piusybruno
Member
- Jan 18, 2023
- 11
- 19
Habari zenu wakuu,
Kuna jambo moja nataka kushare na nyie, nilikuwa katika mahusiano na mwanamke mmoja tukafanikiwa kupata mtoto mmoja tuishi pamoja toka 2021 tumekuja kutengana mwezi wa sita mwaka huu na sababu iliyofanya kutengana ni mke wangu kuanza kubadilika, ana kiburi kupita kiasi, ameanza dharau sana ana jambo anavyoamua yeye in short kama vile anataka kunicontrol tukiwaita wazazi.
Tuongelee wazazi wake kama vile wako upande wake, wanahisi mtoto wao anaonewa nikaona isiwe kesi tukaamua kila afate maisha yake, baada ya muda ya kama mwezi mmoja hivi nikawa najaribu kuwasilian naye ili me niwe naendelea kumlea mtoto wangu kama vile mahitaji ya mtoto. Lakin cha ajabu akawa hatk kupokea simu zangu kaniblock kila mahali nikasema frsh.
Baad ya yeye kukaa kimya kwa muda kuna siku akanitafuta turudishe mahusiano lakini me nikamwambia tulishatengan sabab niliona hajabalika chochot tabia ni zile zile.
Point yangu ni nn hapa, kila mimi nikimwambia tuweke utaratibu mzur wa kumlea huyo mtoto yye hatak kabisa, kabila lake ni Mpare me nataka niwe naendelea kumtunza mtoto wangu lakini mama yake hataki?
Anataka amlee mwenyew ili badae aje aseme ametelekezewa mtoto na mtoto wang nimehangaika nae kuanzia ana mwezi mmoja tumbon mpk kafikisha miaka miwili na nusu leo mama ake hataki nimlee mtoto wang naombeni ushauri wenu.