denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Reasoning yako ni ya kijinga sana, DPW kutojenga msikiti UK na kwingineko, sio lazima wasijenge pia huko Mbeya.Another thread ingine ya uwongo na uzushi . ..from you ..
Wewe Jana umeanzisha thread unasema askofu Mwamakula kasema Dpworld watajenga msikiti...
Dpw world wamejenga msikiti UK walipopewa bandari?
German walijenga msikiti walipopewa bandari?..
China walijenga msikiti walipopewa bandari
South Africa walijenga msikiti walipopewa bandari?
Belgium walijenga msikiti walipopewa bandari?
Yaani Dpworld waendeshe bandari nchi 92 Duniani kote huko wasijjenge msikiti ila waje wajenge msikiti Mbeya??
Na kuna wajinga wanakuona unaongea vya maana?
Huu upeo wenu ndio unasababisha wengine wajishushe kifikra ili kwenda nanyi sawa, mnajiona mnaonewa kwa kutumia mifano ya kitoto kabisa kujenga hoja zenu, na nyie kuachwa bila kuambiwa ukweli, tutaliharibu hili taifa.