Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Mbona kama nimesikia anasema Tundu Antipasi Mgwai Lissu mgombea wa CCM. Au masikio yangu mbovu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utetezi umetoka saa ngapi si naskia huko huwa ni face to face?Mbona kama nimesikia anasema Tundu Antipasi Mgwai Lissu mgombea wa CCM. Au masikio yangu mbovu.
Siyo lazima Mkuu, TAL alikuwa anawapandisha mzuka mashabiki wake!!!utetezi umetoka saa ngapi si naskia huko huwa ni face to face?
Inawezekana na wewe ni mmoja wanomeza lolote linalosemwa na Lissu bila kuangalia ukweli na sheria zinasemaje; nimewawekea sheria na kanuni hapo juu uone kama kweli Lissu alikuwa na ground yoyote. Niliwahi kuhudhuria mkutano mmoja wa Lissu pale DC mwanzoi mwa mwaka jana nilikuwa na shughuli nyingine mjini hapo, na niliposikia mkutano huwa watanzania, nikatafuta mda wa kuuhudhuria; ninamfahamu!Kama unasaka uteuzi kwa uandishi huu pole sana hupati hata uteuzi wa kuwa house boy chato au chamwino
ila na ujinga wangu wa sheria si ilitakiwa utetezi upangue hoja zake kwa kifungu after kifung?Siyo lazima Mkuu, TAL alikuwa anawapandisha mzuka mashabiki wake!!!
Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, huenda Magu asingekuwa mgombea leo.
...
All in all,wahusika wamepata funzo tena bila shaka ni funzo kubwa tu hasa kuhusu hizi sheria zetu..
Cha ajabu,wao katika kujibu, hawatufafanulii zaidi ya kusema tu wametupilia mbali na kwamba majibu yatatolewa kwa muweka pingamizi kwa maandishi.
Inawezekana na wewe ni mmoja wanomeza lolote linalosemwa na Lissu bila kuangalia ukweli na sheria zinasemaje; nimewawekea sheria na kanuni hapo juu uone kama kweli Lissu alikuwa na ground yoyote. Niliwahi kuhudhuria mkutano mmoja wa Lissu pale DC mwanzoi mwa mwaka jana nilikuwa na shughuli nyingine mjini hapo, na niliposikia mkutano huwa watanzania, nikatafuta mda wa kuuhudhuria; ninamfahamu!
Lissu ni woga wa kuangukia pua kwenye box la kura na vile vile kutaka kuonyesha wafadhili wake kuwa bado ni mtu relevant. Pingamizi la kusema jumla jumla tu hakurudisha kwa mujibu wa sheria bila kusema ni kifungu gani cha sheria hakikuzingatiwa ni pingamizi la kitoto sana kutoka kwa "mwanasheria msomi aliyebobea"
Mkuu Salary Slip wakati nwingine busara itawale chuki uliyonayo itakutia matatani nafsi yako. John Pombe Magufuli ni Rais anayemaliza muda wake, kwa maana hiyo anajua sheria, kanuni na taratibu za kugombea.
Ebu Mkuu jiulize:
√ Iweje leo asijue na kufanya kinyume?
√ Kama aliweza kupitishwa wakati wa awali asipokuwa na madaraka ya kutumia wa mwanasheria mkuu na hata wajumbe wa Tume kumwelekeza, iweje leo akiwa na madaraka ashindwe kuwatumia?
Lissu amedai Magifuli kaingizwa kwenye chaka, amini sasa ujuaji wake siyo kwamba umemwingiza kwenye chaka bali choo cha jinsi nyingine. Chuki yake dhidi ya Magufuli itaadhibiwa na wapiga kura, vivyo hivyo na wagombea wa chama chake. Chama chenye viongozi wa kupinga kila kitu.
All in all, shame on you.
Unamfahamu kwa huo mkutano mmoja tu?
Kama ndivyo akili yako inavyokutuma, unaweza takuwa na vinasaba sawa na vya nabii Tito kama si yeye mwenyewe
Vinginevyo labda ndiyo unatokea baa. Lala angalau pombe ikutoke kwanza upate akili mpya.
Usiku mnene saa hizi!
Nimekuwekea sheria za na kanuni za uteuzi na mapingamizi kwenye post hiiKila kitu kipo wazi hapo juu. Soma kwanza kabla ya kuandika. Vipengele vyote vya sheria vimewekwa. Tume ndiyo imejibu jumla jumla kujilinda yenyewe na JPM baada ya kujichanganya. Lissu yupo sahihi kabisa.
Nimeshamsikiliza pia anavyooongea kwenye radio mbalimbali. Ile ya DC ninaisema kwa vile ilinigusa sana. Nilimwona zamani kidogo akiwa anatetea wanavijiji wa Nyamongo akiwa kijana mwenye nguvu sana. Siku hiyo hapo DC nilimwona akiwa anatemebelea magongo nikiwa tayari najua kuwa alishambuliwa kwa risasi, kwa hiyo niliniguswa kibinadamu nikajifikiria kuwa hiyo inaweza kunitokea hata mimi pia; ni expereice iliyoniumiza sana. Ila ilipokuja maneno yake yalikuwa ni OFF kabisa; nilichoongelea hapo juu ni maneno anayotoa siyo yeye kama mtu binafsi.
Sijasema kuwa hajafanya mazuri na ana uwezo gani, ila tangu alipoingia kwenye siasa akakosa objectivity na ndiyo maana ameishia kuwa anaropoka na kuongea pumba sana.Pana wengi wanamfahamu tokea o'level Arusha, A'level Tanga hadi UDSM. Wana account tofauti na yako kuhusiana na huyu bwana. Bado ungependa ya kwako isimame tu? Kwani demokrasia maana yake nini?...
Sijasema kuwa hajafanya mazuri na ana uwezo gani, ila tangu alipoingia kwenye siasa akakosa objectivity na ndiyo maana ameishia kuwa anaropoka na kuongea pumba sana.
Hebu taja hizo pumba alizowahi kuzisema.Sijasema kuwa hajafanya mazuri na ana uwezo gani, ila tangu alipoingia kwenye siasa akakosa objectivity na ndiyo maana ameishia kuwa anaropoka na kuongea pumba sana.
Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, huenda Magu asingekuwa mgombea leo.
Kwa mujibu wa Lissu, Tume ndio iitoa maelezo yanayopingana na sheria, na mgombea uraisi Magufuli, akafuata maelekezo hayo yanayopingana na sheria, maelezo ambayo Lissu yeye alikataa kuyafuata na fomu zake akataka zikahakikiwa na NEC kama sheria inavyoelekeza(alisoma kifungu husika kwa wanahabari).
Swali:Kama Lissu alikuwa wrong,mbona NEC hao hao walikubali kukagua form zake na kuzihakiki kwa maana ya kuhakiki wadhamini wake tofauti na mgombea Magufuli na Lipumba ambao form zao zilihakikiwa huko mikoani na wasimamizi wa majimbo na wakazigonga mihuru badala ya fomu hizo kuhakikiwa na NEC?
Hoja nyingine ya Lissu ni kuhusu siku ya kurudisha fomu ambayo ilikuwa ni jana, na ndio siku ambayo,kwa mujibu wa sheria, ilikuwa ni siku ya uteuzi. Sasa hao wagombea wengine licha ya fomu zao kuhakikiwa na watu wasiostahili kisheria,lakini bado ziliwasilishwa katika siku ambayo haikuwa siku ya uteuzi(kwa maelezo ya Lissu) na hilo,kwa mujibu wa Lissu, pia ni kukiuka sheria ya uchaguzi.
Lissu pia kaweka wazi kuwa kwa mujibu wa sheria,Tume wanaweza kutoa maelekezo, ila sheria hiyo hiyo inatamka kuwa maelezo hayo hayapaswi kuwa kinyume na sheria yenyewe.
All in all,wahusika wamepata funzo tena bila shaka ni funzo kubwa tu hasa kuhusu hizi sheria zetu..
Cha ajabu,wao katika kujibu, hawatufafanulii zaidi ya kusema tu wametupilia mbali na kwamba majibu yatatolewa kwa muweka pingamizi kwa maandishi.
Kwa jinsi mambo yalivyo majibu tayarudi Yale YaleLissu atakata rufaa. NEC mtajibeba mwaka huu.
Mnyonge ni wewe na familia yako tuKura yangu nitampa Magufuli
Rais wa wanyonge
Wanyonge = malofa /wapumbavu/wasiojitambua