He never met his father how can he curse him ??Ni kweli mtume alilaniwa na Babaye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He never met his father how can he curse him ??Ni kweli mtume alilaniwa na Babaye?
Sunni linatokana na neno Sunna yan mwenendo so mwenendo wa mtume ndio Sunna zenyew na wenye kuzifuata wanaitwa ahlu Sunna wal jamaa ama mashia sio waislamu na maadui wa uislam ndo mn wanatukana wake WA mtume na wanafunz wakeMohammed alikua SHIA au SUNNI?
Ulama wanasema rasul alikufa shaid Yan aliuwawa siku moja walialikwa chakula na mama WA kiyahud kumbe aliweka sumu mmoja katika maswahaba akafa ,na sumu ile inasemekana ndio ilimuua mtume and Allah knows bestkila kifo kina chanzo kama si ajali basi maradhi ,je chanzo cha kifo cha mtume ni nini?? na kama ni maradhi ni yapi na aliugua kwa muda gani
Ukwel vyanz sahih vya kiislam buraq sura yake sio Ivo wanavochoraKwenye translation ya mwanazuoni wa kiislamu maarufu kama Ibn Ishaq, alimuelezea buraq kama mnyama ambaye ni mnyama nusu farasi nusu mtu akiwa na mabawa pembeni
image ambayo unaweza ukaijenga kwa sifa hizo alizoelezea huyo mwanazuoni unaweza ukapata picha hii
![]()
Mimi nilikuwa nataka kuuliza tu, habari hiyo ni ya kweli au yakufikirika? Vigezo gani vilivyotumika kuthibitisha uhalisia wa hilo tukio?
Naam aliagizwa na sio kuwaibia bal kurudisha mal zao walizodhulumiwa kipind wako macca na Abu sufyan na wengineKwanini alikua amehalalisha kuibia wakureishi kwenye misafara yao ya biashara. Allah alimuagiza haya yote au
Sura yake sahihi iko vipi?Ukwel vyanz sahih vya kiislam buraq sura yake sio Ivo wanavochora
Kumbuka hizo ni explanations kwenye hadithsHakuna anaejuw buraq anafananaje hixo nyingine ni story
kuna member yoyote kutoka ukoo wa Mtume ambaye bado anaishi au tuseme koo yenye asili ya vinasaba vya mtumeYeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570.
Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa babu yake na Muhammad, Mzee Abdul Muttalib, ambaye alikuja, akamchukuwa mikononi mwake, na akampa jina hili la Muhammad.” Lenye maana ya MSIFIWA.
Nawakaribisha kuuliza maswali kuhusu mtume wetu huyu MUHAMMAD "amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake".
View attachment 1975182
haki na kwambia yesu asingeathirika na hiyo sumu hata kidogo angejua mpaka sekunde ambayo hiyo sumu inawekwa.jibril alikuwa wapi kumwambia mtume au nae alikua hajuiUlama wanasema rasul alikufa shaid Yan aliuwawa siku moja walialikwa chakula na mama WA kiyahud kumbe aliweka sumu mmoja katika maswahaba akafa ,na sumu ile inasemekana ndio ilimuua mtume and Allah knows best
sikupingiYale yale tu, hivi vitabu vimetungwa na watu na si Mungu. Constantin The 1st akishirikiana na wafalme 12 wa nchi za Ulaya ndiyo waliotunga Ukristu na sheria zake. Hawakuwa na siku maalum ya sherehe ya dini yao, wakakopi siku kuu nyingi za kipagani na za Misri (Kiafrika). Waafrika tumechezewa sana akili na hizi dini za kuletewa na ndiyo maana siku za nyuma tukiwa wadogo sie tuliyetaka kujuwa ukweli tulikatazwa kuuliza maswali na kuambiwa kila kilichoandikwa kwenye Quran na Biblia ni neno sahihi la Mungu, kuuliza maswali ni dhambi. What kind of crap is this, Mohammad na mitume wengi walikuwa wauwaji...Mungu anaruhusu haya kweli?
Hahahahah Mkuu umenichekesha Sana AiseeUlaghai wa warumi kwa mwarabu ndyo umeleta haya yote tunayoyaona hivi leo..
Ule ni wizi tuuNaam aliagizwa na sio kuwaibia bal kurudisha mal zao walizodhulumiwa kipind wako macca na Abu sufyan na wengine
Duh kwaiyo hao wanawake kazi yao itakuwa ni kuugulia maumivu ya kuvunjwa bikra milele?Bikra zinarudi upya
ndo manake mpaka wakomeDuh kwaiyo hao wanawake kazi yao itakuwa ni kuugulia maumivu ya kuvunjwa bikra milele?
Hapana alikufumua weweHaujanijibu swali langu, je ni kweli huyo babu alifumua katoto?
Hapana alikufumua wewe
Kwa nini unaona wivu je ulitaka akufumue wewe k si alikuwa nayoHilo jina Nuzulati ni la kike, nitashangaa wewe kama mwanamke unatetea babu wa miaka 50 kufumua papuchi la katoto ka miaka 9.