Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

Mohammed alikua SHIA au SUNNI?
Sunni linatokana na neno Sunna yan mwenendo so mwenendo wa mtume ndio Sunna zenyew na wenye kuzifuata wanaitwa ahlu Sunna wal jamaa ama mashia sio waislamu na maadui wa uislam ndo mn wanatukana wake WA mtume na wanafunz wake
 
kila kifo kina chanzo kama si ajali basi maradhi ,je chanzo cha kifo cha mtume ni nini?? na kama ni maradhi ni yapi na aliugua kwa muda gani
Ulama wanasema rasul alikufa shaid Yan aliuwawa siku moja walialikwa chakula na mama WA kiyahud kumbe aliweka sumu mmoja katika maswahaba akafa ,na sumu ile inasemekana ndio ilimuua mtume and Allah knows best
 
Ukwel vyanz sahih vya kiislam buraq sura yake sio Ivo wanavochora
 
Kwanini alikua amehalalisha kuibia wakureishi kwenye misafara yao ya biashara. Allah alimuagiza haya yote au
Naam aliagizwa na sio kuwaibia bal kurudisha mal zao walizodhulumiwa kipind wako macca na Abu sufyan na wengine
 
kuna member yoyote kutoka ukoo wa Mtume ambaye bado anaishi au tuseme koo yenye asili ya vinasaba vya mtume
 
Ulama wanasema rasul alikufa shaid Yan aliuwawa siku moja walialikwa chakula na mama WA kiyahud kumbe aliweka sumu mmoja katika maswahaba akafa ,na sumu ile inasemekana ndio ilimuua mtume and Allah knows best
haki na kwambia yesu asingeathirika na hiyo sumu hata kidogo angejua mpaka sekunde ambayo hiyo sumu inawekwa.jibril alikuwa wapi kumwambia mtume au nae alikua hajui
 
sikupingi
 
Wachafuzi wamekuja kuchafua Uzi.... wanajua kwa faida ya nani...
 
Je nikweli Mtume alioa Binti mdogo (under age).
 
Kwanini alifumua papuchi la katoto ka miaka 9, mbona alikua mkatili kiasi hicho....
 
Hilo jina Nuzulati ni la kike, nitashangaa wewe kama mwanamke unatetea babu wa miaka 50 kufumua papuchi la katoto ka miaka 9.
Kwa nini unaona wivu je ulitaka akufumue wewe k si alikuwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…