Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Gsam

Wala usihofu kuna kitu dunia inaoneshwa juu ya Tume. Lissu ana akili saaaana

Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi

Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.

Mwaka huu mtamu sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Acha kurudia rudia
 
Wekeni utetezi wa magufuli hadharani watanzania tuuone

Hakimu sasa ndio anajibu badala ya mwizi
 
Basi utasubiri sana, ngojea tundu lissu akishaapishwa kuwa rais aje awawekee tume huru.vumilia sio mbali.

Kwa taarifa yako kuanzia Magufuli, mpaka tume yenyewe wamejua fika kwa sasa wananchi wanawaonaje. Zile chaguzi zote walizokuwa wanawafanyia figisu wapinzani imethibitika pasi na shaka kuwa ni hujuma. Huo ni ushahidi tosha kuwa tume ya uchaguzi sio huru.
 
yaani lissu anajisumbuatu aweke pingamizi lenye hoja nyepesi kiasi hicho halafu ashinde anaweweseka asubiri kufanya kampeni zisizo na manufaa mwqenzie anasubiri kuapishwa tu aliyofanya tumeyakubali
 
Kwa majibu haya ya tume yameniaminisha kuwa TUME YETU YA TANZANIA HAIKO HURU. Kuna mtu analindwa hapo. Hapa katiba mpya ni muhimu sana ili hawa watu wawe huru.
 
Huyo msomi wa asiyekua na uzalendo wala maadili kwa nchi yake huo usomi wake ni style ya kasuku hatufai.

Mgombea urais anayetetea maslahi ulaya huku akiiacha Tanzania inateketea

Anatamka hadharani ushoga uko hautakiwi kupingwa; hii laana.... anawaambia watanzania haswa watoto wetu na kuwahamasisha kutigoana na kusagana eti kwamba sheria inakataza kuingilia faragha za watu. Kwanza maneno yake yanatupa wasiwasi sana kuhusu matendo yake

Kama hao waliomtuma wanampenda waende wakampe urais kwenye nchi zao... hapa kwetu John Pombe Magufuli anatoshaaaa
 
Huyo msomi wa asiyekua na uzalendo wala maadili kwa nchi yake huo usomi wake ni style ya kasuku hatufai.

Mgombea urais anayetetea maslahi ulaya huku akiiacha Tanzania inateketea

Anatamka hadharani ushoga uko hautakiwi kupingwa hii laana ya watoto wetu kuhamasishwa kutigoana na kusagana kwa kuwahamasisha kwamba sheria inakataza kuingilia faragha za watu. Kwanza maneno yake yanatupa wasiwasi sana kuhusu matendo yake

Kama hao waliomtuma wanampenda waende wakampe urais kwenye nchi zao... hapa kwetu John Pombe Magufuli anatoshaaaa
Ongea kwa facts siyo kwa hisia
 
Kwa taarifa yako kuanzia Magufuli, mpaka tume yenyewe wamejua fika kwa sasa wananchi wanawaonaje. Zile chaguzi zote walizokuwa wanawafanyia figisu wapinzani imethibitika pasi na shaka kuwa ni hujuma. Huo ni ushahidi tosha kuwa tume ya uchaguzi sio huru.
Sawa kwani mimi nimebisha ndugu!?,subiria lissu achukue nchi saa 12 asubui siku ya uchaguzi ataifutilia mbali tume ovu ya tz.
 
yaani lissu anajisumbuatu aweke pingamizi lenye hoja nyepesi kiasi hicho halafu ashinde anaweweseka asubiri kufanya kampeni zisizo na manufaa mwqenzie anasubiri kuapishwa tu aliyofanya tumeyakubali
Sema "umeyakubali wewe" usihusishe wengine
 
chaguzi zote walizokuwa wanawafanyia figisu wapinzani imethibitika pasi na shaka kuwa ni hujuma. Huo ni ushahidi tosha kuwa tume ya uchaguzi sio huru.

hasa kwenye Picha vipi wabunge iwe ni kosa hasa wa upinzani ila kwa CCM iwe ni sawa.
 
Yako NEC ulitaka waKuletee nyumbani kwako?

Halafu wewe unamwamini Lisu fomu Ina Hadi sehemu ya kubandika picha unaamini kweli kuwa picha haulikubandikwa?

Lisu anatafita kiki kwenye media kwa.kila hali hata kwa kutunga vitu vidogo vya uongo
alisema picha ipo ile ya kampeni tunayoijua ya shati la kijani ,sihatumika sana na inahitajika picha miezi 3 kabla ya kampeni kwa mujibu wa sheria ya NEC ila sikio halionekani kaangalia upande so haikizi vigezo vya passport size kuonekana uso na masikio au ndugu hujui kiswahili? pili kugongewa mihuri na watu wa majimbo ni kosa kwa mujibu wa sheria za NEC
 
Back
Top Bottom