Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Punda haendi bila fimboMiaka miwili tu umemis watu wenye upepo mwingi kiongozi unataka tulimie meno tena?
Hebu tuombeane mazuri jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punda haendi bila fimboMiaka miwili tu umemis watu wenye upepo mwingi kiongozi unataka tulimie meno tena?
Hebu tuombeane mazuri jamani.
Nafikiri hujamuelewa mleta mada! Anachodai ni kigezo cha baadhi ya watu kuhusisha issue za mikataba na udini! Yaani tunajua mkataba ni mbovu lakini tunajiricha kwenye kichaka cha dini ili kulinda mkataba.Maaskofu kuisema Serikali sio tatizo ila shida inakuja pale mleta mada anapotaka kuaminisha DP World hawatakiwi kwa sababu tu ni waislam Ina maana Maaskofu wanaipinga uwekezaji kwa kigezo cha udini?
Sakata la bandari sasa limekuwa suala la Uislamu; mwekezaji muislam, waziri mwislam na rais mwislam![emoji2827][emoji3064][emoji2827]Ni rahisi sana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini zao na CCM wanalifahamu vizuri jambo hili.
Hata kama kuna jambo mbaya sana kwa maslahi ya nchi yetu ukitaka likubalike basi wewe lipake rangi ya dini flani utaona mara moja watazuka watu na kulitetea kwa nguvu zao zote kwasababu tu jambo hilo lina rangi ya dini yao!
Suala la mkataba wa bandari limeonesha kuwa watanzania hawana misingi ya kusimamia isipokuwa mafungamano na dini zao.
Ni ajabu kubwa kwamba watu wapo tayari kuuza nchi yao kwa kuaminishwa kwamba hili ni jambo la kidini! CCM wanajua fika jambo hilo na wanalitumia sasa kama walivyolitumia kwenye chaguzi zilizopita dhidi ya CHADEMA na CUF.
Suala la bandari lilianza kujadiliwa vizuri kwa uzalendo lakini watu flani walipogungua linagusa dini yao sasa wamebadili hoja zao na bandari imekuwa suala la kidini.
Sakata la bandari sasa limekuwa suala la Uislamu; mwekezaji muislam, waziri mwislam na rais mwislam!
Hao wote ni akili ndogo, nachofanya hapa ni kuwatengeza watoe vile vilivyomo ndani ya bongo zao, na ndicho kinachotokea, hilo ni kundi la misukule ya CCM.Sentence ya mwisho inadhihirisha weed siyo Islam!
Mtume hajafundisha waumini wake kuwatusi wale wasioamini bali " wazidi" kuwafundisha Ili Waamini
Ilikuwa ukikaa na Prof Kighoma Malima unaelewa nini maana ya Uislam!
Ni rahisi sana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini zao na CCM wanalifahamu vizuri jambo hili.
Hata kama kuna jambo mbaya sana kwa maslahi ya nchi yetu ukitaka likubalike basi wewe lipake rangi ya dini flani utaona mara moja watazuka watu na kulitetea kwa nguvu zao zote kwasababu tu jambo hilo lina rangi ya dini yao!
Suala la mkataba wa bandari limeonesha kuwa watanzania hawana misingi ya kusimamia isipokuwa mafungamano na dini zao.
Ni ajabu kubwa kwamba watu wapo tayari kuuza nchi yao kwa kuaminishwa kwamba hili ni jambo la kidini! CCM wanajua fika jambo hilo na wanalitumia sasa kama walivyolitumia kwenye chaguzi zilizopita dhidi ya CHADEMA na CUF.
Suala la bandari lilianza kujadiliwa vizuri kwa uzalendo lakini watu flani walipogungua linagusa dini yao sasa wamebadili hoja zao na bandari imekuwa suala la kidini.
Sakata la bandari sasa limekuwa suala la Uislamu; mwekezaji muislam, waziri mwislam na rais mwislam!
Ni askofu yupi alimtukana raisUzalendo ni kuchukua maaskofu na kwenda nao press conferences?
Uzalendo ni maaskofu kuacha makanisa na kwenda viwanjani kumtukana Rais?
Yaani uzalendo Tanzania wanao maaskofu tu?...
Wengineo wote hawana uzalendo??
Hao maaskofu wakati watu wanapigwa risasi uzalendo wao ulikuwa wapi??
Sasa kama mwananchi wachini hana maamuzi katika nnchi atafanya lipi wao ndio wapangaji na ndio wapanguaji sisi ata wakiuza nchi tutasubiri kuambiwa tuna hamia wapiNi rahisi sana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini zao na CCM wanalifahamu vizuri jambo hili.
Hata kama kuna jambo mbaya sana kwa maslahi ya nchi yetu ukitaka likubalike basi wewe lipake rangi ya dini flani utaona mara moja watazuka watu na kulitetea kwa nguvu zao zote kwasababu tu jambo hilo lina rangi ya dini yao!
Suala la mkataba wa bandari limeonesha kuwa watanzania hawana misingi ya kusimamia isipokuwa mafungamano na dini zao.
Ni ajabu kubwa kwamba watu wapo tayari kuuza nchi yao kwa kuaminishwa kwamba hili ni jambo la kidini! CCM wanajua fika jambo hilo na wanalitumia sasa kama walivyolitumia kwenye chaguzi zilizopita dhidi ya CHADEMA na CUF.
Suala la bandari lilianza kujadiliwa vizuri kwa uzalendo lakini watu flani walipogungua linagusa dini yao sasa wamebadili hoja zao na bandari imekuwa suala la kidini.
Sakata la bandari sasa limekuwa suala la Uislamu; mwekezaji muislam, waziri mwislam na rais mwislam!
Sema wakati Magu anaomba msaada wa ujenzi wa msikiti mkubwa pale kinondoni wao maaskofu walikuwa wapi. Au alipotoa eneo kule chato kwa taasisi ya al hikma kujenga msikiti wao maaskofu walikuwa wapi. Au alipotoa eneo la wazi pale mwembeyanga kwa taasisi ya kiislam wao maaskofu walikuwa wapi.Uzalendo ni kuchukua maaskofu na kwenda nao press conferences?
Uzalendo ni maaskofu kuacha makanisa na kwenda viwanjani kumtukana Rais?
Yaani uzalendo Tanzania wanao maaskofu tu?...
Wengineo wote hawana uzalendo??
Hao maaskofu wakati watu wanapigwa risasi uzalendo wao ulikuwa wapi??
Sasa Mabasi yamejaa barabarani kuelekea Dar kujaza viwanja vyabTanganyika Packers.Ni rahisi sana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini zao na CCM wanalifahamu vizuri jambo hili.
Hata kama kuna jambo mbaya sana kwa maslahi ya nchi yetu ukitaka likubalike basi wewe lipake rangi ya dini flani utaona mara moja watazuka watu na kulitetea kwa nguvu zao zote kwasababu tu jambo hilo lina rangi ya dini yao!
Suala la mkataba wa bandari limeonesha kuwa watanzania hawana misingi ya kusimamia isipokuwa mafungamano na dini zao.
Ni ajabu kubwa kwamba watu wapo tayari kuuza nchi yao kwa kuaminishwa kwamba hili ni jambo la kidini! CCM wanajua fika jambo hilo na wanalitumia sasa kama walivyolitumia kwenye chaguzi zilizopita dhidi ya CHADEMA na CUF.
Suala la bandari lilianza kujadiliwa vizuri kwa uzalendo lakini watu flani walipogungua linagusa dini yao sasa wamebadili hoja zao na bandari imekuwa suala la kidini.
Sakata la bandari sasa limekuwa suala la Uislamu; mwekezaji muislam, waziri mwislam na rais mwislam!
Well Noted Mkuu....Miaka yote haya mambo ya udini hujitokeza pale anapotokea mtawala dhaifu, asiyeweza kuenenda vyema na majukumu yake ya kiofisi, hasa anapoanza kuharibu kwa ujinga wake mwenyewe.
Ndipo wanajitokeza wajinga wenzie wa imani yake na kuanza kumtetea, huwa wanafanya hivyo kwasababu wamezoea kuchanganya hisia na facts, kwangu ni vitu viwili ambavyo haviendani kabisa, kwani suala la imani na ubovu wa mkataba, ni mambo mawili tofauti.
CCM nao, kwa kutambua huo ujinga wao, huanza kuitumia karata ya udini pale wanapoona utetezi wao mwingine wote umegoma kusikilizwa, ndipo hugeukia kwenye dini kama karata yao ya mwisho, bahati mbaya kwao this time, kwenye hili la bandari zetu watanganyika, udini wao nao umegoma.
Hapa niwaase wale jamaa ambao hujidai kuogopa kujadili jambo lenye muelekeo wa kidini, wakijiona wastaarabu sana, kwa kuhofia kuwakwaza wa imani tofauti.
Watambue kwa kufanya kwao hivyo, ndio wanawapa CCM na uhuni wao ushindi, jambo la kidini lazima lijadiliwe kwa umakini, penye ukweli usemwe, pasiwepo unafiki, tusifichane, muhimu heshima iwepo mwiongoni mwetu, ili siku nyingine CCM washindwe kuitumia hii karata yao pendwa ya turufu kutupoteza.
Dhana potofu.Labda ndiyo ile kauli mbiu ya "mwislam popote alipo ni ndugu" ndiyo maana haina shida kuwapa ndugu zetu bandari!
Hawezi jibu, hiyo ni misukule tu.Ni askofu yupi alimtukana rais
Wewe hujawahi kumiliki akili,vi comment vyako humu jf ni kama anaandika mtoto wa darasa la pili,Nyie upeo wenu ni mdogo sana, ndio maana mambo mengi mnayaelekeza kwenye dini tu, mpo kama mnaishi ndani ya chungu cha kidini, ndio maana kuchambua mambo mengine kwenu ni shida sana.
Hili sio kosa lenu, ni muda wenu mwingi kuutumia kujifunza Quran, hilo ndio chimbuko, kuna elimu nyingine imewapita mbali sana, mko outdated ndio maana miaka yote nyie ni udini tu, very predictable.
Akija Rais mkristu mtaanza kumshambulia, akija Muislam mwenzenu, mtamlinda no matter what, hata akikosea kama tuonavyo sasa mnavyofanya kwenye mkataba wa hovyo wa bandari mnavyomlinda hamtaki aguswe!
Having said that, ni wewe na wenzio kina The Boss na FaizaFoxy ndio hamtusumbui sisi, kwasababu mnajulikana miaka mingi tabia zenu mlivyo.
Msome tena mleta mada kwenye komenti zake amesema DP World inatumika kueneza ugaidi na uislam.Nafikiri hujamuelewa mleta mada! Anachodai ni kigezo cha baadhi ya watu kuhusisha issue za mikataba na udini! Yaani tunajua mkataba ni mbovu lakini tunajiricha kwenye kichaka cha dini ili kulinda mkataba.