Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali


Hii ni kutaka kuleta drama kwenye tukio kubwa kama la uchaguzi wa rais anayeweza kuipeleka nchi vitani.

Umeona hizo picha alizokuwa anapinga kuwa zimeonyesha upande mmoja tu. Halafu elewa kuwa hakuna sheria inaitwa sheria ya picha za passport. Kila nchi ina guidelinea za picha za passport zao. Halafyu Sheria ya uchaguzi haiktaka watu wale picha za passport, bali walitaka picha ndogo saizi ya possport. Picha ya passport na picha ya saizi ya passport ni vitu viwili tofauti kabisa, ni sawa na hukumu ya kunyongwa na hukumu ya kunyongwa mapaka kufa.

Kwa marekani wao wanatoa maelekezo haya kuhusu picha za kwenye passport (siyo sheria)

Halafu wanatoa sample za picha nzuri na mbaya kama hivi



Pich hizi zote ni passport size, lakini nyingine hazikidhi masharti ya kuwekwa kwenye passport

Tanzania tunasema hivi


Hakuna masharti mengine yoyote mradi iwe na light blue background- assumed passport size. Sasa huyu Tundu anataka kuwaambia watu vitu gani. Je aliomba passport nchi za nje wakampa masharti kama yale ya marekani na andhani kuwa ndiyo yanayotumia Tanzania? Hata hivyo ametafsiri vibaya maana passport size akaifanya kuwa ni picha ya passport ya nchi kama Marekani.
 
Acha kukaririshwa wewe. Thibitisha.


Hujui msaada wake? Hivi unamlinganisha Lisu na yule mshamba, mbaguzi na muuaji mwenye roho mbaya anayeligawa taifa?
Alikwambia ukiwa mwanasheria ndoutaendesha nchi vzr Nani ?
 
alimaanisha hakuweka picha kwenye forms zipi?

CHADEMA mmelipwa na mnapambana mpaka ukucha kuonyesha malipo yanafanyiwa kazi....

Loketo (Lisu) ni kituko cha karne
 
Wapenzi wa Lissu wanafanya wanachadema waonekane wanamatatizo ya ufahamu bahati mbaya sana chadema imevamiwa na kundi la ajabu kabisa la wapenzi wa Lissu hawa jamaa hawatumii akili kabisa wao ni kuropoka tu hapa nazungumzia wapenzi wa Lissu si wanachadema coz Wanachadema wengi ni watu wenye kujenga hoja ambao wengi walikuwa disappointment mwaka 2015 ambapo wengi walihama chama au kuachana na siasa za kibishara za Mr Mbowe na genge lake lakini wapenzi wa Lissu wengi si wanachama wa Chadema ila ni wale wanaomchukua JPM ambao wengi wamejaa mitandaoni kwa vile ktk upande wa siasa hawana option zaidi ya kumshabikia Lissu

Lissu bila ya kujua anaongozwa na akili za wapenzi wake ambao wanamchukia JPM na yeye anajikuta kaingia huko huko mpk anashindwa kujua inatakiwa atushawishi kwa sera ili tumchague si kutushawishi kwa kumsema JPM au Mabaya ya JPM (kama Binadamu si Kiongozi) coz hakuna mtu ambaye hana kasoro lakini nchi kama nchi tunaangalia nani anaweza kutuvusha kimaendeleo ,kiuchumi na kijamii

Ukifanya utafiti au ukiwauliza hawa wafwasi wa Lissu sipendi kuwaita wanachadema coz hawa wapenzi wa Lissu wanaongozwa na hisia na mihemuko si akili. Nawajua wanachadema wengi wana akili na wanachadema kweli hawezi kumuona Lissu kama ni mtu sahihi wa kutuongoza Tanzania.

Sasa ukiwauliza hawa wapenzi wa Lissu why unadhani Lissu ni kiongozi Bora wa Tanzania jibu utalaopewa utashangaa 90% ya majibu yao yatakuwa ni kueleza mabaya ya JPM (kama mwanadamu) hato kueleza Sera au mbinu ambazo anadhani Lissu atazitumia kututoa watanzania Lower -Middle income to Upper -Middle income hakuna atakaekueleza na hata Lissu mwenyewe hawezi eleza coz ndani ya akili ya Lissu ni kuwa Rais tu ndo maana anatumia muda mwingi kumponda Rais(JPM) si taasisi kuliko kueleza atatufanyia nini watanzania ambacho JPM hawezi au ameshindwa kufanya ..kitu ambacho kitawafaidisha watanzania wote aijalishi yupo kijijini au mjini.

Bora Mr Spunda ametuambia tukimchagua yeye watoto wetu watakula ubwabwa kuku mashuleni kuliko huyu ambae mpk leo hata akihojiwa na vyombo vya habari 90% ya meneno yake ni kumponda JPM tuuu si kuelezea sera zake, leo ukijifungia ndani ukajiuliza kati ya Lissu na JPM nani mzalendo wa nchi yake ambae yupo tayari kupigania nchi yake utashangaa Moyo wako utakavyotoa jibu tofauti na mapenzi yako kwa Lissu

Ukiwauliza je Lissu anaweza kuwapa ajira wanafunzi wote waliomaliza vyuo ? je Lissu anaweza kuweka bomba la maji kila nyumba Tanzania? Lissu anaweza kuruhusu kila mwenye smartphone kushinda Twitter na kumtukana tuuu? ukiuliza je Lissu anaweza kufanya watu kudharau mahakama kwa kuitwa mahakamani then ukaktaa kwenda kama anavyofanya yeye ?mambo yote aliyokuwa anapigia kelele kule Bungeni JPM ameyafanya tena kwa miaka 5 hana hoja zaidi ya kufanya personal attack kwa JPM
 
Acha wajiachie kwa sasa mzee baba akiapishwa hamna siasa tena hadi 2025 huu ndo muda wa kufungulia ng'ombe waende malishoni
 
View attachment 1549412 alimaanisha hakuweka picha kwenye forms zipi?

CHADEMA mmelipwa na mnapambana mpaka ukucha kuonyesha malipo yanafanyiwa kazi....

Loketo (Lisu) ni kituko cha karne
Alikua na hamu ya kuongea na vyombo vya habari tuu. Ila kuanzia sasa hata wao watampuuza
 
Ushoga na usagaji havikubaliki Tanzania
 
Kwa kweli, yaani ni kama vile mchezaji amejitangulizia pasi mwenyewe. Sidhani kama hili litaishia hapa tu.
 
Hivi kwa nini NEC wasimpitishe TL bila kupingwa? Wanasubiri nini? Wanamchelewesha kwenda Ikulu. Hapa naona sasa ananza kuwafundisha NEC namna ya kufanya kazi, kabla hata hajaingia Ikulu
 
MWALIMU YOYOTE ANAE MSOMESHA MWANAFUNZI KISHA MWALIMU HUYO AKIKATAA KULIZWA SWALI NA MWANAFUNZI HUYO BASI UJUE MWALIMU YULE ELIMU YAKE NI YA KUUNGA UNGA..... HIVI MKURUGENZI WA TUME UNAITA WANDISHI WA HABARI UMEONGE ULIPO MALIZA UNATAKA KULIZWA SWALI UNASEMA USIULIZWE SWALI
 
Zero kabisa wewe!Picha aliyoweka haikuwa sahihi na ni zile picha zilizoko kwenye mabango yake humu mitaani.
Wewe ambaye zeroless kaweke yakwako, Kama tume inaona ni sahihi wewe ni nani ukatae?
 
Kwa hiyo wewe zoba unataka kusema Lissu ni kinyago na kwamba kimechongwa na magufuli ?.
 
Nilidhani unajibu hoja za kisheria za Lissu juu ya mgombea wenu kumbe tunasumbuliwa na supu ya utumbo baada ya kupokea buku saba Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…