Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

Haifai kusherekea maulidi ni bida yaani uzushi na atakaefanya hivo ni motoni
 
Ahsante ndugu, sifahamu unasomea wapi kama ni mtandaoni au umekipata kitabu chake kabisa, basi tafuta kitabu cha swahaba wa Mtume anayeitwa Ibn Abbas, alikuwa mmoja wa maswahaba wa Nabii Muhammad na anachukuliwa kuwa mufassir mkubwa zaidi wa Qur'ani. (619– 687)
 
Ahsante kwa kutoa hukumu ya moto, Allah akufanyie wepesi uipate kuiyona pepo yake.
Unajua vitu hivi haviitaji hasira wala kupaniki kama una dalili yaani ushahidi wa ayaati au hadithi au maneno ya mwanachuoni au kama kuna mwanachuoni kandika kitabu tuoneshe hatutaki maneno yako
 
We una dalili inayodhibitisha watu kusherekea maulidi au unaona watu wanafanya na wewe unafanya
Ungeliluliza hilo swali kabla ya kuharamisha na kutoa hukumu ya moto ningekujibia, kisha nawe ukaleta hoja. Lakini kwakuwa tayari umeshatoa fat'wa na umeshatoa hukumu ya moto. Hoja zangu wala dalili hazitakusaidia chochote. Inahitaji akili iliyofunguka na kuwa wazi kuelewa mambo nasio kutanguliza hasira na jazba.
 
Unajua vitu hivi haviitaji hasira wala hasira jama una dalili toa
Ahsante, kiutaratabi wa elimu, na hukumu kila jambo ni halali hadi pale litakapo haramishwa, sasa katika utaratibu wa hekima ni kwamba mpingaji wa mauwlid ndio anatakiwa kutoa dalili kwamba jambo hilo halifai kwa ushaidi huu na huu.
 
Ahsante, kiutaratabi wa elimu, na hukumu kila jambo ni halali hadi pale litakapo haramishwa, sasa katika utaratibu wa hekima ni kwamba mpingaji wa mauwlid ndio anatakiwa kutoa dalili kwamba jambo hilo halifai kwa ushaidi huu na huu.
Ni sawa kabisa jambo lolote katika ulimwengu huu ni haramu mpaka itakapokuja ayaati au hadithi mimi sasa nasema maulidi ni haramu leta sasa ayati au hadihi ambayo imekuja kuharalisha
Maulidi
 
Wewe ndo unajaziba wala si mimi kwa sababu hadithi zipo na ayaati zipo ambazo zinadhibitisha yeyote atakaezusha jambi lolote katika dini ya allah makazi yake ni motoni mimi nanukuu vitabu su maneno yangu binafsi
 
Sahihi Al Bukhari 2442 book 54
...They said to her, “Speak to him until he speaks to you.” He(The prophet) went around to her and she spoke to him. He said to her, “Do not injure me regarding 'A'isha. The revelation does not come to me when I am in the GARMENT of any woman except 'A'isha.”
 
Kwanini mtume alimpiga mate mwanaume mwenzake?
related that Abu Hurayra said, "I never saw al-Hasan without my eyes overflowing with tears. That is because the Prophet, may Allah bless him and grant him peace, went out one day and he found me in the mosque. He took my hand and I went along with him. He did not speak to me until we reached the market of Banu Qaynuqa'. He walked around it and looked. Then he left and I left with him until we reached the mosque. He sat down and wrapped himself in his garment. Then he said, 'Where is the little one? Call the little one to me.' Hasan came running and jumped into his lap. Then he put his hand in his beard. Then the Prophet, may Allah bless him and grant him peace, opened his mouth and put his Mouth In His Mouth. Then he said, O Allah, I love him, so love him and the one who loves him!'"
 

Mimi ni mkristo. Kwenye Biblia inaongelea yale Mungu ameita naajisi. Nguruwe haruhusiwi kuliwa na mkristo.
Ubaya ni kwamba dini zetu zimeharibiwa na wazungu ambao wamkuja a kuweka mitazamo yao binfasi katika kwenda tofauti na Mwenye enzi zote: hadi leo mimi naona waislam wanafanya mengi mazuri na taratibu zao zinampendenza Mungu kuliko sisi wakristo. Tatizo la waislam ni moja, hawaamini kuwa Mtume wa Mwenyenzi Mungu- Yesu kuwa ni Mungu, na mtume wa mwenyenzi Mungu.

Yesu tunasema ni Mungu sababu aliitwa Emmanuel yaani Mungu ndani yetu. Mungu alishuka kupitia Mariam, akazaliwa ila bado Mwenyenzi Mungu alibaki kwenye enzi zake. Mungu yupo kwenye vitu vitatu na ndio maana yupo kila sehemu, roho, nafsi na mwili. Mungu wetu yupo kila pahali.
Hivyo, waislam ni ndugu zetu. Tunatofautiana kwenye tafsiri... tu ya kile Mungu amekusudia juu ya wanadamu.
Lakini, waislam mpaka sasa hivi ndio pekee wamehifadhi ile fatwa, uhalisia wa kile Mungu anasema. Kama nafasi ya mwanamke katika jamii, kusali, kuheshimu pahala patakatifu nk.

Biblia imekataza nguruwe na ngamia. Wakati wao waislam ngamia kwao ni halal wakati vyote hivi ni haram.

Tumtukuze Mungu aliye hai.
 
Niweka link. Hivi vitabu sina tatizo vipo. Ila unakuta kitabu kinasema kimeandikwa karne ya mwanzoni (mf. Ibn Ishaq) lakini ukija kwa mwandishi halisi ameandika miaka mingi baadaye (Ibn Hisham). Kwa hiyo kwa sababu hatuna taarifa za alichokiandika mhusika (Ibn Ishaq) tunalazimika kuamini anachosema wa sasa (Ibn Hisham) kuhusu alichokiandika wa mwanzo (Ibn Ishaq).

Tatizo hilo pia lipo kwenye hicho kitabu ulichonisaidiq hapo juu. Na ni tatizo nimekutana nalo pia kwenye Quran na hadith.

Mfano, kuna hadith zinaongelea kuhusu watu kama Ibn Masoud, Khalif Abu Bakr, Zayid Ibn thabit.

Lakini anayeandika ni Al Bukhari. Sasa al Bukhari anaandika kuhusu Ibn Masoud aliyeishi karne ya saba ilhali yeye Bukhari ameishi karne ya tisa, karibu miaka 200 baadaye.

Natamani kupata maandiko ya kihistoria yaliyoandikwa kuhusu Uislam, karne ya saba. Na aliyeyaandika awe ameishi karne hiyo hiyo ya 7.

Sina hakika kama sielezi sawa sawa ninachokitafuta au vipi. Lakini nataka kuuelewa uislam toka kwa mtu aliyeishi karne qmbayo ulianza na akaandika karne hiyo.

Kama tuna maandiko ya karne ya kwanza, nina hakika kutakuwepo na yale ya karne ya saba.
 
Kila siku tunaimba peace be upon him...swali langu Je! huko alipo yupo in peace?
Namaanisha, mfano wakristo wanaamini Yesu alipaa mbinguni Je waislam wanaamini muhamad yupo wapi saivi?
prophet Muhammad (peace be upon Him)
 
Mkuu Uislam ulianza karne ya Tisa baada ya Abbasid empire kuanza kukua kiuchumi Na kutanuka kimipaka...ili kujitofautisha Na warumi wakatunga story Kuwa miaka 200 iliyopita walikuwa Na mtume na Quran nk.

Lakini most historic evidence points that Uislam ulianza Karne ya tisa
 
Well ni hypothesis pia ambayo ipo. Kwa sasa nipo after evidence kwanza. Nikiisha kusanya ndio nitajua ukweli ni upi. Naamini Swahili Muslims atakuja na majibu ya kusaidia kwenye hili.
 
Muulize huyo mwenzako aliyezijibu, amezijulia wapi akujuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…