Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

27.08.2020
Dodoma, Tanzania





MAREKEBISHO: TAARIFA KAMILI YA NEC KUHUSU MAPINGAMIZI YA LISSU KWA JPM NA LIPUMBA

Published on 27 Aug 2020
Hizi ni Ripoti za AyoTV kutokea Dodoma Tanzania ambapo kama ulitufatilia jana tulirusha matangazo ya moja kwa moja yani LIVE kwenye Youtube yetu kutokea Tume ya Taifa ya uchaguzi hapa Dodoma ambapo kutokana na tatizo la internet wakati live ikiendelea kuna sehemu ya taarifa hiyo ya Tume haikutokea kwenye live yetu kwa sekunde kadhaa kutokana na internet kusumbua hivyo taarifa ikapoteza ukamilifu, tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na tayari taarifa ile ya LIVE imeshaondolewa kwenye ukurasa wetu wa Youtube ambako ndiko ilikorushwa.

AyoTV sasa hivi inakukutanisha na taarifa kamili ya kile ambacho kilikosekana jana kwenye matangazo yetu ya live ambapo Mkurugenzi wa Tume hiyo,Dk. Wilson Charles alielezea maamuzi ya tume kuhusu mapingamizi aliyoyatoa mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’, Tundu Lissu dhidi ya Mgombea wa chama cha Mapinduzi, DK. John Pombe Magufuli na Mgombea wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba.

Source : millard ayo

Hakuna jibu hapo wanajisumbua bure watanzania wenye Akili timamu wanajia mtukufu mwenyekiti wa CCM amebebwa na NECCCM kwa upendeleo wa kujipendekeza kwake, kanuni mapingamizi yote yapo wazi na kama isingekuwa ni NECCCM mda huu Mtukufu magufuli angekuwa katupwa nje ndiyo maana watanzania wanadai Tume huru ya uchaguzi Hii Tumeccm haifai kabsa inaendekeza uchakachuaji hakuna mfano ni Tume ya hovyo iliyosalia Duniani.
 
Tume ya Uchaguzi ya Taifa naona wanafuatilia nini kinawekwa mitandaoni kuona kama video clip imewekwa kwa ukamilifu hata taarifa kwa umma iliyopo ktk maandishi kama alama za coma, full stop n.k zinazingatiwa ili kutopoteza ujumbe waliotaka kuuwakilisha kwa umma.
Tumeccm hamna kitu hawafai hawafanyi kazi kwa mujibu wa Sheria na katiba ya Nchi bali wanafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM , ni Aibu kuwa na Tume ya aina hii.
 
UTETEZI WA PROF. IBRAHIM H. LIPUMBA

....

Laana ya Lipumba haishiki hata sisimizi kwani Lipumba ni mwanasiasa wa hovyo kupata kutokea Duniani, kwanza juzi juzi walichukua pesa CCM dola laki nne yeye na Shibuda kwa lengo la kuihujumu chadema lakini chadema ikapewa taarifa na wanaccm wasiopenda uonevu wa CCM yao, ndipo chadema wakamuwahi mapema wakawa wamemvunja nguvu asifanye ushetani wake, kwanza Lipumba hana mfano wa kuigwa hata mmoja ni mzee wa hovyo hana familia hana mtoto ni mtu anaishi kihuni tu.
 
Njama za Shibuda na Lipumba kumwekea pingamizi Tundu lisu zililiwa taiming haraka ndipo wakaingia mitini, sasa Lipumba kaamua kujitoa fahamu aongee ufala wake kwa kujikosha akizani watanzania hawajui unafiki wake wote
 
Hivi nikuulize tu kifupi rafiki
Akijaza fomu zingine usiku huu akaweka na kila kitu zikagongwa mihuri yote ya mahakama na tume kwa tarehe za nyuma na kwenda kubandika kwenye notisi bodi. Yeye Lisu akabaki na picha ya zamani ataitumia kama ushahidi?
Na unadhani itamsaidia?

Aanze kampeni aache kupoteza muda kwenda kwenye kesi la sivyo atanaswa mtegoni kupitia mbinu zake. Mwisho ziwe kesi za kimahakama halafu anze kupangwa kila baada ya siku mbili inasikilizwa au atawaleta Robert & Amstredam nao wanawekewa zengwe pia

Ukishaweka nia ya kuweka pingamizi, unapewa nakala ya fomu ya mgombea unayemtilia shaka na viambatanisho vyake. Ni utaratibu wa kisheria. Kilangila.
 
Hahahah Tundu Lissu mgombea kupitia chama cha CCM?

Hahahaha Afisa wa NEC ameshikwa kigugimizi kwenye kuongea, hiii ikimanisha anafanya kwa presha ya hali yajuu sanaa haha

CCM na NEC wote wamepagawa[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mtu mwenye sheria yake kesho atasemae[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nchi ya Tanzagiza.
 
Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi

Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.

Mwaka huu mtamu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Na ndo lengo la Mpendwa wetu TAL, na kawaweza haswaaah
 
Wenye 'Akili' kubwa tumeshamuelewa vyema tu Tundu Lissu na hatujashangaa kumuona Mkurugenzi wa NEC akifafanua huku 'anajambajamba' tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mku bhana daaah,
 
Back
Top Bottom