Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Duh jamani [emoji23][emoji23]Matambiko ndio...ukienda waulize akina meku eti ile damu nyingi ya mbuzi kibao wanaochinjwaga December huwa wanaipeleka wapi??
Na ni kwanini mbuzi hao huchinjwa katika eneo lenye makaburi ya ancestors??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani Kama Kuna kabila linaloongoza kuwa na mazezeta (misukule si misukule) au matahira Kama wachaga!!!.....Kama kule rombo karibu Kila nyumba ina zezeta mmoja...hao ni watu walikua wazima lakini wamefanywa matahira ili ukoo upate Mali... pathetic!!Duh jamani [emoji23][emoji23]
Una hela au una Kazi nzuriMkuu acha hizo,mimi nina mchumba msichana wa Rombo tabia swaaafi wazazi pia wamenielewa sana.
Eeet ile hela ndugu yako delicious kaitoa wapi? YakujilipiaUna hela au una Kazi nzuri
Punguza jazba! Twende taratibu bibieMpubafu huyu...yaani mtu ufanye mamuuzi yasiyo Tija...eti unaogopa ukifika Miaka 30. Utakuja humu kutafuta mchumba...
Wapare wanahusika Vp apo?!Wachagga nao wa matatizo ya kiubaguzi huwa wanaoana wao kwa wao na wapare
Ni upuuzi sana
Bado natafuta, miaka yangu 62 Mimi mbona kijana mwenzako kabisa?We babu hadi leo huna mtu wa kufanya nae maisha au unatuchora tu?
SawaKaka yako dhaifu
Pole sana Mama, mi ningekuwa yeye ningeshukuru sana maana siwezijua nimeepushwa na nini hasa hadi nikataliwe na wewe. Si unajua tena maisha yetu haya yasivyotabirika hasa hasa kwa siku za mbeleni huko Mama?Kuna watu wanakera Sana Yani kila Uzi kutukana uongo Mara kile kisa hajapata alichotegemea ili kufuraisha hadhara na alikuja as a friend imagine, personal matter analeta humu.
Huwa inatokea hivyo kwa wengi si wachaga tu bali wasiojielewa haijalishi kabila gani.Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea.
Kwao natambulika ingawa si rasmi. Na swali la kwanza waliloniuliza kwao mimi ni kabila gani.
Wakaonyesha kunipokea na kunijali ingawa haikuwa utambulisho rasmi.
Baada ya miaka yote, nimegundua mwenzangu ameanzisha mahusiano na binti wa kichaga, yupo chuo mkoani.
Nikajaribu kuongea na mwenzangu ambaye aliniambia hayupo serious naye na ndio maana muda wote yupo na mimi na hawezi kuniacha hata itokee nini.
Baada ya siku chache tena mwenzangu akawa anaendeleza mahusiano hadi kupigiana simu zao mbele yangu.
Nilichokifanya ni kumlazimisha jamaa kuchagua jambo moja, mimi au Mchaga mwenzake wa huko chuo.
Mwenzangu alionyesha ugumu sana sana sana kuniacha ila pia kule kwa Mchaga mwenzake pia hataki kuacha.
Anachonieleza ni kuwa amenizoea, namjali, mimi ni part ya maisha yake, hivyo hataki niondoke ila wazazi wake wanataka apeleke mtu Mchaga na si kabila lingine.
Nimeamua kuondoka katika maisha yake ingawa mpaka sasa mwenzangu analeta ugumu sana katika kuchukua vitu vyangu nilivyoacha kwake. Ananidanganya na kunizungusha sana lakini kiukweli maisha anayotaka niyaishi, si maisha ninayoyataka.
Nimehuzunika tu kwa kuwa tumefika mwisho kwa sababu mimi si MCHAGA. Ubaguzi ambao Wachaga wengi wanao.
Nashukuru Mungu kwa kunipa pumzi hii hata nimeweza kulitoa dukuduku hili kwa ndugu zangu wana JF.
Pamoja na comment za kibabe ila kiukweli huwa ninafarijika sana ninaposhare na kukosolewa au kuonyeshwa njia sahihi.
Maneno tu hayo..tunaupendo sana haswa likija swala la pombeeeNimeshaambiwa nyie wabaguzi pampula[emoji23]
DuhSidhani Kama Kuna kabila linaloongoza kuwa na mazezeta (misukule si misukule) au matahira Kama wachaga!!!.....Kama kule rombo karibu Kila nyumba ina zezeta mmoja...hao ni watu walikua wazima lakini wamefanywa matahira ili ukoo upate Mali... pathetic!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee[emoji23][emoji23]Una hela au una Kazi nzuri
Sifa yenu nyingine nimeambiwa ni ulevi[emoji1787]Maneno tu hayo..tunaupendo sana haswa likija swala la pombeee
Asubuhi yote hii ushaamka?.lala huko bana ukueSifa yenu nyingine nimeambiwa ni ulevi[emoji1787]
Nilivyoiona hiyo sifa ya ulevi nikakukumbuka chapombe[emoji23][emoji23]
Kuhusu kumsaidia kusomesha hadi watoto hiyo sasa ni wewe tu na msimamo wako...Well said..
Najua cwez Rudisha upendo uliokwishapotea Ila nafanya hivyo kujifurahisha.huenda mama yangu alizingua Ila ngumu mtoto kuelezwa.ila suala la kuacha Hadi kusomesha watt wako pamoja na kuwapatia mahtaj ya msingi pia shida ....aah
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Wawachukie na wivu mna nini nyie na shape za ajabu ajabuWatu mna chuki na wivu mkubwa sana kwa wachaga aisee!
Mkuu