Tume ya Uchaguzi ya Ivory Coast imetangaza Alassane Outtara kama mshindi wa Uchaguzi, aliyepata ushindi wa kishindo wa asilimia 94.27 ya kura

Mimi na Wazazi wangu siyo nyani, na kamwe siwezi kukufuru hivyo kisa Siasa, lkn kama wewe unakubali kwamba Baba yako mzazi ni Nyani, well hiyo ni wewe na familia yako, ...
Unyani hauishii kwenye siasa bali hadi kwenye maisha yetu ya kila siku. Just imagine miaka mingapi tumeachwa tujitawale lakini tumeshindwa? Hivi mtu dhalili kama wewe unatoa wapi ujasiri wa kujitofautisha na nyani au hayawani wengine wa mwituni?
 
Kwa hiyo Tundu Lisu na wazazi wake wote ni Nyani, sasa kwa nini unampigania nyani ?
 
Kwa hiyo Tundu Lisu ni Nyani, sasa kwa nini unampigani nyani?
Ha ha ha ha ha!!! Hapa ndipo mtego wa nyani umepatikana!! Hapa nimemteteaje Lissu? Nae anaweza kuwa Nyani kama alivyoonesha huyo Ouatarra na Jiwe. Hata wewe kwa fikra zako unaonesha bado ni nyani.
 
Kwa nini usema tundu na wazazi wake ,,wanaweza kuwa '' Nyani na siyo Nyani moja kwa moja?
 
Bado hatujampa nafasi ya kumpima na kujua kama nayeye ni nyani kama hayawani wengine au lah! Wengine tushawapa nafasi ya kutuonesha unyani wao.
 
Back
Top Bottom