Mother Deola
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 227
- 362
TaahiraMagufuli kavuka kizingiti kingine hiki cha pingamizi, ahsante Mungu kwa utukufu wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TaahiraMagufuli kavuka kizingiti kingine hiki cha pingamizi, ahsante Mungu kwa utukufu wako.
Mnyonge ni Nani.....? Nipe jibu nikupime IQ yakoKura yangu nitampa Magufuli
Rais wa wanyonge
Wanyonge = malofa /wapumbavu/wasiojitambua
Acha ulofaWanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, huenda Magu asingekuwa mgombea leo.
Kwa mujibu wa Lissu, Tume ndio iitoa maelezo yanayopingana na sheria, na mgombea uraisi Magufuli, akafuata maelekezo hayo yanayopingana na sheria, maelezo ambayo Lissu yeye alikataa kuyafuata na fomu zake akataka zikahakikiwa na NEC kama sheria inavyoelekeza(alisoma kifungu husika kwa wanahabari).
Swali:Kama Lissu alikuwa wrong,mbona NEC hao hao walikubali kukagua form zake na kuzihakiki kwa maana ya kuhakiki wadhamini wake tofauti na mgombea Magufuli na Lipumba ambao form zao zilihakikiwa huko mikoani na wasimamizi wa majimbo na wakazigonga mihuru badala ya fomu hizo kuhakikiwa na NEC?
Hoja nyingine ya Lissu ni kuhusu siku ya kurudisha fomu ambayo ilikuwa ni jana, na ndio siku ambayo,kwa mujibu wa sheria, ilikuwa ni siku ya uteuzi. Sasa hao wagombea wengine licha ya fomu zao kuhakikiwa na watu wasiostahili kisheria,lakini bado ziliwasilishwa katika siku ambayo haikuwa siku ya uteuzi(kwa maelezo ya Lissu) na hilo,kwa mujibu wa Lissu, pia ni kukiuka sheria ya uchaguzi.
Lissu pia kaweka wazi kuwa kwa mujibu wa sheria,Tume wanaweza kutoa maelekezo, ila sheria hiyo hiyo inatamka kuwa maelezo hayo hayapaswi kuwa kinyume na sheria yenyewe.
All in all,wahusika wamepata funzo tena bila shaka ni funzo kubwa tu hasa kuhusu hizi sheria zetu..
Cha ajabu,wao katika kujibu, hawatufafanulii zaidi ya kusema tu wametupilia mbali na kwamba majibu yatatolewa kwa muweka pingamizi kwa maandishi.
Usiwe shabiki ongea ukweli watendaji wamezingua,wawe wanafanyia kazi mishahara yao wamewaingiza chaka wagombea na sio magufuli tu wote,sema aliweka pingamizi kwa magufuli ili kuleta mtikisikoKinyago uchonge mwenyewe then kikutishe? Mabeberu wenye mdoli wanazodolewa mchana kweupe sembuse hicho kikaragosi chao?
Wengine eti Mh. Raisi uso kwa uso na....! Bulldozer ukikutana nalo uso kwa uso sijui kama watapata hata picha ya kuambatanisha kwenye simulizi ama ushahidi.
Anakata rufaa kwa nani?. Lissu anafurahisha maini tu,hata ambulia chocho zaidi ya kupoteza muda.Lissu atakata rufaa. NEC mtajibeba mwaka huu.
Hivi kama tundu in kichaa maguu atakuwa nani? Hii tume ni shidaHatuwezi kutumia akili za kichaa kuongoza nchi, huyo huyo kasema tume inaweza kuwapa mamlaka wasimamizi, bado tena anasema sio harali,
Pili kuhusu picha
Naomba unipe tafasiri ya
pasport size?
full size na?
half size?
Medium size?
Big size
Je maana yake ni lazima uangalie mbele au ni kipimo cha ukubwa wa picha?
Kuhusu kuangalia mbele ni masharti ya taasisi au hitaji husika na sio kiwango cha ukubwa wa picha. Na ndo maana tunasema tundu ni kichaa ila bado mnamshangilia tu. Alisema magufuli katoa rushwa ya laki moja bado mkashangilia. Nyie ni mazuzu tu.
Ukitaka kujua tundu anamuogopa magufuri, toka jana usiku anatafuta makosa ya magufuli tu siku nzima na nadhani hajalala.
Lieu anachekesha.Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao.
Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada ya kupitia sababu za pingamizi pamoja na utetezi uliotolewa imejiridhisha, Professa Ibrahim Haruna Lipumba amerejesha fomu zake kwa mujibu wa sheria, kanuni na maelekezo ya tume ya taifa ya uchaguzi hivyo tume ya taifa ya uchaguzi imejiridhisha pingamizi halina msingi na imelitupilia mbali. Professa Ibrahim Lipumba anaendelea kuwa mgombea halali wa kiti cha Rais kupitia chama cha CUF.
Pingamizi dhidi ya mgombea wa CCM
Tume baada ya kupitia sababu za pingamizi zote mbili kwa pamoja na utetezi uliotolewa imejiridhisha kuwa, Dr. John Magufuli, Mgombea wa kiti cha Rais kupitia chama cha mapinduzi amerejesha fomu zake ambazo zimeambatanishwa pamoja na picha kwa mujibu wa sheria, kanuni na maelekezo ya tume ya Taifa ya uchaguzi, hivyo tume ya Taifa ya uchaguzi imejiridhisha kwamba pingamizi hizo hazina msingi wa kisheria na imezitupilia mbali kwa maana hiyo, Dr. Magufuli anaendelea kuwa mgombea halali wa kiti cha Rais kupitia chama cha Mapinduzi CCM.
- Mleta pingamizi anadai kwamba, mgombea Urais kwa tiketi ya CCM hakuambatanisha picha kwenye fomu ya uteuzi.
- Hakurudisha fomu ya uteuzi kwa mujibu wa masharti yaliyowekwa na sheria
Kwa mujibu wa kanuni ya 39 kanuni ndogo sita ya kanuni za uchaguzi wa Rais na wabunge za mwaka 2020, sababu za uamuzi huu wa tume watapewa kwa maandishi, aliyeweka na aliyewekewa pingamizi, kwa msingi wa uamuzi huu, vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu wa kiti cha Rais na makamu wa Rais vinabaki kuwa 15.
Imetolewa na Tume ya Taifa ya uchaguzi
View attachment 1549104
View attachment 1549105
View attachment 1549098
Yule mkurugenzi wa Moro tungekuwa na tume Huru angeshafutwa kazi zamani sanaDevota arudishwe
Tundu Lissu ameona hajadiliwi kwenye vyombo vya habari ili aandikwe kwenye media ameona atengeneze kichekesho.Lissu katetemesha viumbe
Hakuna cha elimu wala nn, ile tume haina Uhuru wowote, ushahidi ni jinsi wakurugenzi makada walivyoondoa wagombea wa upinzani kihuni.Wale watu wana elimu kubwa kuliko ya Tundu Lisu huwezi walinganisha na kichaa huyo anayeona marofa wengi kisha anawadanganya
Tundu lisu hajawahi shinda kesi kwa uhalali zaidi ya kuwahonga mahakimu
Na ndo maana kipindi cha kikwete aliwadhalau sana mahakimu.
Magu kawapiga marufuku kumwita akajitetee...Tume wana wakati mgumu sanaWatu waongo si walidai muwekewa pingamizi anafika ofisi za tume kujibu hoja?
yako NEC ukimajibu ya pingamizi ztake a magufuli yako wapi ?
Yako NEC ulitaka waKuletee nyumbani kwako?majibu ya pingamizi za magufuli yako wapi ?