Msajili hawezi kupanda bodaboda!
Ndiyo walivyo hao Chadema. Ata siku moja siyo wakweriHizi attachment na baadhi ya video zinazotumwa humu mbona kwangu mimi naishia kuzidownload tu ila nikiplay zinakataa kuonesha naambiwaView attachment 1583717
Nadhani Tundu Lissu asingewasomea vifungu vya sheria ili wajae kisawasawa..Ukijua Sheria Ni Raha sana
akipotezewa mda na polisi kwa kosa la kutokuvaa helmet tutamfukuza kazi kwa uzembe anacheleweshaje document muhimuHalafu amesahau kuvaa kofia ngumu!
Wee jamaa mbona huwa una kiherehere sana. Kila kitu Chadema.Ndiyo walivyo hao Chadema. Ata siku moja siyo wakweri
Kwa hiyo hao wooote waliofungua hiyo video ni vipofu, ila ccm huwa mnajitoa ufahamu sijui akili huwa mnaziweka wapiNdiyo walivyo hao Chadema. Ata siku moja siyo wakweri
Anawashwa mkuu, alikimbia na nauli ya watu, sijui kama kairudisha maana ccm ni matapeli kuanzia kwenye mapenzi mpaka kwenye siasa
Azabu ndio nnLissu apewe azabu kali iwe fundisho
Mlisema hatarudi, karudiLissu apewe azabu kali iwe fundisho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huko jiwe ni bp tuKwakweli Lissu anawatesa san. Ofisi ya msajili ina wahudumu, mesenjaz, madereva mpk naibu msajili Taifa uje na boda kweli. Daaaah mwaka huu hawatausahau
Chadema mi siipendi kabisa
Polepole ana nguvu kweli
Hako ka demu kamechanganyikiwa kama meko.You badly need to get a life and a man screw your brains into place while at it. Maana si bure mtoto wa kike kuwa na roho ngumu kama jiwe.