Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Bado hatujampa nafasi ya kumpima na kujua kama nayeye ni nyani kama hayawani wengine au lah! Wengine tushawapa nafasi ya kutuonesha unyani wao.
Kwani tundu na wazazi wake siyo Waafrika? Wewe umesema Waafrika ni nyani, sasa iweje tena utake kuwapima tundu lisu na wazazi wake kama ni nyani au siyo?