as log as unapinga haibadili maana kua kwa namna moja au nyingine unavikubaliZitaje,upingaji wangu na upingajia wako ni ardhi na mbingu hatufanani hata chembe.
Sasa usitafute kichaka,nasubiri jibu la hizo sifa. Usipoteze muda kijana. Huu mjadala wa kielimu usilete utoto na kukinbia maswali.
makatuni gani?Sasa nijue mara ngapi ? Hujaona nilipo kwambia kama unauliza maswali ya kijinga maswali ambayo laiti kama ungekuwa unatafakari au kufanya utafiti hata wa kiwango kidogo sana usingeuliza maswali kama unayo uliza.
Yaani unaleta habari za makatuni unakuja kujengea hoja katika uhalisia ?
Hivi hukuwahi kusoma somo la "Adabu za kujadiliana na kufanya utafiti" ?
yule mzee Alikua mpagani Kama wapagani wengine wa pale Makka enzi hizo Jamii za wakuraish walikua wanaabudu jiwe jeusi maarufu Kama Kaaba na wapagani wengi walikua wanaenda Kila mwaka kuhijiUkweli ni kwamba hakuna ushahidi kuwa baba yake na Muhammad alikuwa muislamu
Kwanini mnaadhimisha Maulidi (Mazazi) ya Mtume ?
Lengo ni kuongeza mapenzi yetu kwa Mtume, Mtume (saw) alisema, "Hakuna hata mmoja wenu atakayekuwa na imani mpaka anipende mimi kuliko baba yake, watoto wake na wanadamu wote. .
Kulingana na mila ya Kiislamu, wanyama, miti na hata vitu visivyo na uhai kama milima vilionyesha upendo kwa Nabii Muhammad (saw), na pia aliwaonyesha upendo pia. Kwa hivyo, kuongeza upendo wetu kwake na kuionyesha ni sawa na maumbile yote na hutuunganisha na nishati ya kiroho ya ulimwengu.
Asante kiongozi Mimi ni mkristu navutiwa na watu wenyemajibu mirua matamu Kama wewe hakika wewe ndye muislamuUfunuo wa kwanza wa Muhammad lilikuwa tukio lililoelezewa katika mila ya Kiisilamu kama ilifanyika mnamo AD 610, wakati ambapo nabii wa Kiislam, Muhammad alitembelewa na malaika Jibrīl, anayejulikana kama Gabrieli kwa Kiingereza, ambaye alimfunulia mwanzo wa kkitabu cha Qur.'an. Hafla hiyo ilifanyika katika pango liitwalo Hijra, lililoko kwenye mlima Jabal an-Nour, karibu na Makka. Ilikuwa Jumatatu, tarehe 21 ya Ramadhani kabla tu ya jua kuchomoza, yaani Agosti 10, 610 - wakati Muhammad alikuwa na miaka 40. Baada ya hapo aya za kitabu kitukufu zilikuwa zikishuka kulingana na matukio husika nasio mapangano.
.............
Abu Lahab alikuwa mjomba wa mtume Muhammad, ndiye mtu pekee kutoka kwa maadui wa Uislamu ambaye amelaaniwa kwa jina lake katika Qur'an Tukufu. Baada ya mtume kutangaza kuwa yeye ni mjumbe wa MUNGU Watu walitawanyika wakinung'unika kimya kimya, lakini Abu Lahab, ambaye kila wakati alimpenda mpwa wake Mohammed (S.A.W.), alimpinga vikali kwa sababu aliona ujumbe huo kuwa changamoto kwa uongozi wake.
Wakati Mtume Muhammad (SAW) alikuwa akitoa hotuba yake ya kwanza hadharani wakati akiwaalika watu wa kabila la Quraishi kwenye Uislam kwa mara ya kwanza hadharani, hakuna mtu aliyemtukana Nabii Mohammed (s.a.w) ispokuwa mjomba wake Abu Lahab mwenyewe, Nabii Mohammed (s.a.w) alitumia kimya kujibu tusi la Mjomba wake lakini Mwenyezi Mungu (SWT) hakufanya hivyo na akafunua ufunuo wa kumlani Abu lahab. Hivyo basi alimpinga mtume kwa kuhofia uwongozi wake.
Mama Sara mke wa Ibrahimu alizaa na Age ya 90+Uongo..mwanamke wa miaka 40 kuzaa watoto sita..menopause yeye ilikua hammhusu ama?
#MaendeleoHayanaChama
Inaonekana hauna uhakika na unachouuliza ukipata uhakika utauliza vzr Mkuu.Kwanini asiitwe marehemu mtume ? Maana haidaiwi kuwa alikimbia kaburi kama yule mwingine
Nani kasema Alkaaba kaianzisha Muhammad (s.a.w)?yule mzee Alikua mpagani Kama wapagani wengine wa pale Makka enzi hizo Jamii za wakuraish walikua wanaabudu jiwe jeusi maarufu Kama Kaaba na wapagani wengi walikua wanaenda Kila mwaka kuhiji
Hijja haijaanza na Waislam ilianza kitambo enzi za Giza huko Mohammed alikopi tu Kwa Babu zake ukisoma historia IPO wazi ila Hawa ndugu zetu hua hawaupendi ukweli asilani!
Ahsante ndugu. Kwasababu sisi waisilamu tunamaamini kwamba Mtume yupo hai, japokuwa alifariki lakini bado yupo hai katika nyoyo zetuKwanini asiitwe marehemu mtume ? Maana haidaiwi kuwa alikimbia kaburi kama yule mwingine
Ni Kweli alikuwa anavaa nguo Za kike kama magauni ya Aisha??
Hapana sio kweli, huo ni uwongo wenye kumdhihaki mtume, hakuna hadithi wala chanzo chochote cha kuaminika kunako habari hiyo. Ikiwa hata leo unavutiwa kusoma kwa moyo wazi wasifu wake na usiamini upotoshaji huo, hakuna chochote hasi cha nabii wetu utacho kutana nacho. Alikuwa ni mwenye tabia safi kabisa.Ni Kweli alikuwa anavaa nguo Za kike kama magauni ya Aisha??
waarabu weusi husema alianzisha AbrahamNani kasema Alkaaba kaianzisha Muhammad (s.a.w)?
Nashukuru kwa kuchukua muda kujibu.Kwanza kwa ushahid wa Quran wenyewe
Mwenyezi Mungu (s.w) ameikusudia Qur-an iwe kitabu hata kabla ya kuumbwa chochote katika maumbile yake aliyo yaumba.Kama inavyoashiriwa katika aya mbali mbali kwamba Qur-an ilikuwako kwenye Lawhil Mahfudh hata kabla ya kuteremshwa kwa Mtume (s.a.w) kulingana na matukio mbali mbali yalivyotokea:
“Bila shaka hiki (mnacho somewa) ni kitabu kilichokusanya kila yanayohitajiwa na chenye heshima. Kimetolewa katika hicho kitabu kilicho hifadhiwa kweli kweli."
(Qur-an 56:77-78).
"Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uongozi kwa wamchao Mwenyezi Mungu."
(Qur'an 2:2).
vile rejea Qur-an 3:3, 7; 7:2; 10:1; 13:1; 14:1, n.k
Kutokana na marejeo hayo haiwezekani kuwa pawe hapana kitu cha aina hiyo lakini bado Mwenyezi Mungu arudie namna hiyo neno "kitab" linatumika kwa vitu mbali mbali vilivyoandikwa kama mikataba au hata barua lakini bado katika Qur-an neno hili limetumika kurudia kitabu katika maana halisi hasa ya kitabu.
Hivyo Allah(s.w) alipotaja neno Al-Kitab kwa kuirudia Qur-an alikuwa na maana hiyo .
Ushahidi wa kihistoria
Katika hadithi maarufu sana iliyo pokelewa na Imam Muslim toka kwa Ibnu Mas-'ud, Mtume amesema katika Hijja yake ya kuaga kuwa:
"Na nimewaachieni vitu wili ambavyo mkishikamana navyo hamtapotea kamwe baada yangu - Kitabu cha Allah na Sunnah yangu." (Musilim)
Hadith hii kiakili haiashirii kitu ambacho hakijulikani kilipo na chenye ugumu kupatikana kama alivyoeleza Zaid (r.a) bali ni kitu ambacho kila mmoja anatarajiwa kukifikia pasipo na ugumu wowote. Wala Hadith hii haishirii kitu ambacho kimetawanyika katika mawe na mifupa ambayo pa kupatikana hapafahamiki bali ni kitu kilichokusanywa na kuhifadhiwa mahala
maalumu.Mtume(s.a.w) asingelisema hivyo kama kitabu hicho hakikuwepo
Ukiacha hadithi hiyo, kuna hadithi nyingine ambayo ameipokea mwenyewe Imamu Bukhari ambayo inasema wazi kabisa kuwa Mtume ameacha Msahafu:
'Abdul'-Aziz bin Rufai(ra) ameeleza kuwa: "Mimi na Shaddad bin Ma'aqil tuliingia kwa Ibnu "Abbas. Shaddad akamuuliza:
Je Mtume (s.a.w) ameacha chochote?" akajibu (Ibn 'Abbas) "Hakuacha chochote isipokuwa (hiki) kilichopo baina ya magamba mawili (ya Qur-an)." Baadaye tulimtembelea Muhammad bin Al-Hanafiyya na akamuuliza suala (lile lile). Akajibu (Al-Hanafiyya), Mtume hakuacha kitu isipokuwa (hiki) kilichopo baina ya magamba mawili (ya Qur-an)."
Hadithi hii, kwanza, inaisadikisha Qur-an kuwa ni kitabu (mas-hafu) ambacho kimeandikwa katika kurasa na kuwekewa magamba (bindings or covers) ili kihifad hike.
Pili, Hadithi hii inaisadikisha Hadith tuliyoirejea juu miongoni mwa vitu ambavyo Mtume ameviacha. Hapa tunaambiwa alichoacha ni kile kilicho baina ya magamba mawili - la mwanzo na mwisho - yaliyokuwa yamehifadhi Qur-an ambayo hapana shaka ilikuwa ndani ya karatasi za aina yake
Ninachomaanisha ni hiki nikichoandika ndugu yangu. Sina maana nyingine. Ninatafuta vyanzo vya kihistoria kuhusu uislam vinavyotoka karne ya 7. Ni kawaida tu mtu anapotaka kujua historia ya kitu huenda kuangalia ndani ya karne mambo yalitendeka.Unataka kumaanisha nini ndugu? kuna hoja yoyote unataka kuiweka ? Qur'an Iliandaliwa chini ya swahaba aitwae Uthman miaka ishirini baada ya kifo cha Mtume Muhammad s.a.w.
Ahsante ndugu.Ahsante mtoa mada kwa maelezo,ujuzi na ufafanuzi kuhusu maswali mbalimbali yanayoulizwa na wachangiaji tofauti. Pia nakusifu kwa uvumilivu wa kuulizwa maswali ya kitoto na kejeli nadharau. Huo ndiyo ukomavu!!!
Maelezo:Mtume alipofariki ,kabla hajazikwa kulitokea sintofahamu ya nani anapaswa kumrithi kati ya wafuasi wa Abu Bakr (Baba Mkwe na Rafiki kipenzi wa mtume) na Ali ibn Abi Talib (Binamu na mkwe wa mtume)( Naomba kusamehewa kama nimekosea vyote hapo juu)
Swali 1: Kwanini Mtume aliacha hali hii itokee?? Hakuona??Hakuota??Hakuwaza mbele ??
Swali 2: Huoni yeye ndiye chanzo cha madhehebu makuu ya Sunni (Wafuasi wa Abu Bakr na Shia (Wafuasi wa Ali)???
Swali 3: Uislamu baada ya kifo cha mtume kwa kiasi kikubwa ulienezwa kwa kutumia nguvu kubwa( Ncha ya upanga) kuliko ushawishi.Nini sababu?
Swali 4: Baada ya kifo cha mtume wengi wao kama siyo wote waliomfuatia walikufa kwa ugomvi mkubwa wa kugombea madaraka.Walikosea wapi??Kipi kilisababisha??Mungu alikuwa wapi wakati haya yote yanatokea???
Swali la 5: Ukijitoa kwenye vazi la udini, huoni yote yaliyotokea ni hali ya kawaida ya kibinaadamu kwenye kugombea madaraka usipowekwa msingi mzuri wa kurithi na kuna makosa yalitokea??
Nb: Samahani sana kama nimekukosea na kukejeli .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Je, Mtume alisema siku ya kiyama tutapewa mabikira 70?
Je, kama ndivyo tutatumia mkongo au alkasusu?
Acha uongo na kuchonganisha MkuuKwa dini yetu ni sawa. Mwanamke wa miak 9 amepevuka! Sijui utofaut w hao wa miaka ile na sasa... Kislam mwanamke ni chombo tu kibachosevia uzazi na kumtumikia mume