Tumeacha kutetea bandari zetu sasa tunatetea mwekezaji muislam, waziri muislam na rais muislam!

Kama nchi tuna tatizo mahala la kidini na akili ya haraka sana inahitajika bila kuwa na double standards.

Dini ni imani ambayo kila mtu anayo, lamsingi ni wote kubaki kwenye imani zetu na sio kuzitumia imani zetu kuleta influence na kubenefit na mifumo.
Kinachotuunganisha wote ni utanzania wetu huku kila mtu akibaki na dini yake.
Dini zetu zibaki makanisani na misikitini na sio kujipenyeza kwenye mifumo kwa nia ya kukandamiza kundi fulani na kulifanya kundi fulani kuwa superior.

TUBAKI KUWA WATANZANIA KAMA WATANZANIA HIZI DINI ZIBAKIE KUWA IMANI ZETU TU TUNAZOZITUMIA KUABUDU.
 
Maaskofu kuisema Serikali sio tatizo ila shida inakuja pale mleta mada anapotaka kuaminisha DP World hawatakiwi kwa sababu tu ni waislam Ina maana Maaskofu wanaipinga uwekezaji kwa kigezo cha udini?
Nafikiri hujamuelewa mleta mada! Anachodai ni kigezo cha baadhi ya watu kuhusisha issue za mikataba na udini! Yaani tunajua mkataba ni mbovu lakini tunajiricha kwenye kichaka cha dini ili kulinda mkataba.
 
Sakata la bandari sasa limekuwa suala la Uislamu; mwekezaji muislam, waziri mwislam na rais mwislam![emoji2827][emoji3064][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sentence ya mwisho inadhihirisha weed siyo Islam!

Mtume hajafundisha waumini wake kuwatusi wale wasioamini bali " wazidi" kuwafundisha Ili Waamini

Ilikuwa ukikaa na Prof Kighoma Malima unaelewa nini maana ya Uislam!
Hao wote ni akili ndogo, nachofanya hapa ni kuwatengeza watoe vile vilivyomo ndani ya bongo zao, na ndicho kinachotokea, hilo ni kundi la misukule ya CCM.
 
Thread ya kipuuzi, uchochezi kuwagawa watanzania katika misingi ya dini kwa kuwa unajua they will react effectively sababu dini zinahusu hisia za wengi

Yani unajaribu kutengeneza ishara kwa akili yako kubwa waislamu wote wanakubaliana na ujio wa Dp kwasababu ya Udini. Hii ni chuki ya kipumbavu na unapandikiza sumu mbaya kwa watu , unataka tutukanane waislam na wakristo na tuache swala liliopo mezani
 

Kwa hili la bandari, mambo yamekataa. Muda mwalimu mzuri
 
Ni askofu yupi alimtukana rais
 
Sasa kama mwananchi wachini hana maamuzi katika nnchi atafanya lipi wao ndio wapangaji na ndio wapanguaji sisi ata wakiuza nchi tutasubiri kuambiwa tuna hamia wapi
 
Sema wakati Magu anaomba msaada wa ujenzi wa msikiti mkubwa pale kinondoni wao maaskofu walikuwa wapi. Au alipotoa eneo kule chato kwa taasisi ya al hikma kujenga msikiti wao maaskofu walikuwa wapi. Au alipotoa eneo la wazi pale mwembeyanga kwa taasisi ya kiislam wao maaskofu walikuwa wapi.

Huo sio mkataba wa kwanza samia kuusaini. Na ukiona kuna mwangwi kwenye huo mkataba ujue kuna shida mahali.
 
Sasa Mabasi yamejaa barabarani kuelekea Dar kujaza viwanja vyabTanganyika Packers.

Madiwani, Wabunge na viongozi wote wa chama kuanzia ngazi za vijiji kutoka mikoa zaidi ya mitano wamepangwa kuhudhuria.

Kwa hesabu ya chini ni kwamba Halmashauri zetu zimagharamia zaidi ya Bilioni 16.

Eee Mungu tuhurumie
 
Well Noted Mkuu....
 
Kama wewe umeona wanaosapoti tu kua ndio wanasapoti kisa dini ya muwekezaji? Kwani wanaopinga wao haiwezekani kua nao wanapinga kisa dini ya muwekezaji?

Acha double standard unapotaka kubalance jambo.
 
Wewe hujawahi kumiliki akili,vi comment vyako humu jf ni kama anaandika mtoto wa darasa la pili,

Ulipigwa talaka na muislamu? Maana sio kwa chuki hizo,

Utazunguka kwenye kila thd inayohusu DPW na kumwaga pumba zako ila huwezi kubadili kitu.
 
Nafikiri hujamuelewa mleta mada! Anachodai ni kigezo cha baadhi ya watu kuhusisha issue za mikataba na udini! Yaani tunajua mkataba ni mbovu lakini tunajiricha kwenye kichaka cha dini ili kulinda mkataba.
Msome tena mleta mada kwenye komenti zake amesema DP World inatumika kueneza ugaidi na uislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…