Tumeacha kutetea bandari zetu sasa tunatetea mwekezaji muislam, waziri muislam na rais muislam!

Reasoning yako ni ya kijinga sana, DPW kutojenga msikiti UK na kwingineko, sio lazima wasijenge pia huko Mbeya.

Huu upeo wenu ndio unasababisha wengine wajishushe kifikra ili kwenda nanyi sawa, mnajiona mnaonewa kwa kutumia mifano ya kitoto kabisa kujenga hoja zenu, na nyie kuachwa bila kuambiwa ukweli, tutaliharibu hili taifa.
 
Hao maaskofu wakati watu wanapigwa risasi uzalendo wao ulikuwa wapi??
Hukuona matamko yao, au ulikuwa bado mchanga?!
👇
 
Kwaiyo izo nchi zaidi ya 90 DP World anazo operate zina ugaidi gani mbona kama chuki tu?
Tusiwe na roho za kutu.
Wanajenga miskiti na kueneza chuki na ugaidi. Unaona jinsi Ufaransa wanavyojuta kwa kuwaachia waislamu wengi waingie na kuwa rais kwao?
 
Maaskofu wana haki ya kukemea mabaya ya kwenye jamii regardless amefanya nani, kama huko kwenu mnafichana kuambizana ukweli kisa mnafanana imani, wengine hawako hivyo.

Wakati wa Magufuli alilalamikiwa na maaskofu pia, kila siku unaambiwa kuhusu hili, lakini kwa upumbavu wako unajitoa akili makusudi, unategemea nani aendelee kukubembeleza ili uelewe? baki na huo ujinga wako mtaji wa CCM, kwa werevu tutasema ukweli milele.
 
ni akili za kijima kabisa!!

hivi majuzi tu Rais wa Kenya kampokea Rais wa nchi ya Kiislamu ya Irani na wameigia mikataba kadhaa ya uwekezaji nchini kenya.
wenzetu wemelenga uwekezaji sisi tunahangaika na chuki za kidini!!

naishauri Serikali yetu chini ya Rais Samia kusonga mbele na uwekezaji, kamwe wasisikilize wapuuzi wenye chuki za kidini.
 
Wanajenga miskiti na kueneza chuki na ugaidi. Unaona jinsi Ufaransa wanavyojuta kwa kuwaachia waislamu wengi waingie na kuwa rais kwao?
Braza tusiongee uongo kama wanaeneza chuki na kueneza ugaidi hatua gani wamechukuliwa huko US,UK na China Kwa mfano?
 
Hakuna kutoka kwenye reli, bandari zetu haziuzwi kholela, kama uwekezaji huo una faida bandari za Zanzibar nazo ziwepo.
 
Braza tusiongee uongo kama wanaeneza chuki na kueneza ugaidi hatua gani wamechukuliwa huko US,UK na China Kwa mfano?
Uislamu umekuwa changamoto kubwa mno nchi za Ulaya. Ustaarabu wa wazungu umewaponza sana wakifikiri wakiwaacha waislamu waingie nchini mwao pengine watabadilika na kuachana na imani kali na ugaidi kumbe ndio wamepata nafasi ya kuendeleza uovu wao!
 
Uislamu umekuwa changamoto kubwa mno nchi za Ulaya. Ustaarabu wa wazungu umewaponza sana wakifikiri wakiwaacha waislamu waingie nchini mwao pengine watabadilika na kuachana na imani kali na ugaidi kumbe ndio wamepata nafasi ya kuendeleza uovu wao!
Kumbe shida yako wewe sio uwekezaji bali una hofu na uislamu kwa kuamini kua DP World ni Muarabu na ataeneza uislam,sasa huu utitiri wa makampuni ya Ulaya Tz katika uwekezaji ambao majority ni Wakristo waislam nao wakatae Kwa hofu tu wataeneza ukristo watakua sahihi?
 
Mtu aliyewafanya babu zetu kuwa watumwa kwa ukatili mkubwa leo hii tunawakumbatia eti watatusaidia, kweli?
 
Hakuna mgalatia anayewatukana waislamu ila utasikia waislamu wakisema kafiri wale! Ni tusi kubwa mno ila ustaarabu wa hao “kafiri” unazidi ushenzi wa akina yakhe.
Kafir siyo tusi

Kafir ni Mtu anayejiita Muislamu huku akiwa hafuati mafundisho ya Mtume Muhammad SAW
 
Maaskofu kuisema Serikali sio tatizo ila shida inakuja pale mleta mada anapotaka kuaminisha DP World hawatakiwi kwa sababu tu ni waislam Ina maana Maaskofu wanaipinga uwekezaji kwa kigezo cha udini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…