Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

”Nimehuzunika tu kwa kuwa tumefika mwisho kwa sababu mimi si MCHAGA. Ubaguzi ambao Wachaga wengi wanao."

Kwanza nikutakie pole sana!

Pili, nikupe hongera kwa kudumu penzini na Chagaboy kwa miaka mitano.

Tatu, ninashangaa sana uliwezaje kudumu penzini miaka mitano na mtu ambaye unadai kuwa kwao ni wabaguzi.

Hivi, ulikuwa kipofu kiasi gani?

Mimi maoni yangu ni kwamba, wewe ndiye mwenye makosa kwa sababu ulikubali kutambulishwa kienyeji na huko Uchaggani wakakusoma kienyeji, wakakuchoka kienyeji kwa tabia zako za kienyeji maana ulijirahisisha kienyeji, tena inawezekana hata ulienda kujifulisha na kujipikisha kienyeji wakati hutambuliki rasmi huko.

Halafu, kwa kuwa ulikaa nao miaka mitano+ ni kwanini ulichukua muda kuvumilia Kama kweli ulibaguliwa?

Then, Kama ulisikia na au ulipata taarifa kwamba Wachaga hawapendi makabila mengine ni kwanini ung'ang'anie penzi la Kichagga?

Mimi niwape tu ujumbe humu na wewe mleta mada. Siyo kweli kwamba Wachaga hawaoi makabila mengine, ila ndugu zangu Watanzania, Wachaga tuna tamaduni tofauti kidogo na jamii nyingine, kwa hiyo, kuoana sisi kwa sisi huwa inashauriwa kwa sababu ndoa nyingi na makabila mengine hazidumu kwa sababu za kitamaduni!

Poleni nyote mnaosumbuka na mahusiano typical ya aina hii; kinachowasumbua siyo ukabila wa Wachaga ila ni tamaduni zenu ambazo haziivi na Wachaga na siyo vinginevyo.

Sijasema Kama una mahusiano na Mchagga muacheni, isipokuwa kama haupo tayari kufuata mila na desturi za Kichagga, kaa pembeni na upishe kwa amani maana hamtafika popote.

Pongezi kwenu mlionielewa!

Wachaga tuna asili ya Kiyahudi. Msamo wa Kichagga hauyumbi kienyeji!
 
Nani aanataka kuchanganya damu na Hawa majambazi wakichaga... Washirikina KILA December Ni kuloga wenzao na kutoa kafara... Waowane wenyewe kwa wenyewe.....wakaendeleze vizazi vya walevi, walozi na wezi.

Hili povu ni la kiwango cha omo.

Yaani wivu fulani wa Kikabila.

Aliye juu hashushwi kwa wivu. Tufuta hela, panga mipango maisha yaende.

Huwezi kuchanganya damu na Mchagga maana ulishaachana naye maana hamkuivana kitabia.

Una inferiority complex deep inside you!
 





Na wewe umeenda kuchokoza huko angekuacha mwaka mzima kwenda kutafuta hela ungevumilia! Ungekuwa na pesa wangenywea
 

Kwa hiyo humpendi baba yako kwa kuwa ni Mchagga!

Interesting!
 
Huyu mchaga wake Ni Mshenzi TU...Kama alikua anajua fika kwao hawataki wasio wachaga.. kwanini awe nae kwenye mahusiani ya muda wote huu...

Hi pia Ina apply kwenye Dini...mtu anajua kabisa kwao Ni walokole hatakiwi kuwa na Dini nyingine...alafu bado anaenda kwa hio Dini...baadae eti kwetu hawataki Dini nyingine...

Watu waache kupotezea Watu muda wote wake kwa waume.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] comments za humu bwana,kila mtu anajikuta ni victim wa Mchagha,kama hakuibiwa alidharauliwa kama hakudharauliwa alidhulumiwa share kwenye biashara alimradi kila mtu analalamika!!!

By the way yote hayo halijatokea bado duniani kabila lisiloyafanya,kama wizi kila mtu ni mwizi kama dharau kila mmoja ana dharau even dhulma kila mtu ni mdhulumishi ni vile hujaingia bado kwenye 18" zao tu.kingine tunasahau tabia ya mtu mmoja isiwe ndo sababu kuu ya kuhukumu kundi zima mbona nina rafiki zangu nawajua wameowa Mbeya,yupo brother kiongozi wangu town enzi nakua ameowa Mmwera kutoka kusini miaka 13 sasa wana maisha likizo pasaka wataaga wanaenda Mtwara Christmas utasikia wapo kaskazini.

Well uchaghani kapo kakikundi (sitakataja na najua hata nikitaja hapa mleta mada atasema ni hao hao) bado kanaamini kutunza mila zao za miaka na miaka ila in reality hazina maana yoyote kwa jamii iliyoendelea so tabia za kikundi kisifanye wooote waonekane wale wale.
 
Hakuna mtanzania asiye mbaguzi isipokuwa mgogo tu!!!!!! Na kabila linaloongoza kwa ubaguzi Tanzania ni WAHAYA!! Wakifuatiwa na wakurya kisha wachagga,
Hao wahaya na wakurya sio wabaguzi sema ni watu wa majigambo tu.
Ila wanawake zao ni rahisi sana kuwachukua na kuoa sema tu uvumilie majigambo yao au na wewe uwe mtu wa kuvimba ili muende sawa.
 
Kuna makabila hawawazi maendeleo wao wamekalia Ushirikina, Majungu na kukujazia ndugu Nyumbani. Unakaa na mwanamke miaka mitano hajawahi hata kuongelea lolote la maendeleo zaidi ya Ngono wa kazi gani.

Punguza sauti mkuu🤗
 
Wachaga...wanafundishwa kuiba tangu TU anazaliwa... Wenyewe kupata pesa ndo kipaumbele haijalishi hiyo pesa umeipataje... Ni wezi Sana wadhulimati... Na pia Ni walevi kupindukia...

Kuibia Watu kwao Ni sifa ujanja na ushujuaa
Duuuh!. Makubwa sana haya.
 

Una tatizo fulani!

Unataka urithi chuki za mama kwa baba yako?

How could you do it?
 
Wewe hapo unaona umesaidiaje tatizo mfano?
You are just as wicked kwa hizo solution zako uchwara ulizotoa.

Comment zako mwanzo mwisho ni chungu mno. Hufai hata kuongoza mtoto mdogo maana utamfundisha roho mbaya badala ya mema.

Si ajabu hata ukiulizwa umefanywa nini na mchagga hutokua na jibu.jusr hearsay. Sio poa kusambaza sumu.
 
Mtengwe....tu nyie... Nawatu wasinunue kwenye maduka yenu... Muuziane wenyewe kwa wenyewe... TU.

Namimi nikienda dukani ka la mchaga sinunui... You people are wicked and you don't deserve to live among us...

Mtengwe TU na jamii
 
Mimi nadhani mleta mada utakuwa na matatizo makubwa zaidi kuliko hata huyo jamaa aliyekuacha. Kwanini? Fuatana nami hapa hapa na utanielewa.

1. Umeaminishwa kuwa umeachwa kwa sababu ya kutokuwa mchaga na wewe unalazimisha kuamini kuwa umeachwa kwa sababu sio mchaga. Mwanzoni wakati mnapendana wewe ulikuwa mchaga?

2. Unakiri kuwa jamaa ana binti mwingine kwa sasa ambaye ni mchaga. Wewe unadhani uchaga wa huyo binti ndio kigezo cha jamaa kumpenda. Kwanini wewe ulalamike kwa hilo? Ulitakaje?
 


Mmh
 
Nyie mnaofundisha watoto wadogo..wizi na dhuluma na mkiwashangilia wakiiba . Tena nasikia mtoto akienda kutafuta mnawambia nenda Kakwibe ulete nyumbani. ..
.hayo ndo Maadili yenu...Sasa Kama Ni Watu wakuwaibia nakudhulumu watu..m Watu msiowapa Watu wengine nafasi zaidi mkajipendelea ninyi TU..
.
Solution...WACHAGA WATENGWE.
 

Aisee 😀 very high logic reasoning
 
Mtengwe....tu nyie... Nawatu wasinunue kwenye maduka yenu... Muuziane wenyewe kwa wenyewe... TU.

Namimi nikienda dukani ka la mchaga sinunui... You people are wicked and you don't deserve to live among us...

Mtengwe TU na jamii
Hahhhahhhahhaa.. i sayyy . Unatapa tapa balaa.. nakubaliana na mdau huko juu kukuambia una inferiority complex.. deep down.

Yani una chuki mpaka basi. We mtu hajakufanyia ubaya wowote umekaza shingo kwelikweli eti watengwe. .Alafu iweje sasa? Eti sinunui kwa mangi..unajichosha tuu na kujitesa bure.

Dada jitafakari moyoni kwako. Too much hate. Find and make peace with yourself, hutakua na shida na mchagga.
 
Unahitaji Deliverance kwakweli. You deserve peace and happiness. Am sorry to break the news to you kwamba havipatikani kwa kuwatenga wachagga.
Go work with yourself first, so bitter.
Umeichukulia so personal hii mambo. Jishtukie kidogo bas.
Bye Felicia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…