Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Na nyie kwa tabia ya kupiga mwenyewe nisingeruhusu mwanangu Bora awe single tu,na Bora ulioa kwenu ndoa kuvunjika ngumu sana
 
Mkurya!?!
Kwa jinsi mnavyojua kupiga Hata ningekuwa Mimi ni huyo mama nisingekubali[emoji1787](kidding)

Sio wote wapo hivyo, nowdays jamii nyingi zimebadilika kutokana na elimu, imewakomboa wengi sana na utumwa wa asili ya makabila.
 
Yawezekana yapo ila Mimi binafsi wakurya hapana kwa kweli
Wakurya niliowahi kuishi nao hapana kwa kweli [emoji23]

Na mwanao akiketea mkurya je utakubali?
Jibu likiwa no hiyo ndio sababu tunaona mambo kama haya ya mleta mada yanaendelea kutokea.

Huoi/huolewi na kabila bali ni mtu tu kutoka kabila husika.
 
Na mwanao akiketea mkurya je utakubali?
Jibu likiwa no hiyo ndio sababu tunaona mambo kama haya ya mleta mada yanaendelea kutokea.

Huoi/huolewi na kabila bali ni mtu tu kutoka kabila husika.
Aiseee
Wakurya hawafai

Akimleta shauri zake.Mimi siwezi kunzuia
 
Mjomba una king'ang'anizi sijapata kuona....hongera bana kwa kuwatetea dada zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe unalijua hili wanakuja kukuvamia ama wanamwambia MTU wa TRA unakuja kufilisiwa. Na wanaumiaga sana unapowazidi. Eti ukifanya kitu kizuri wanakuuliza kuwa wewe ni wa kwao. Yaani wameathiriwa kuwa wao ndo bora sana hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…