LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Jaribuni, atakufa MTU mchana kweupehuyu jamaa asije tu kufanya kampeni moshi, tumemkosa na mawe juzi saaahv hatufanyi makosa atakua kilema na mahututi juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribuni, atakufa MTU mchana kweupehuyu jamaa asije tu kufanya kampeni moshi, tumemkosa na mawe juzi saaahv hatufanyi makosa atakua kilema na mahututi juu
badala ya kubandika passport yeye anabandika picha yake akila mahindi.haahaaYako NEC ulitaka waKuletee nyumbani kwako?
Halafu wewe unamwamini Lisu fomu Ina Hadi sehemu ya kubandika picha unaamini kweli kuwa picha haulikubandikwa?
Lisu anatafita kiki kwenye media kwa.kila hali hata kwa kutunga vitu vidogo vya uongo
Hayo ya kusaidiwa na pccb na polisccm? Ccm wanapenda sana ushindi wa mezani, ni aibu sanaYan mpaka sasa mshapogwa majimbo 22 alafu mnasema mnaiangusha CCM nyie kweli nyumbu!..
Ingekuwa hivo msingetumia takukuru kuwaengua wagombea wa ccm ili mpate ushindi wa mezaniLisu tutamfundisha adabu kwenye box la kura
Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, huenda Magu asingekuwa mgombea leo.
Kwa mujibu wa Lissu, Tume ndio iitoa maelezo yanayopingana na sheria, na mgombea uraisi Magufuli, akafuata maelekezo hayo yanayopingana na sheria, maelezo ambayo Lissu yeye alikataa kuyafuata na fomu zake akataka zikahakikiwa na NEC kama sheria inavyoelekeza(alisoma kifungu husika kwa wanahabari).
Swali:Kama Lissu alikuwa wrong,mbona NEC hao hao walikubali kukagua form zake na kuzihakiki kwa maana ya kuhakiki wadhamini wake tofauti na mgombea Magufuli na Lipumba ambao form zao zilihakikiwa huko mikoani na wasimamizi wa majimbo na wakazigonga mihuru badala ya fomu hizo kuhakikiwa na NEC?
Hoja nyingine ya Lissu ni kuhusu siku ya kurudisha fomu ambayo ilikuwa ni jana, na ndio siku ambayo,kwa mujibu wa sheria, ilikuwa ni siku ya uteuzi. Sasa hao wagombea wengine licha ya fomu zao kuhakikiwa na watu wasiostahili kisheria,lakini bado ziliwasilishwa katika siku ambayo haikuwa siku ya uteuzi(kwa maelezo ya Lissu) na hilo,kwa mujibu wa Lissu, pia ni kukiuka sheria ya uchaguzi.
Lissu pia kaweka wazi kuwa kwa mujibu wa sheria,Tume wanaweza kutoa maelekezo, ila sheria hiyo hiyo inatamka kuwa maelezo hayo hayapaswi kuwa kinyume na sheria yenyewe.
All in all,wahusika wamepata funzo tena bila shaka ni funzo kubwa tu hasa kuhusu hizi sheria zetu..
Cha ajabu,wao katika kujibu, hawatufafanulii zaidi ya kusema tu wametupilia mbali na kwamba majibu yatatolewa kwa muweka pingamizi kwa maandishi.
Eria zipo kwa wanyonge tuWanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, huenda Magu asingekuwa mgombea leo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakina devo wali name the price zamani mnooooo[emoji12][emoji12]Dadeki Magu kautia kwapani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tume wameona isiwe tabu, wambebe!!!
Sasa tunarudi kwenye agenda nyingine na utetezi na rufaa za kina devota minja na wagombea wa Chadema na Act tume inasemaje?
Na ili muyapate hayo lazima muolewe kwanza
Wewe labda ulitaka tume watoe maamuzi gani?Hakuna wa kuhoji maamuzi ya NEC kwenye hili watakavyo amua wao ndio itakavyo kuwa, lakini matokeo ya mapingamizi haya yamedhihirisha yale tuliyotegemea. Jiulize kwa nini Mkapa alilia tume huru kwenye kitabu chake, kwa sababu alikua anayajua yanayo endelea wakati wa uchaguzi.
Hivi nikuulize tu kifupi rafiki
Akijaza fomu zingine usiku huu akaweka na kila kitu zikagongwa mihuri yote ya mahakama na tume kwa tarehe za nyuma na kwenda kubandika kwenye notisi bodi. Yeye Lisu akabaki na picha ya zamani ataitumia kama ushahidi?
Na unadhani itamsaidia?
Aanze kampeni aache kupoteza muda kwenda kwenye kesi la sivyo atanaswa mtegoni kupitia mbinu zake. Mwisho ziwe kesi za kimahakama halafu anze kupangwa kila baada ya siku mbili inasikilizwa au atawaleta Robert & Amstredam nao wanawekewa zengwe pia
Mwambie ateme hela.Devota arudishwe
Wewe labda ulitaka tume watoe maamuzi gani?
Kwa hiyo wanataka kutuambia kwamba Lissu alikuwa na upofu hakuziona hizo picha?Mgombea wa kiti cha Rais kupitia chama cha mapinduzi amerejesha fomu zake ambazo zimeambatanishwa pamoja na picha kwa mujibu wa sheria, kanuni na maelekezo ya tume ya Taifa ya uchaguzi, hivyo tume ya Taifa ya uchaguzi imejiridhisha kwamba pingamizi hizo hazina msingi wa kisheria na imezitupilia mbali kwa maana hiyo, Dr. Magufuli anaendelea kuwa mgombea halali wa kiti cha Rais kupitia chama cha Mapinduzi CCM.
Mwambie ateme hela.
Basi utasubiri sana, ngojea tundu lissu akishaapishwa kuwa rais aje awawekee tume huru.vumilia sio mbali.Wamuengue Magufuli kama walivyowaengua wagombea wengine wa upinzani kwa mapungufu hayo hayo ya Magufuli. Vinginevyo kilio chetu cha kuwa Tume hii ya uchaguzi sio huru kiko wazi peupe. Lisu amesaidia wazi bila kuacha shaka kuonyesha tume sio huru, na hata matokeo watakayotangaza sio ya kweli.
Kwa hiyo wanataka kutuambia kwamba Lissu alikuwa na upofu hakuziona hizo picha?
Sasa Mbona Tume wanaongea blah blah tu?Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao.
Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada ya kupitia sababu za pingamizi pamoja na utetezi uliotolewa imejiridhisha, Professa Ibrahim Haruna Lipumba amerejesha fomu zake kwa mujibu wa sheria, kanuni na maelekezo ya tume ya taifa ya uchaguzi hivyo tume ya taifa ya uchaguzi imejiridhisha pingamizi halina msingi na imelitupilia mbali. Professa Ibrahim Lipumba anaendelea kuwa mgombea halali wa kiti cha Rais kupitia chama cha CUF.
Pingamizi dhidi ya mgombea wa CCM
Tume baada ya kupitia sababu za pingamizi zote mbili kwa pamoja na utetezi uliotolewa imejiridhisha kuwa, Dr. John Magufuli, Mgombea wa kiti cha Rais kupitia chama cha mapinduzi amerejesha fomu zake ambazo zimeambatanishwa pamoja na picha kwa mujibu wa sheria, kanuni na maelekezo ya tume ya Taifa ya uchaguzi, hivyo tume ya Taifa ya uchaguzi imejiridhisha kwamba pingamizi hizo hazina msingi wa kisheria na imezitupilia mbali kwa maana hiyo, Dr. Magufuli anaendelea kuwa mgombea halali wa kiti cha Rais kupitia chama cha Mapinduzi CCM.
- Mleta pingamizi anadai kwamba, mgombea Urais kwa tiketi ya CCM hakuambatanisha picha kwenye fomu ya uteuzi.
- Hakurudisha fomu ya uteuzi kwa mujibu wa masharti yaliyowekwa na sheria
Kwa mujibu wa kanuni ya 39 kanuni ndogo sita ya kanuni za uchaguzi wa Rais na wabunge za mwaka 2020, sababu za uamuzi huu wa tume watapewa kwa maandishi, aliyeweka na aliyewekewa pingamizi, kwa msingi wa uamuzi huu, vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu wa kiti cha Rais na makamu wa Rais vinabaki kuwa 15.
Imetolewa na Tume ya Taifa ya uchaguzi
Pia soma; Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba(CUF)
View attachment 1549104
View attachment 1549105
View attachment 1549098
Usimsingizie Mungu, hawezi kuonesha utukufu kwa shetwani!Magufuli kavuka kizingiti kingine hiki cha pingamizi, ahsante Mungu kwa utukufu wako.
Acha ubaguzi wewe wa rangi mbona na wenje alikuwa ni mkenya hakuna mtu aliyeleta mdomo mdomo.Kwa taarifa yako hela ya muhindi imeliwa. Mwafrika unashangilia muhindi kupita bila kupingwa, nenda India kama mtu mweusi anaruhusiwa hata kugombea.
ndiyo hayo ya mgema akisifiwa