unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Athubutu aone moto .
Utafanya Nini wewe. Acha mbwembwe za JF. Embu kaandike ujumbe huu kwa wapiga Kura INSTa cha moto. Sijui huwa mnajifariji na Nini. Mana mauzi yenu Ni ya watu Wale Wale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Athubutu aone moto .
Is Lissu constitution lawyer specialist?Kila mtu alikuwa anajua watafanya hivyo lakini kwasababu Lissu kawabana kisheria na wameshidwa kutoa sababu imeshafanya Tume ionekane ni ya CCM. CCM kwa kutokuwa makini watawafanya Tume waonekane kama wajinga. Lissu anajua sheria za uchaguzi kuliko watu wa tume na wenyewe.
Box lako binafsi? Maana box la watanzania wote wanamuelewa kasoro wewe pekee uliyejitoa fahamu na kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCMLisu tutamfundisha adabu kwenye box la kura
NECCCM imemlinda mtukufu mwenyekiti wa CCM..kwenye picha Magufuli amechemka.
..na angekuwa mgombea kupitia chama cha upinzani asingeteuliwa.
Moto gani 🤔?Athubutu aone moto .
Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, huenda Magu asingekuwa mgombea leo.
Kwa mujibu wa Lissu,Tume ndio iitoa maelezo yanayopingana na sheria, na mgombea Raisi Magufuli akafuata maelekezo hayo yanayopingana na sheria, maelezo ambayo Lissu yeye alikataa kuyafuata na fomu zake akataka zikahakikiwa na NEC kama sheria inavyoelekeza(alisoma kifungu husika kwa wanahabari)...
Tume inatakiwa ijibu hoja za Lissu kifungu kwa kifungu , Mungu si athumani yaani yesu wa ccm kakosea kujaza fomu maajabu ya Rahman .Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, huenda Magu asingekuwa mgombea leo.
Kwa mujibu wa Lissu,Tume ndio iitoa maelezo yanayopingana na sheria, na mgombea uraisi Magufuli, akafuata maelekezo hayo yanayopingana na sheria, maelezo ambayo Lissu yeye alikataa kuyafuata na fomu zake akataka zikahakikiwa na NEC kama sheria inavyoelekeza(alisoma kifungu husika kwa wanahabari).
Swali:Kama Lissu alikuwa wrong,mbona NEC hao hao walikubali kukagua form zake na kuzihakiki kwa maana ya kuhakiki wadhamini wake tofauti na mgombea Magufuli na Lipumba ambao form zao zilihakikiwa huko mikoani na wasimamizi wa majimbo na wakazigonga mihuru badala ya fomu hizo kuhakikiwa na NEC?
Hoja nyingine ya Lissu ni kuhusu siku ya kurudisha fomu ambayo ilikuwa ni jana, na ndio siku ambayo,kwa mujibu wa sheria, ilikuwa ni siku ya uteuzi. Sasa hao wagombea wengine licha ya fomu zao kuhakikiwa na watu wasiostahili kisheria,lakini bado ziliwasilishwa katika siku ambayo haikuwa siku ya uteuzi(kwa maelezo ya Lissu) na hilo,kwa mujibu wa Lissu, pia ni kukiuka sheria ya uchaguzi.
Lissu pia kaweka wazi kuwa kwa mujibu wa sheria,Tume wanaweza kutoa maelekezo, ila sheria hiyo hiyo inatamka kuwa maelezo hayo hayapaswi kuwa kinyume na sheria yenyewe.
All in all,wahusika wamepata funzo tena bila shaka ni funzo kubwa tu hasa kuhusu hizi sheria zetu..
Cha ajabu,wao katika kujibu, hawatufafanulii zaidi ya kusema tu wametupilia mbali na kwamba majibu yatatolewa kwa muweka pingamizi kwa maandishi.
Hii nitume bandia hawezikuweka ukweliWekeni utetezi wa magufuli hadharani watanzania tuuone
Lissu ni woga wa kuangukia pua kwenye box la kura na vile vile kutaka kuonyesha wafadhili wake kuwa bado ni mtu relevant. Pingamizi la kusema jumla jumla tu hakurudisha kwa mujibu wa sheria bila kusema ni kifungu gani cha sheria hakikuzingatiwa ni pingamizi la kitoto sana kutoka kwa "mwanasheria msomi aliyebobea", kwa sababu jibu lake ni rahisi sana.Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, huenda Magu asingekuwa mgombea leo...
Umekirupuka,sikiliza clip uone alivyotaja na sheria husika tena kwa kusoma vifungu na kanuni zake.Lissu ni woga wa kuangukia pua kwenye box la kura na vile vile kutaka kuonyesha wafadhili wake kuwa bado ni mtu relevant. Pingamizi la kusema jumla jumla tu hakurudisha kwa mujibu wa sheria bila kusema ni kifungu gani cha sheria hakikuzingatiwa ni pingamizi la kitoto sana kutoka kwa "mwanasheria msomi aliyebobea", kwa sababu jibu lake ni rahisi sana. Aliyewekewa pingamizi atasema tu sheria zote zilifuatwa. Pingamizi kutupiliwa mbali (dismissed) ni aibu> Ni afahdali angeota pingamizi kimya kimya kuliko kutoa matangzani mengi kwa mbwebe kam haiku sababu ya kutafuta cheap popularity.
Mwambie athubutuUtafanya Nini wewe. Acha mbwembwe za JF. Embu kaandike ujumbe huu kwa wapiga Kura INSTa cha moto. Sijui huwa mnajifariji na Nini. Mana mauzi yenu Ni ya watu Wale Wale
Wafadhili wapi? Wafadhili na pingamizi wapi na wapi?acha kuchenganya mada, vifungu vya Sheria alivibainisha vizuri lakini wewe huwezi kujua kwa sababu siyo Mtumishi wa NECCCM, pingamizi kutupiliwa mbali kwa njia haramu na za kishetani siyo Aibu yeyote labda ni Aibu kwako wewe mbumbumbu juha usiyejielewa,Lissu ni woga wa kuangukia pua kwenye box la kura na vile vile kutaka kuonyesha wafadhili wake kuwa bado ni mtu relevant. Pingamizi la kusema jumla jumla tu hakurudisha kwa mujibu wa sheria bila kusema ni kifungu gani cha sheria hakikuzingatiwa ni pingamizi la kitoto sana kutoka kwa "mwanasheria msomi aliyebobea", kwa sababu jibu lake ni rahisi sana. Aliyewekewa pingamizi atasema tu sheria zote zilifuatwa. Pingamizi kutupiliwa mbali (dismissed) ni aibu> Ni afahdali angeota pingamizi kimya kimya kuliko kutoa matangzani mengi kwa mbwebe kam haiku sababu ya kutafuta cheap popularity.
Kama unasaka uteuzi kwa uandishi huu pole sana hupati hata uteuzi wa kuwa house boy chato au chamwinoLissu ni woga wa kuangukia pua kwenye box la kura na vile vile kutaka kuonyesha wafadhili wake kuwa bado ni mtu relevant. Pingamizi la kusema jumla jumla tu hakurudisha kwa mujibu wa sheria bila kusema ni kifungu gani cha sheria hakikuzingatiwa ni pingamizi la kitoto sana kutoka kwa "mwanasheria msomi aliyebobea", kwa sababu jibu lake ni rahisi sana. Aliyewekewa pingamizi atasema tu sheria zote zilifuatwa. Pingamizi kutupiliwa mbali (dismissed) ni aibu> Ni afahdali angeota pingamizi kimya kimya kuliko kutoa matangzani mengi kwa mbwebe kam haiku sababu ya kutafuta cheap popularity.
Surgeon banaa...Oyaa lumumba, Wacha nilale, kesho mapema Saa mbili niko kwa ratiba ya kumfanyia upasuaji Mgonjwa
Naivo nahitajika kuamka mapema.
Ila nasemaje mwaka huuu Mmekutana na Kisiki Jabali saizi yenu , mmoja lkn anawapa kihoro mamaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona sheria inataka mweka pingamizi na aliyewekewa kukutana na mwekews pingamizi ajibu mapingamizi , mbona haikufsnyikz hivyo ? Kama sheria inavyotaka yesu ws ccm aibu kweli masikini .View attachment 1549177View attachment 1549178View attachment 1549179View attachment 1549180View attachment 1549181View attachment 1549182View attachment 1549183View attachment 1549184View attachment 1549185
Mama Longway Mama Mchamungu Huyo...Jaji Mstaafu Bora huyo....Yule mama naona ni ndugu na ocd wa morogoro