Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
INATOWEKA KAMA ILIVYOTOWEKA CUF, ALAFU ITAKUJA ACT WAZALENDO KUWA TISHIOAthubutu aone moto .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
INATOWEKA KAMA ILIVYOTOWEKA CUF, ALAFU ITAKUJA ACT WAZALENDO KUWA TISHIOAthubutu aone moto .
Nakupinga kwa sababu Lissu alikuwa na ushahidi kwa 100% as kama unavyojua kesi za Uchaguzi zinapaswa kuthibitishwa pasipo shaka hatutumii ile ya kwenye madai ya balance of probabablities
Kuhusu passport Lissu yeye alikuwa anatoa tafsiri ya picha ya passport kwamba mtu akionekana upande mmoja na sio macho na masikio ikitokea kapiga upande mmoja hiyo siyo passport size, ndiyo maana akasema Fomu za uteuzi hazijaambatanishwa na picha kwenye fomu za uteuzi, section 38(5) of cap 343 fomu hazijaambatanishwa na nyaraka zilizotajwa kwenye section 38(4)(B) cap 343 ambazo ni idadi ya picha 4 za Rangi za Passport as read in tandem with regulation 37(4)(a) of kanuni za uchaguzi wa wabunge na rais
Unataka tuende kwenye sheria nyingine ya tafsiri Cap 1?
Halafu tuende kwenye Rules of statutory interpretation?
Alikwambia ukiwa mwanasheria ndoutaendesha nchi vzr Nani ?Acha kukaririshwa wewe. Thibitisha.
Hujui msaada wake? Hivi unamlinganisha Lisu na yule mshamba, mbaguzi na muuaji mwenye roho mbaya anayeligawa taifa?
Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, huenda Magu asingekuwa mgombea leo.
Kwa mujibu wa Lissu, Tume ndio iitoa maelezo yanayopingana na sheria, na mgombea uraisi Magufuli, akafuata maelekezo hayo yanayopingana na sheria, maelezo ambayo Lissu yeye alikataa kuyafuata na fomu zake akataka zikahakikiwa na NEC kama sheria inavyoelekeza(alisoma kifungu husika kwa wanahabari).
Swali:Kama Lissu alikuwa wrong,mbona NEC hao hao walikubali kukagua form zake na kuzihakiki kwa maana ya kuhakiki wadhamini wake tofauti na mgombea Magufuli na Lipumba ambao form zao zilihakikiwa huko mikoani na wasimamizi wa majimbo na wakazigonga mihuru badala ya fomu hizo kuhakikiwa na NEC?
Hoja nyingine ya Lissu ni kuhusu siku ya kurudisha fomu ambayo ilikuwa ni jana, na ndio siku ambayo,kwa mujibu wa sheria, ilikuwa ni siku ya uteuzi. Sasa hao wagombea wengine licha ya fomu zao kuhakikiwa na watu wasiostahili kisheria,lakini bado ziliwasilishwa katika siku ambayo haikuwa siku ya uteuzi(kwa maelezo ya Lissu) na hilo,kwa mujibu wa Lissu, pia ni kukiuka sheria ya uchaguzi.
Lissu pia kaweka wazi kuwa kwa mujibu wa sheria,Tume wanaweza kutoa maelekezo, ila sheria hiyo hiyo inatamka kuwa maelezo hayo hayapaswi kuwa kinyume na sheria yenyewe.
All in all,wahusika wamepata funzo tena bila shaka ni funzo kubwa tu hasa kuhusu hizi sheria zetu..
Cha ajabu,wao katika kujibu, hawatufafanulii zaidi ya kusema tu wametupilia mbali na kwamba majibu yatatolewa kwa muweka pingamizi kwa maandishi.
Alikua na hamu ya kuongea na vyombo vya habari tuu. Ila kuanzia sasa hata wao watampuuzaView attachment 1549412 alimaanisha hakuweka picha kwenye forms zipi?
CHADEMA mmelipwa na mnapambana mpaka ukucha kuonyesha malipo yanafanyiwa kazi....
Loketo (Lisu) ni kituko cha karne
Zero kabisa wewe!Picha aliyoweka haikuwa sahihi na ni zile picha zilizoko kwenye mabango yake humu mitaani.View attachment 1549412 alimaanisha hakuweka picha kwenye forms zipi?
CHADEMA mmelipwa na mnapambana mpaka ukucha kuonyesha malipo yanafanyiwa kazi....
Loketo (Lisu) ni kituko cha karne
Kwa kweli, yaani ni kama vile mchezaji amejitangulizia pasi mwenyewe. Sidhani kama hili litaishia hapa tu.Nawashauri Tume ya Uchaguzi wazungumze na Lissu na wahusiane naye kwa heshima, wakitaka kuendesha Uchaguzi kama Ndugai alivoendesha Bunge ama kama Magufuli anavoendesha Serikali bila kuzingatia Sheria za nchi watapata tabu sana..
Itafika siku ya Uchaguzi Tume wako hoi kwa sababu wataelezewa kuwa hawana Uadilifu wa kutosha kusimamia Uchaguzi, na Mgombea wa Tume pia ataelezewa kuwa Hana Uhalali wa Kisheria kushiriki Uchaguzi...
Yan kwenye Uchaguzi huu Mgombea wa Tume atakuwa kama Mwanafunzi anayehudhuria Lectures Chuo lakini Hana admission, au Basi ana admission lkn hajakamilisha Usajili...so anapoteza muda tu.
Hata akishinda Ushindi wake utapingwa mahakamani kuwa Hakuwa na Uhalali Kisheria kushiriki Uchaguzi, So ni Mgombea Fake.
Kufika Tarehe ya Uchaguzi Tume will be battered na Mgombea wa Tume atakuwa Rais dhaifu mno kiuhalali wa Mamlaka ya cheo chake Ikitokea akatangazwa kwa Lazima kuwa kashinda Urais, atakuwa kama Dr.Shwein katika Awamu yake ya 2.
Hivi kwa nini NEC wasimpitishe TL bila kupingwa? Wanasubiri nini? Wanamchelewesha kwenda Ikulu. Hapa naona sasa ananza kuwafundisha NEC namna ya kufanya kazi, kabla hata hajaingia IkuluWanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, huenda Magu asingekuwa mgombea leo.
Kwa mujibu wa Lissu, Tume ndio iitoa maelezo yanayopingana na sheria, na mgombea uraisi Magufuli, akafuata maelekezo hayo yanayopingana na sheria, maelezo ambayo Lissu yeye alikataa kuyafuata na fomu zake akataka zikahakikiwa na NEC kama sheria inavyoelekeza(alisoma kifungu husika kwa wanahabari).
Swali:Kama Lissu alikuwa wrong,mbona NEC hao hao walikubali kukagua form zake na kuzihakiki kwa maana ya kuhakiki wadhamini wake tofauti na mgombea Magufuli na Lipumba ambao form zao zilihakikiwa huko mikoani na wasimamizi wa majimbo na wakazigonga mihuru badala ya fomu hizo kuhakikiwa na NEC?
Hoja nyingine ya Lissu ni kuhusu siku ya kurudisha fomu ambayo ilikuwa ni jana, na ndio siku ambayo,kwa mujibu wa sheria, ilikuwa ni siku ya uteuzi. Sasa hao wagombea wengine licha ya fomu zao kuhakikiwa na watu wasiostahili kisheria,lakini bado ziliwasilishwa katika siku ambayo haikuwa siku ya uteuzi(kwa maelezo ya Lissu) na hilo,kwa mujibu wa Lissu, pia ni kukiuka sheria ya uchaguzi.
Lissu pia kaweka wazi kuwa kwa mujibu wa sheria,Tume wanaweza kutoa maelekezo, ila sheria hiyo hiyo inatamka kuwa maelezo hayo hayapaswi kuwa kinyume na sheria yenyewe.
All in all,wahusika wamepata funzo tena bila shaka ni funzo kubwa tu hasa kuhusu hizi sheria zetu..
Cha ajabu,wao katika kujibu, hawatufafanulii zaidi ya kusema tu wametupilia mbali na kwamba majibu yatatolewa kwa muweka pingamizi kwa maandishi.
Wewe ambaye zeroless kaweke yakwako, Kama tume inaona ni sahihi wewe ni nani ukatae?Zero kabisa wewe!Picha aliyoweka haikuwa sahihi na ni zile picha zilizoko kwenye mabango yake humu mitaani.
Kwa hiyo wewe zoba unataka kusema Lissu ni kinyago na kwamba kimechongwa na magufuli ?.Kinyago uchonge mwenyewe then kikutishe? Mabeberu wenye mdoli wanazodolewa mchana kweupe sembuse hicho kikaragosi chao?
Wengine eti Mh. Raisi uso kwa uso na....! Bulldozer ukikutana nalo uso kwa uso sijui kama watapata hata picha ya kuambatanisha kwenye simulizi ama ushahidi.
Nilidhani unajibu hoja za kisheria za Lissu juu ya mgombea wenu kumbe tunasumbuliwa na supu ya utumbo baada ya kupokea buku saba LumumbaWapenzi wa Lissu wanafanya wanachadema waonekane wanamatatizo ya ufahamu bahati mbaya sana chadema imevamiwa na kundi la ajabu kabisa la wapenzi wa Lissu hawa jamaa hawatumii akili kabisa wao ni kuropoka tu hapa nazungumzia wapenzi wa Lissu si wanachadema coz Wanachadema wengi ni watu wenye kujenga hoja ambao wengi walikuwa disappointment mwaka 2015 ambapo wengi walihama chama au kuachana na siasa za kibishara za Mr Mbowe na genge lake lakini wapenzi wa Lissu wengi si wanachama wa Chadema ila ni wale wanaomchukua JPM ambao wengi wamejaa mitandaoni kwa vile ktk upande wa siasa hawana option zaidi ya kumshabikia Lissu
Lissu bila ya kujua anaongozwa na akili za wapenzi wake ambao wanamchukia JPM na yeye anajikuta kaingia huko huko mpk anashindwa kujua inatakiwa atushawishi kwa sera ili tumchague si kutushawishi kwa kumsema JPM au Mabaya ya JPM (kama Binadamu si Kiongozi) coz hakuna mtu ambaye hana kasoro lakini nchi kama nchi tunaangalia nani anaweza kutuvusha kimaendeleo ,kiuchumi na kijamii
Ukifanya utafiti au ukiwauliza hawa wafwasi wa Lissu sipendi kuwaita wanachadema coz hawa wapenzi wa Lissu wanaongozwa na hisia na miemuko si akili. Nawajua wanachadema wengi wana akili na wanachadema kweli hawezi kumuona Lissu kama ni mtu sahihi wa kutuongoza Tanzania.
Sasa ukiwauliza hawa wapenzi wa Lissu why unadhani Lissu ni kiongozi Bora wa Tanzania jibu utalaopewa utashangaa 90% ya majibu yao yatakuwa ni kueleza mabaya ya JPM (kama mwanadamu) hato kueleza Sera au mbinu ambazo anadhani Lissu atazitumia kututoa watanzania Lower -Middle income to Upper -Middle income hakuna atakaekueleza na hata Lissu mwenyewe hawezi eleza coz ndani ya akili ya Lissu ni kuwa Rais tu ndo maana anatumia muda mwingi kumponda Rais(JPM) si taasisi kuliko kueleza atatufanyia nini watanzania ambacho JPM hawezi au ameshindwa kufanya ..kitu ambacho kitawafaidisha watanzania wote aijalishi yupo kijijini au mjini.
Bora Mr Spunda ametuambia tukimchagua yeye watoto wetu watakula ubwabwa kuku mashuleni kuliko huyu ambae mpk leo hata akiojiwa na vyombo vya habari 90% ya meneno yake ni kumponda JPM tuuu si kuelezea sera zake, leo ukijifungia ndani ukajiuliza kati ya Lissu na JPM nani mzalendo wa nchi yake ambae yupo tayari kupigania nchi yake utashangaa Moyo wako utakavyotoa jibu tofauti na mapenzi yako kwa Lissu
Ukiwauliza je Lissu anaweza kuwapa ajira wanafunzi wote waliomaliza vyuo ? je Lissu anaweza kuweka bomba la maji kila nyumba Tanzania? Lissu anaweza kuruhusu kila mwenye smartphone kushinda Twitter na kumtukana tuuu? ukiuliza je Lissu anaweza kufanya watu kudharau mahakama kwa kuitwa mahakamani then ukaktaa kwenda kama anavyofanya yeye ?mambo yote aliyokuwa anapigia kelele kule Bungeni JPM ameyafanya tena kwa miaka 5 hana hoja zaidi ya kufanya personal attack kwa JPM