T.Mwambungu
Senior Member
- Jan 25, 2013
- 198
- 43
Mbona hakuna maamuzi mazito hapo.....hayo yalikuwa ni lazima yawepo kwenye katiba....la sivyo isingekuwa mpya...!!!!
bado la kufuta wakuu wa wilaya, mikoa na kupunguza madaraka ya rais. kuna vitu vinavyotuumiza watanzania hatuvitaki. hata kama akiwa ni rais wa tume kama hana nguvu hawezi kufanya ujinga ujinga.ha ha basi tutakushukuru mzee wetu ila usisahu matokeo ya uraisi kupingwa mahakamani pliz mzee na mahakama zetu ziwe huru na zitoe haki...tutaanza kuisoma kesho
Nimekusoma mkuu. Professor Safari alikuwa sawa kuwaambia Chadema nchi kwanza vyama baadaye?
Ni kweli mkuu..na wakuu wa wilaya na mikoa pia ni wa kuondoa...na pia vyeo vingine kama katibu tarafa, kata, mtaa,shina vipunguzwe kazizao zinaweza kufanywa na watu wawili tu hapo....madaraka ya raisi...bunge huru na kuwe na idadi maalumu na kiwango cha elimu kwa wabunge kiongezeke angalau form six....mahakama huru....NI KWELI KABISA MKUU.
PIA KUNA MAMBO MENGI WALIYOYAACHA AMBAYO NI MAMBO MAZITO NA NI YA LAZIMA.
MF:
>Haki ya kupinga matokeo ya urais mahakamani.
>Kinga ya rais mbele ya sheria ifutwe .
>Madalaka ya rais yapunguzwe
>Rais anapobolonga kuwe na namna ya kumuondoa kisheria.
>Rasilimali za nchi zitumike kuwanufaisha waTz.
>Chaguzi zisifanyike siku za ibada (Changamoto ni kwamba ibada zipi na siku zipi? ingali Tz haina dini?)
>
>
>
.
.
N.k
mkuu kulipia umeme sio issue,ni nchi ndogo sana zanzibar wakipata madaraka kamili,mambo yao yatakuwa safi sana.
bora iwe hivyo hakuna mbunge kuwa waziri,halafu uteuzi wa mawaziri ufuate uwiano wa jinsi vyama vimechukua viti vingapi vya ubunge,na waidhinishwe na bunge.