Hatuwezi kutumia akili za kichaa kuongoza nchi, huyo huyo kasema tume inaweza kuwapa mamlaka wasimamizi, bado tena anasema sio harali,
Pili kuhusu picha
Naomba unipe tafasiri ya
pasport size?
full size na?
half size?
Medium size?
Big size
Je maana yake ni lazima uangalie mbele au ni kipimo cha ukubwa wa picha?
Kuhusu kuangalia mbele ni masharti ya taasisi au hitaji husika na sio kiwango cha ukubwa wa picha. Na ndo maana tunasema tundu ni kichaa ila bado mnamshangilia tu. Alisema magufuli katoa rushwa ya laki moja bado mkashangilia. Nyie ni mazuzu tu.
Ukitaka kujua tundu anamuogopa magufuri, toka jana usiku anatafuta makosa ya magufuli tu siku nzima na nadhani hajalala.
Kaka hapa kichaa ni wewe, haujui hata unachoandika kama Magufuli unaandika Magufuri, halali unaandika harali uko sawa kweli, na kwa akili yako unadhani Lissu alitarajia Magufuli ataenguliwa?Mnafundishwa sheria kwa vitendo, next time watarekebisha sheria, na ndio lengo.
Mnakuwa wajinga wa kutafsiri hata sheria, ajabu wengine ni Judges pale tume, na Lissu ana Bachelor moja tu, lakini anawafanya wanaonekana wapuuzi mbele ya "wazamivu wa sheria".
Shukuru kupata mtu kama huyu.CCM pia wapo lakini wameamua kuwa waduanzi.
Kama wewe ulivyoamua,yani hata vitendo vya 'kibabe' kama vya kuengua wapinzani hakuna siku utasema kuna kosa.
Bakia hivyo hivyo halafu nenda msikitini au kanisani ukaseme Mungu kawateua, na wewe ni mja wake mpenda haki....
Hauwezi hata ku feel guilty kuwa kwa sababu za kijinga za tume na mipango yenu wameshakufa watu watatu ukerewe 1,Tunduma 2.
Hauoni kabisa kila jimbo wanasumbuliwa watu wa CDM kupokelewa form.
Jaribu kidogo kupenda haki, au labda hiyo siku ya uchaguzi mama yako auwawe bahati mbaya akiwa katika shughuli zake akikutana na vurumai la wizi wa masanduku ndio utarudia sense yako.
Ujinga wa wengi kama wewe kwa maslahi ya wang'ang'ania madaraka ndio umetufikisha hapa.
Tunataka free and fair election ashinde anaeshinda basi.