Tumeachana lakini mwanamke hataki tulee mtoto pamoja; baadaye anataka aseme katelekezewa mtoto na hicho kitu mimi sikitaki

Baada ya kupata nini cha kufanya,matunzo yote yapitie benk,unaweza ukamfungulia account.
Mzazi mwenzio bado anahasira ya kuachwa
 
Kiislam huyo ni mtoto wa mama.

Sijuwi imani yenu.

Shukrani kwa ushauri
 
Una uhakika huyo mtoto ni wako?
Autowe wapi?

Tanzania hii watoto wa ndani ya ndoa na watu wanabambikiwa, itakuwa wa nje ya ndoa?

Usikute huyo mtoto, masikini ya Mungu, kila mwanamme anayeingia kwao anaambiwa *mwamkie babako".

Na mwanamke ukute anachukuwa huduma ya mtoto kwa wanaume hata watano tofauti.

Uasherati na uzinzi ni uchafu. Msiukaribie.
 
Ahsante kaka
 
Ahsante kwa ushauri
 
Mtoto ni wangu copy&paste hadi DNA
 
Wewe tuliza akili, yatamshinda tu, atakutafuta kuomba msaada wa mtoto! Acha tu mtoto akikua atakutafuta mwenyewe!

Kingine? Dah, hunamove on, inshort bado unampenda huyo mwanamke ni vile tu ana kiburi akakuacha! Uchumi umekaa aje?
Uchumi upo wastani kaka na maisha yalikua yanaenda fresh tu baada ya mtoto kuwa mkubwa kidgo ndo matatizo yakaanza
 
Uchumi wako upoje ? Unapesa ? Au bado umepanga? Unabiashara yeyote ya maana?/ni ngumu sana kwa alienapesa apewe block call zake
 
Hakika kaka hakuna kukata tamaa
 
Kama hujawai kukutana na huo mgogoro huwezi kuelewa.Hicho unachokisema kupambana hapo patazuka ugomvi mkubwa ambao hukuutarajia.Hawachelewi kukimbilia polisi kua umemtishia maisha na kama unavyojua wanasikilizwaga ata kama anayoyaongea ni ujinga.mwisho wa siku wewe mwanaume ndio unaonekana mkorofi na unaingia gharama.ndo maana wanaume wengi wanaamuaga kukaa kimya nakuendelea na harakati zingine.Wanawake waone hivyo hivyo ndugu.
 
Kiislam huyo ni mtoto wa mama.

Sijuwi imani yenu.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ niwe mkweli sister; nyuzi zako almost zote huaga naziruka, sisomi hasa kule jukwaa la kimataifa, sababu yangu huaga ni moja tu, popote lazima upenyeze utamaduni wa middle east..., sasa uzi hu nilipoona sura yako, fasta nikaona nipitie kidogo, shit, same shits again.πŸ˜‚ sorry.
 
Uislam siyi utsmaduni wa popote, ni universal.

Unajuwa hata AI Chat GPT amesilim?

Wewe Mbona unao huo utamaduni wa Mashariki ya kati? Utakikimbia kivuli chako?
 
Umeusoma uzi vizuri? Is like mwanamke anataka warudiane na mwamba hataki ndio sasa mwanamke nae kakaza. Halafu iko hivi, kwa sisi wanaume kama mtoto sio wako wala huaga hatuhitaji DNA test, huaga tunajua tu kama hapa nilipigwa, majority ukiona kaamua kwenda kupima, ujue anatafuta tu ushahidi but jibu alikua analo siku nyingi; kuna njia nyingi sana nje ya sayansi hi ya kisasa kujua kama umepigwa au vipi; kwa maandishi ya huyu mwamba, is like ana uhakika, mtoto ni wake. Trust me, wanawake huaga wanatumia watoto/mtoto kwenye mahusiano.
 
Baba hivyo nikikua nakukataa
 
Nenda ustawi wa Jamii. Ukifika nitafute nikusaidie kutatua shida yako pronto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…