Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hii imekula kwaowazee wa "kutupilia mbali"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imekula kwaowazee wa "kutupilia mbali"
😂😂😂 poleni hamkuwai kumuweza na hamtomuweza kamwe!!Lisu mwaka huu tutamfundisha adabu kwamba hako kabeberu kake hatukaogopi
Lete quote za vifungu vya sheria na sio story za kwa mujibu wa lisukwa hoja za lissu hata mimi nisiyejua sheria naona NEC wamejibu kama malaymen wa mtaani nilitarajia wapangue hoja zake kwa vifungu wamejiandikia tu,daaa
NEC ingesaidia sana watu kama wangemshinda lissu kwa vifungu vya sheria mbona yeye kawakosoa kupitia sheria zao?jameni heeeeeLets get back to our constitution! Katiba yetu ya Tz inasemaje kwenye hii kitu ? tuanzie hapo kwanza!
Watanzania wapi wanaomuelewa Lisu?Box lako binafsi? Maana box la watanzania wote wanamuelewa kasoro wewe pekee uliyejitoa fahamu na kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
Hatutamuweza kwa lipi sasa?[emoji23][emoji23][emoji23] poleni hamkuwai kumuweza na hamtomuweza kamwe!!
Nakwambiaje hamjawai kumuweza na Ndo mana mlitaka kumuua tuHatutamuweza kwa lipi sasa?
Kumpiga chini kwenye uchaguzi kuna kumuweza zaidi ya huko?
Wew ndo bonza kabisa nikwaambie kitu asilimia kubwa ya hao wagombea wenu ni wanauza hizo nafasi kiahaa kujaza form hivyo hovyo ili waenguliwe na kusingizia mara wametekwa au na mambo mengine kwa kuwa wanajua Katu hawatashindaNdugu, unashangilia bila kujua mtego wa Lissu, akili kubwa iliyo nyuma ya mapingamizi hayo ili kuwa kutest tume kama itajichanganya ama la sasa kinachofuata kwa sababu zile zile zilitolewa na tume wagombea wote wa vyama vya upinzani walioenguliwa na wakurugenzi wa halmashauri katika ngazi ya ubunge wanaenda kurudishwa. Kwa sababu kuenguliwa kwao ni hila na sababu za hovyo hovyo tu. Na mmoja wa Morogoro mjini alienguliwa kwa sababu ya picha kama ambavyo alitakiwa aenguliwe wa nafasi ya urais lakini kumbe kwa mujibu wa tume yenyewe picha wala sio issue!!!! Sasa nani mshindi hapo?
Wameamua kufanana naeNdio misukule yake inavyopenda mkuu
Mkuu makosa yale yalishajitokeza toka mwanzo kwenye mchakato wa kuwasaka Wadhamini. Jiwe alitafutiwa Wadhamini na Tume na hata ile siku ya urudishaji fomu alifanya show tu kwani kila kitu Tume walishamaliza.majibu ya pingamizi za magufuli yako wapi ?
Mtamaliza propaganda zote mwaka huu. Ila Lissu hamumuwezi!!Mchgueni nyie ili muwe mnabinuliwa, sie hayo mambo hatuyataki
Kinyago tulichokichonga ni JPM ujuweKinyago uchonge mwenyewe then kikutishe? Mabeberu wenye mdoli wanazodolewa mchana kweupe sembuse hicho kikaragosi chao?
Wengine eti Mh. Raisi uso kwa uso na....! Bulldozer ukikutana nalo uso kwa uso sijui kama watapata hata picha ya kuambatanisha kwenye simulizi ama ushahidi.
Huyu atapigwa mapema oktoba 28Huyo msomi wa asiyekua na uzalendo wala maadili kwa nchi yake huo usomi wake ni style ya kasuku hatufai.
Mgombea urais anayetetea maslahi ulaya huku akiiacha Tanzania inateketea
Anatamka hadharani ushoga uko hautakiwi kupingwa; hii laana.... anawaambia watanzania haswa watoto wetu na kuwahamasisha kutigoana na kusagana eti kwamba sheria inakataza kuingilia faragha za watu. Kwanza maneno yake yanatupa wasiwasi sana kuhusu matendo yake
Kama hao waliomtuma wanampenda waende wakampe urais kwenye nchi zao... hapa kwetu John Pombe Magufuli anatoshaaaa
Sasa wewe unaona Lisi anajielewa?Kwa hiyo wanataka kutuambia kwamba Lissu alikuwa na upofu hakuziona hizo picha?
Hatoki mtu, mwaka huu jino kwa jino si mlifikiri mtapata utelezi. Kiboko yenu amerudi mtu mmoja anawafikisha kileleni Chama kizima😂😂😂😂.Jitoeni kwenye uchaguzi sasa,
😂😂😂😂 mpaka miezi 2 ya kampeni iishe mtajuta sana kwanini zile risasi hazikumua. Jamaa ni smart sana kichwani, ni brave kwa maana halisi.Lissu alikuwa analialia atakatwa. Leo anataka mwenzake akatwe. Ni uoga tu, anajua fika hawez toboa mbele ya JPM
Tena ni wa kupuuzwa tuu sasaHuyu atapigwa mapema oktoba 28
Anafikiri watz wote ni wajinga kama yeye. Aende akachekeshane na vibeberu vyake kule ubelgiji
yaani lissu anajisumbuatu aweke pingamizi lenye hoja nyepesi kiasi hicho halafu ashinde anaweweseka asubiri kufanya kampeni zisizo na manufaa mwqenzie anasubiri kuapishwa tu aliyofanya tumeyakubali