We kweli hamnazo..... unamleta malkin kwenye utawala huu? Kwa UK ulitakiwa umwongelee waziri mkuu ndo maana elimu elimu elimu ndo majibu ya mtu kama nyie.......
Unajua nini maana ya mtu kupelekea akaitwa malkia?Ni kitu gani hamjamuelewa huyu jamaa? Lagoc yake imewakwepa ubongoni? Anaongelea mtawala mmoja kuwa madarakani muda mrefu.
Nimeisha sema kama wewe ni Ke mmeo anafaidi sana maana una mahaba hatari.... taja mfalme kwetu na Uganda aliye kama malkia ili kuwe na ulinganifu mzuri wa Malkia wa UK na sisi....Ni kitu gani hamjamuelewa huyu jamaa? Lagic yake imewakwepa ubongoni? Anaongelea mtawala mmoja kuwa madarakani muda mrefu.